nahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nahitaji kufahamu vigezo vya kupata mkopo wa kiasi cha 150 million, hii itasaidia endapo nataka kukopesha mtu au kukopa

    Nahitaji kufahamu vigezo vya kupata mkopo wa kiasi cha 150 million Maisha ya siku hizi njia za kupata mikopo zipo nyingi na tofauti Wapo watu wanaokopeshana wenyewe pasipo kuhusisha taasisi za mikopo huku wengine wakitumia taasisi za mikopo Nahitaji kufahamu vigezo hii itasaidia endapo nataka...
  2. U

    Nahitaji vifaa hivi vya gari kwa mwenye navyo

    Wadau nataka taabya mbele kubwa ya spacio new model upande wa kushoto,bampa la mbele zima,side mirrow kushoto, kioo cha mbele na kijioo kile kidogo cha kushoto. KAMA UKO UNAWEZA PATA NITAFUTE NIKUPATIE PESA
  3. Nahitaji mkopo wa haraka

    Jaman nani anaweza nisaidia kupata mkopo wa milion 5 kutoka kwa mtu binafsi kama inawezekana naomba tuwasiliane 0748469897
  4. Kwa sababu ya umasikini wangu wazazi wa binti wamenikataa

    Mimi ni ME late 20s, nimekuwa kwa mahusiano na binti wa kaskazini kwa miaka 3 kasoro. To cut long story short, Nampenda sana na nilihope angekuwa wangu wa maisha, niliwekeza my time/everything nilichokuwa nacho kwa huyu binti, nikiamini amenielew kwa hali na mali. Nikiwa na tumaini tutafika...
  5. WAJUZI WA SHERIA NAHITAJI MSAADA.

    Habari wanajukwaa, nina hii sakata nahitaji msaada wa mawazo nini kifanyike. Nilikua na nimeajiriwa kwa biashara ya mtu, mzigo/malighafi nachukua kwa watu watu kwa mali kauli na mwenye ofisi alikua anafahamu. Baada ya mda mwenye biashara kanigeuka kwamba yale madeni ni yangu binafsi sio ya ofisi...
  6. Nahitaji bwana shamba awe msimamizi wa shamba

    Nahitaji kijana alietoka chuo mwenye uelewa mpana kwenye kilimo Cha nyanya, kitunguu, mahindi, maharage na alizeti pia mwenye kujua na kutunza vizuri nguruwe, mbuzi na ng'ombe -Awe anajituma -Mwenye kufanya kazi Bila kutumwa -Awe mbunifu na kujiongeza Tabia njema na uaminifu -Awe ametoka na...
  7. Nahitaji kujua zaidi kuhusu kisiwa cha Mayotte

    Wadau wa JF habari?Hivi karibuni kumetokea kimbunga CHIDO katika bahari ya hindi na kuathiri maeneo mbalimbali ikiwemo kaskazini mwa msumbiji,Malawi,Zimbabwe na kisiwa cha Mayotte..katika kufuatilia zaidi nakutana na habari ya kuwa kisiwa cha mayotte ni eneo la Ufaransa na Rais wa Ufaransa...
  8. Nahitaji mke

    Mwaka unaisha ivo sijapata mke Naishi vikindu Kama yupo basi aje mwenye miaka 25-35. Aliyetayari tuyajenge DM
  9. Nahitaji mwemyeji wa Morogoro anidadavulie kuhusu haya maeneo.

    Wakuu kwema? Mm sijambo Nilikuwa natafuta scientific reason ya kubadili mawazo yangu ya kupeleka biashara maeneo ya kusini na kuchagua eneo jipya la kupeleka biashara. Mpango wa biashara ni kucheza na minada mbalimbali utakaoanza kutekelezwa mwanzon mwa mwezi wa kwanza. Ninafikiria kupeleka...
  10. R

    Nahitaji choroko tani 15 au zaidi

    Habari. Nahitaji choroko kuanzia tani 15 na kuendelea. Nitazifuata mwenyewe zilipo. Nipigie au whatsapp 0656388678, au 0789904445
  11. H

    Nahitaji Lathe machine

    Mwenye Lathe machine inayouzwa tuwasiliane
  12. R

    Nahitaji tani 15 za choroko

    Habari. Nahitaji choroko kuanzia tani 15 na kuendelea. Nitazifuata mwenyewe zilipo. Nipigie au whatsapp 0656388678, au 0789904445
  13. Natafta mtaji wa kuanzisha kilimo Dar es salaam kisiju( seekin for a capital to start farming here in Dar es salaam kisiju)

    Habari. Mimi ni mkazi wa dar es salaam, natafta sana mtaji wa kuanzisha biashara ya kilimo hapa dar kisiju, eneo la kufanyia kilimo ninalo, ila sina mtaji wa kuanzisha kilimo kwa ujumla, nimeazimwa shamba la kulikia na jamaa wa karibu heka 11, na eneo lina asili ya maji chini kama nikichimba...
  14. Moyo mpweke - nahitaji mke wangu wa maisha

    Habari ndugu. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Mimi ni mpweke na nipo singo, natafuta mwanamke ambaye atanipa faraja moyoni kwa kuishi maisha ya kumpendeza Mungu. Nina uhitaji wa mwanamke ambaye atakuwa mstari wa mbele kushirikiana nami kwa maisha ya familia ili kuleta furaha...
  15. Toka Lissu atangaze kugombea nafasi ya uenyekiti, sasa nahitaji kadi ya CHADEMA!

    Usiku wa kiza kwa sasa unataka kuondoka, CHADEMA ya asili ipo njiani kurejea, chadema ya hari, haki, uwajibikaji, umakini, chadema ile isiyofumbia macho ufisadi, chadema isiyo ya uchawa, chadema isiyo ya vikundi vya kujinufaisha ambao ndio hao wameshaanza kupiga kelele, kwa hofu, wameshazoea...
  16. Nafasi za Kazi: Vijana 30 wa kubandika Poster DSM

    CLOSED
  17. M

    MSAADA; ushauri wenu nahitaji kupanga chumba

    Ndugu zangu watanzania wenzangu habari zenu. Nimechoka life la kuishi kikolabo na rafiki yangu katika utafutaji wa maisha Sasa naona kuwa wakati sahihi wa kwenda kuanza life langu nikijitegemea Kwa kila siku yaan independent Sababu ya kuja katika jukwaa hili ni kuja kuomba ushauri skills and...
  18. D

    Natafuta mtu mwenye koneksheni za migodini nahitaji kazi huko

    Salam ndugu zangu natanguliza shukrani kwa Muumba wetu. Mimi ni kijana wa kiume nina miaka 22, Kama kichwa cha habari kilivyojieleza hapo juu ninahitaji mtu mwenye koneksheni ya kazi za migodini,migodi za wachimbaji wadogo pia hata wakubwa. Natafuta maisha ndugu zangu kwa atakaeguswa au kwa...
  19. Nina umri wa miaka 35 mama wa watoto 3, niko kwenye ndoa kwa miaka miwili, mume wangu bado hajawahi kuninunulia zawadi hata siku ya birthday yangu

    Habari kaka Magical power Samahani sana nimekuja kwako nahitaji Msaada. Mimi mpaka hapa nilipo nina umri wa miaka 35 mama wa watoto 3, niko kwenye ndoa kwa miaka miwili, mume wangu bado hajawahi kuninunulia zawadi hata siku ya birthday yangu.ila Nina mpenzi wangu wa muda mrefu tunapendana Kwa...
  20. Nahitaji mawazo yenu wakuu

    Nahitaji present research yangu katika kampuni flani hapa Tanzania mainly nahitaji gusia maswala ya microfinance kama hizi mikopo ya simu, kausha damu, mikopo ya mitandaoni nk. Naomba mawazo yenu, changamoto, faida nk gusia chochote kuhusu mada nahitaji andaa kitu bora. Asanteni Wasomi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…