nafuu

  1. Ulongupanjala

    Natafuta Hostel ya bei nafuu Dar

    Wakuu habari zenu? Nina kijana wangu wa kiume anataka kuja DAR kuanza kazi hivyo anahitaji kupata malazi/accommodation ya bei nafuu wakati akijipanga kutafuta chumba na vitu vyake. Kazi yake ipo maeneo ya Posta hivyo anatafuta malazi yaliyo jirani na hapo au angalau apande daladala moja wakati...
  2. Nyankurungu2020

    Angekuwepo Hayati Magufuli bwawa la JNHP lingekamilika Juni 2022 na tungeanza kupata umeme kwa bei nafuu

    Hayati JPM alikuwa mtu wa vitendo na mtu wa kuhakikisha rasilimali za umma zinatumika kwa manufaa ya umma. Kwa manufaa ya umma na watu wa chini na wanyonge lazima angekomaa na bwawa la JNHP kukamilika ili watanzania wapate umeme wa bei rahisi na wa uhakika. Watanzania tusitarajie huu mradi...
  3. C

    Safiri Kwenda kwenye usahili wa TRA (UDOM) Dodoma na kurudi DAR kwa Coaster Mpya

    Kwa wanaohitaji usafiri wa kwenda kwenye usahili wa UTUMISHI (TRA) DODOMA nakurudi DAR tafadhali wasiliana nasi mapema 0719250926 fanya BOOKING mapema nafasi zimebaki chache
  4. L

    Makampuni ya China yaimarisha kilimo vijijini barani Afrika kwa pembejeo nafuu na bora

    Na Kelly Ogome Zaidi ya nusu ya wakazi wa Afrika wanategemea kilimo. Ripoti ya benki ya dunia ya mwaka wa 2018 inaeleza kuwa asilimia 4% ya pato jumla la dunia linatokana na kilimo, huku nchi zinazoendelea kama za Afrika zikitegemea kilimo kwa zaidi ya asilimia 25%. Aidha ukame, mvua kidogo...
  5. Aliko Musa

    Mambo matano (5) ya kukusaidia kununua nyumba ya kupangisha kwa bei nafuu kuliko bei halisi

    Kanuni mama ya uwekezaji kwenye viwanja na nyumba ni kutengeneza fedha wakati wa kununua nyumba. Kanuni hii inamhusu mwekezaji yeyote anayewekeza kwenye viwanja na nyumba. Kwa kutumia mbinu yoyote ya uwekezaji huu na kwa wakati wowote unatakiwa kutengeneza fedha wakati wa kununua nyumba...
  6. G

    Natafuta mkopo wa riba nafuu kutoka kwa mtu binafsi

    Habari wadau, Mimi sina sifa ya kukopesheka Bank, Hivyo nina shida ya mkopo wa M3 kwa mtu binafsi dhamana niliokua nayo ni kiwanja kipo songea changalawe kipo barabarani kabisa kiwanja kina kibanda cha chumba na sebule na mbele kuna nyumba ya block najenga ipo nusu mkataba wa mauziano ya...
  7. Black Thought

    Hizi ni nyumba unaweza kujenga kwa gharama nafuu zaidi mwaka 2022

    Habari wakuu, nimejaribu kuja na baadhi ya options za ramani za nyumba unazoweza kujenga kwa gharama nafuu. Kwanza tulewe kuwa Gharama ya ujenzi wa nyumba haitegemei sana idadi ya vyumba kama baadhi ya watu wanavyochukulia, bali hutegemea zaidi ukubwa (builtup area) na muundo wa jengo husika...
  8. Mystery

    Jeneza la Askofu Desmond Tutu lichukukiwe kama somo kwa wanaopenda ufahari kwenye mazishi

    Naangalia matangazo mubashara ya mazishi ya shujaa wa kupambana na utawala wa ubaguzi wa rangiu, mtu aliyetumia Maisha yake yote kupigania haki za wananchi wake, Askofu Desmond Tutu, unaoonyeshwa kwenye vituo mbalimbali vya kimataifa vya TV, kama vile SABC, CNN, BBC, Sky News na Al Jazeera...
  9. RRONDO

    Paving Blocks: Kutengeneza au Kununua, kipi nafuu?

    Wenye uzoefu tujuzane. Kutengeneza mwenyewe paving Blocks au Kununua kipi nafuu? Kuna mafundi wameniambia mfuko mmoja wanachaji 6,000/- na unatoa vitafali 100-120. Kupanga napo ni makubaliano mengine kwa sqm
  10. GENTAMYCINE

    Kwa mnaotaka Simu za 'Madili' na za Bei 'Nafuu' subirini baada ya haya 'Matamasha' ya leo ya EFM na Clouds FM mtazipata kwa Wingi tu

    Nimepishana na 'Coasters' mbili za 'Masela' na Wazee wa 'Ndole' tupu zikielekea Tanganyika Packers Kawe walipo EFM na Tamasha lao na nyingine ikielekea Leaders Club Kinondoni waliko Clouds FM na Tamasha lao, na kwa zile 'Sura' au 'Nyago' nilizoziona nina uhakika kuanzia Kesho Asubuhi huenda...
  11. sky soldier

    Tusipotoshane, ajira ina nafuu na uhakika zaidi kuliko kujiajiri

    Kwanza kabisa naomba tuyaelewe haya makundi matatu KUNDI LA KWANZA - ALIEJIAJIRI / SELF EMPLOYED Huyu biashara inamuhitaji ili iende, yeye ndie ngvu kazi kuu ya kuieiendesha biashara kwa bidii yake na hata akiajiri bado yeye inabidi ahusike kwa level ya juu sana ili biashara iende, Wengi wao...
  12. sky soldier

    Hata kwenye Katiba inayotubana kuna viongozi wenye nafuu, sijaona mbadala wa Rais Samia

    Yes, ni kweli katiba yetu imepitwa na wakati na imebana sana uhuru wa kisiasa, Lakini katika maisha haya ya Watanzania licha ya hiyo katiba sijaona kiongozi mwenye nafuu kuzidi Raisi wetu. Hebu naomba ukumbuke tu kile kipindi cha magufuli yani katiba ilitumika ndivyo sivyo, uhuru wa kujieleza...
  13. sky soldier

    Majirani, je kwa bei hizi mpya za internet, TZ bado tuna nafuu au tumekuwa de-throned

    Leo hii huku tz mtandao cheap wa internet kwa jina la Halotel, wameamua kupandisha gharama sasa nikawa najiuliza, is tz still the cheapest in mobile internet?? Zifuatazo ni bei Kwa sasa average price ya gb ni kama 1350 tzs / 65.2 kes rate ( 1 kes = 20.7 Tzs) Huko kwenu majirani hali ikoje??
  14. Bexb

    IST ya bei nafuu inahitajika

    Habari wakuu, inahitajika gari aina ya Toyota IST iliyo katika hali nzuri na tayari kwa kazi. 🐒Iwe Dar au jirani na Dar 🐒Isiwe imerudiwa rangi au kufunguliwa engine 🐒BEI ISIZIDI 7M 🐒Nitapenda niuziwe na mwenye gari, iwapo utakua ni dalali basi hakikisha umemalizana na boss wako na uwe unaijua...
  15. B

    Pata design, ushauri na kujengewa kwa gharama nafuu kutoka kwa wabobezi

    Habarini za majukumu wakuu. DOTLINE CONTRACTORS , Tuna kufanyia Design ya wazo la ramani/nyumba utakayo, tunakushauri kulingana na eneo unalotaka nyumba ijengwe pamoja na budget yako, tunakupa gharama za ujenzi pamoja na kukujengea. Karibu ofisini kwetu Mlimani City kwa maelezo zaidi...
  16. R

    Jamani kwenye nafuu ni mtandao gani vifurushi vya simu

    Naona Tigo size yako wametoka min 180 to 60, 2GB to 1.5 GB, 100 sms to 20 for seven days at 2500 Tujuzane kwenye nafuu ni wapi, ni mtandao gani?
  17. Kibenje KK

    Plot4Sale Viwanja Kibaha kwa bei nafuu ya ofa

    Viwanja KIBAHA - PANGANI - Lumumba Street. -Ni mradi mzuri na wa kuvutia sana. -Mradi upo kilomita chache kutoka Loliondo Stand na kwa njia nyingine waweza pitia Kibamba Shule. -Ni sehemu nzuri na ya kuvutia sana. -Huduma za kijamii kama maji,umeme,shule zinapatikana. -Neighbourhood yake...
  18. Liston Cosmas

    Nahitaji kampuni zinazoweza kunitengenezea kreti za vinywaji kwe bei nafuu

    Habari wan JF. Kuna yeyote anayeweza kunipa connection ya kampuni yoyote inayotengeneza kreti za vinywaji hapa Tanzania?
  19. MabatiBeiNafuu

    INAUZWA Pata mabati kwa bei nafuu na usafiri bure

    Tunatoa offer ya Misumari kwa kuanzia bati 80 Tunatoa offer ya Usafiri @ Kuanzia bati 80. Tupigie 0762 75 31 40 Whatsapp 0762 75 31 40 KARIBU TUKUHUDUMIE. ********** Migongo midogo ni Tsh 23500/= Migongo mipana ni Tsh 23500/= Versatile /Vigae Tsh 34000/= 𝐂𝐀𝐋𝐋 : 𝟎𝟕𝟔𝟐 𝟕𝟓𝟑𝟏𝟒𝟎, 𝟎𝟔𝟗𝟐 𝟕𝟔𝟑𝟑𝟎𝟔...
  20. Mapank

    Mtandao wa Alibaba una magari ya bei nafuu sana, Sijajua ushuru wake kuyaingiza nchini

    Nimepitia mtandao wa Alibaba, naona kuna magari ya bei nafuu sana kuliko mitandao ya magari tuliyoizoea, Na kuna magari mengi ya umeme ya chini ya 5M Tzs, Sijajua ni kuna mlolongo upi wa manunuzi na masuala ya tax clearance kwenye bisahara ya magari huko Alibaba mpaka watu wanakomaa na mitandao...
Back
Top Bottom