Habari wakuu,
Nilikuwa naomba kujuzwa wapi nitapata furniture za nyumbani kama sofa sets, dinning table, coffee table na tv showcase kwei ya kizalendo. Najua huku kuna watu washanunua hivi vitu, hivyo kama kuna sehemu ulinunua ukapewa product nzuri naomba unielekeze na mimi nikapate!
Asanteni!