nahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naomba msaada wa ushauri jinsi ya kupata laini za uwakala

    Nahitaji laini za wakala Tigo. (TigoPesa) Halotel (halopesa) Vodacom (m pesa) Airtel (Airtel money) Kwa atakayeweza kunisaidia Nipo Dar es salaam
  2. Naishi na Mwanamke Nisiemfahamu, Nahitaji Namna Nzuri ya Kumuacha

    Habari ya Asubuhi Wanajamvi, Poleni na Majukumu ya Weekend na Mliofanikiwa Kwenda Sehemu za Ibada, Mungu Awabariki. Nirudi kwenye Mada Kuu Mnamo J Nne Nilikutana na binti ambae Tulikua tunachat kwa Mrefu tu kwenye Dating Apps, Basi Kama Ujuavyo tumekutana Outing za Hapa na Pale, Stories Mbili...
  3. H

    Kwa mafundi wa kupaua nahitaji msaada wa haraka

    Wanabodi Salaam, Kwa wale mafundi wa kupaua nyumba naomba msaada nahitaji kupaua nyumba yangu nimejaribu kuongea na mafundi wawili kila mmoja kanipa hesabu tofauti tena kwa utofauti mkubwa saba, Nyumba ina urefu wa mita 11 na upana wa m 9. Baraza ya mbele na nyuma zina upana wa mita 2.2 na urefu...
  4. T

    Nahitaji kutengeneza 1 million Ijumaa na Jumamosi

    Habarini za muda wakuu, poleni na majukumu ya kila siku. Ninahitaji kuzalisha fedha kuanzia millioni moja na kuendelea kwa siku ya Kuanzia leo mpaka Jumamosi. Ili niweze kutatua tahadhari inayonikabili, ambayo inahitaji fedha za haraka. Hivyo wakuu naomba mwenye kazi yeyote ambayo naweza kufanya...
  5. Nahitaji ushauri wa haraka sana maana nahisi Nachanganyikiwa sasa

    Habari wanajamvi naandika Bango Hili nikiwa sijui nini nifanye na nikiwa nimechanganyikiwa Kwa Yaliyotokea na sielewi hili.wala lile. IKo hivi Mimi ni Kijana mwenye Umri wa Miaka 46, Nilikuwa nina Mke wangu ana Umri wa Miaka 34 Tulikuwa Tunaishi naye lakini kutokana na mambo Ya kimajukumu...
  6. Nahitaji kiti Cha saloon(barbershop chair)

    Wakuu husikeni na mada hapo juu. nahitaji kujua wapi nitapata kiti kama hichi Cha Saloon ya kiume kwa budget ya 700k, nahitaji viti viwili vipya lkn vya muundo kama huu. Au kama Kuna mtu anavyo anaviuza plz nichek dm. Viwe vipya tu sio used.
  7. Nahitaji eneo (fenced) au nyumba standalone kwa ajili ya garage.

    Nahitaji eneo la gereji(fenced) au nyumba stand alone. Location ni maeneo ya kuanzia ubungo kuja mjini (ubungo yenyewe, sinza mwenge, mikocheni, magomeni, mabibo, external, n.k.) 0688 758 625
  8. Nahitaji gari za harusi

    Nahitaji kukodi gari za harusi v8 au range na alphad. Anayetoa huduma hiyo naomba gharama whatsapp kwa namba hi 0759666581 Nipo Dar es salaam
  9. Nahitaji developer nitayefanya naye kazi zangu

    kama kichwa cha habari kinavyo jieleza nahitaji developer anayejua kudesign website nitayefanya nae kazi zangu tafadhali nicheki inbox chap
  10. C

    Elimu juu ya ku assemble gari kama madau alivyoeleza hapo chini, nahitaji kwa ufafanuzi zaidi kwa anayejua hiyo mbinu👇

    Naomba msaada wa elimu kwa anae jua hii mbinu anipe ufafanuzi zaidi kama alivyoeza hapo chini mdau.👇
  11. 0

    Nahitaji msaada wenu ndugu zangu katika ili swala

    Kudos wanajf wote, nayaandika haya yote hapa kwenu nikiamin great thinkers na watu wenye ushauri mzuri mpo hapa, utani pia na kukosolewa naruhusu. Naomba mnivumilie stori ni ndefu kidogo ila nitashukuru kama mtanisoma mpaka mwisho; Ni saa 9 za usiku usingizi unatoweka ghafla,Nasikia sim kwa...
  12. Nahitaji Graphics card

    Habari zenu anaejua duka linalouza graphics card used anipe mawasiliano yao nahitaji ile yenye umbo dogo low profile mashine yangu ni SFF kuanzia GTX 1060 au RX 590
  13. N

    Nahitaji Toyota Aqua au Prius

    Nahitaji Either Prius au Aqua moja. Anayeuza anicheki. iwe kwenye hali nzuri. na usajili uwe na E. Offa 15m Inbox
  14. A

    Mimi ni fundi simu nipo kanda ya ziwa

    SAMAHANI MIMI NI FUNDI SIMU NAHITAJI CONNECTION YA KAZI KANDA YA ZIWA MWENYE CONNECTION
  15. Nahitaji kuagiza kioo cha s10+ kwa 87k , badala ya 320k

    .
  16. I

    Nahitaji wa kunijazia form ya ufadhili, nitakupoza

    Nahitaji kuchukua mkopo mdogo hapa ofisini, sasa kuna form za wadhamini kama mbili ila anatakiwa mtu anayefanya serikalini au kwenye shirika kubwa linalotambuka. Mkopo ni mdogo tu na ni hapa hapa ofisini ninapofanyia kazi sio kwenye taasisi za mikopo. Unaweza kuja kuhakikisha ninapofanyia...
  17. Msaada: Nimetupiwa kipande nateseka mwaka wa 3 sasa, nahitaji msaada

    Habari wana jamvi, kama kichwa cha habari kinavyo jieleza ntaomba kuelezea kwa uchache changamoto ninazopitia kwa miaka 3 sasa. Ikibidi nitaandaa treads ya kusimulia mkasa mzima toka ulivyo anza mpaka hali niliyonayo kwa sasa. Nipende tu kuwaomba wale wenye itikadi za kidini kukaa pembeni...
  18. Msaada: Nahitaji Dining Table (location - Dodoma)

    Salam wakuu, Kama Uzi wangu unavyojieleza hapo juu, nahitaji meza ya chakula (dining table) kwaajili ya nyumbani. Naomba kwa anayefahamu sehemu wanatengeneza meza hizo kwa gharama nafuu kwa hapa mkoani Dodoma aweze kunielekeza ili nikawaone. Budget yangu NI isizidi 1M (meza na viti sita)
  19. Nahitaji anayeweza kufundisha ujasiriamali

    Niko wilaya ya Mafia, nalea vikundi vya wamama na vijana. Wanachama walio ndani ya hivi vikundi shughuli kubwa niliyoona wanafanya sana ni wanakopeshana sabuni za unga. Wananunua carton ya sabuni ya unga mfano doffi wanakopeshana, baada ya wiki aliyekopeshwa anarejesha 2000 kwa kila pakiti ya...
  20. U

    Nahitaji dawa ya maumivu ya kiuno na mgongo

    HabarI za Leo Ndugu zangu. Anayejua Dawa ya Maumivu ya Kiuno Na Mgongo. Nafahamu hili ni suala la Ku- Sex Lakini Bado Sijapata MCHUMBA. Nipo Busy sana na kazi Jumatatu Mpaka Jumamosi hivyo Nakosa Muda Mzuri wa Kuwasaka Wachumba. Nimemeza sana Dawa Za Kutuliza Maumivu Lakini Naona imeanza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…