namba

Namba (難波, Nanba, IPA: [namba]) is a district of Osaka, Japan. It is located in Chūō and Naniwa wards. Namba is regarded as the center of so-called Minami ("South") area of Osaka. Its name is one of variations on the former name of Osaka, Naniwa. Namba is best known as the city's main south-central railway terminus: JR, Kintetsu, Nankai, Hanshin, and three Osaka Metro subway lines have stations there.
Some of the most famous images of Osaka, including the Glico Man and the Kani Doraku Crab, are located around the Dōtonbori canal in Namba. Namba is also known as an entertainment district, and hosts many of the city's most popular bars, restaurants, nightclubs, arcades, and pachinko parlors. The area is also known for shopping, with the Takashimaya department store (for older styles) and the sprawling underground Namba City shopping mall (for newer styles).
Namba Parks is a new development consisting of a high office building, called "Parks Tower," and a 120-tenant shopping mall with rooftop garden. Various kinds of restaurants (Japanese, Korean, Italian, etc.) are located on the 6th floor, and shops on the 2nd to 5th floors. Parks Garden features enough greenery to help visitors forget that they’re in the middle of the city. There is also an amphitheater for live shows, as well as space for small personal vegetable gardens and wagon shops.
Namba was once the city of adult deliquents.Now,namba gathers some of the young deliquents.
There are sex trade shops and discos,but namba is also the pub restaurants city.
The namba's amusing commerce culture gathers many people.
canals in osaka created the commere culture.namba was near the center of osaka in Edo.
namba is also the center of owarai culture.
NMB48 bases in Namba.

View More On Wikipedia.org
  1. Kuna Uhalali au ulazima kwa kampuni za simu kutoa namba za simu za mtumba (zilizotumika na watu wengine walio hai au kufa)?

    Wasalaam wana JF Nilikua nachangia kwenye uzi mmoja uliokua unajadili ulazima wa kuhifadhi number za simu za marehemu, nikawaza kwa maandishi, JE KUNA SABABU GANI YA KAMPUNI ZA SIMU KUTOA NAMBA ZA SIMU ZA MTUMBA? Kwangu mimi, kumiliki number ya simu ya mtumba (iliyotumiwa na mtu mwingine aliye...
  2. X

    Boda boda namba D inauzwa. TVS

    imeuzwa!!
  3. Elon Musk atolewa namba moja kwenye orodha ya Matajiri Duniani

    Kwa mujibu wa ripoti mpya iliyothibitishwa na Forbes, Elon Musk sio tena bilionea namba moja duniani; nafasi hiyo imechukuliwa na Bernard Arnault na familia yake, wenye utajiri wa dola bilioni 207.9. List ya mabilionea 10 duniani: 1. Bernard Arnault & family - TZS Trilioni 524.3 2. Elon Musk -...
  4. Katika hatua ya makundi AFCON, Aishi Manula ashika namba nne kwa ubora miongoni mwa walinda milango wote

    Mtandao wa Sofascore umetoa ubora wa walinda milango katika hatua ya makundi ambapo mlinda mlango wa Tanzania, Aishi Manula, amefanikiwa kuwa katika namba nne kwa ubora katika orodha ya walinda milango wote walioshiriki katika mechi za AFCON 2023 hatua ya makundi. Orodha kamili iko hapa:
  5. Una namba ya mtu maarufu?

    Contact list yako nani ni mtu maarufu zaidi. Vipi ukimpigia simu, atapokea?
  6. Simba na tatizo la namba 10

    Binafsi naona tatizo kubwa la simba lipo katika no 10 mtu ambaye atasimama nyuma ya striker,ambaye atamlisha stricker,mwenye uwezo wa kupiga penetration pass,kupunguza wachezaji wa timu pinzani,na hata kufunga ikibidi Ukiangalia simba kwa sasa jukumu hilo kapewa saidoo ambaye kimsingi ni...
  7. Kuna wanawake ukiwaomba namba ya simu wanamajibu mabaya sana

    Dada zetu mbona mnatutenga sana sisi tusio na kitu? Sasa upwiru tutaupeleka wapi jamani? Unakutana na mdada mzuri umevutiwa nae, kutokana na haraka alizonazo unaona bora niombe namba ya simu tutayajenga baada, majibu yake sasa.😀😀
  8. Pre GE2025 Ninawapongeza CHADEMA kwa maoni yao ila hoja namba 5 ni ya ovyo

    Leo nimeamua kuwapongeza CHADEMA kwa kuonyesha weledi wa kisiasa kwa kutoa maoni yao kuhusu muswada wa sheria ya uchaguzi. Safari hii ufipa wamejitahidi tofauti na wakati mwingine. Hata kama sikubaliani na maoni yao yote ila nakubaliana na namna walivyojitahidi kupanga hoja zao. Nawapongeza...
  9. D

    Tajiri namba moja wa Afrika, Aliko Dangote ni wa 191 duniani kwa utajiri

    Sasa kama Dangote anaweza kuwa namba 191 duniani kwa utajiri wakati ndio namba moja Afrika, huyo tajiri namba moja duniani si anaweza kununua Afrika yote akiamua?
  10. Wataalamu wa IT naomba mnisaidie kuifunga simu isifanye kazi na kumtafuta aliyeniibia

    Wakuu kuna kisimu changu kimeibiwa sasa nimehangaika naona imekuwa mambo mengi kama mtu unaweza kuifunga isifanye kazi kama inawezekana nitashukuru Lakini pia kama utaitrack kama utamlipisha ukimkamata aliyeiiba hii simu ni wewe tu upendavyo mimi nimesamehe lakini roho inaniuma naweka na imei...
  11. Asilimia kubwa ya wasichana wa mwanza hawakumbuki namba zao za simu

    Unakutana na msichana mzuri unaomba namba hana ujanja wa kukutajia,ataanza kupekenyua simu yake su ataomba ya kwako akubeep ndio upate nsmba yake. Sasa mwanke kama huyu atakumbuka kweli tarehe yske ya kuwa kwenye period? Si ajabu kugawa namba lakini hawakumbuki hizo namba kichwani
  12. Kuna watu wanadhani 2024 watapata ahueni. Ni namba tu zimebadilika. Kama hujabadilika msoto uko palepale

    Angalia ni nini kilikuwa kikwako kwako 2023 kabla hujaanza kuota ndoto za abunuasi 2024. • Je, ulevi ndio ulikuwa kikwazo? • Uzinzi? • Kutokuaminika? • Kukosa elimu na sifa za kuajiriwa? • Kutoa sadaka kipumbavu? Maana kuna watu hutoa mpaka sehemu waliyopaswa kutumia wao kwa upumbavu wao...
  13. Naomba namba ya dharura ya LATRA/SUMATRA

    wadau naomba msaada namba ya dharura ya latra au sumatar mkoa wa dar es salaam,makondakta wanatukomesha sana..
  14. Y

    INAUZWA Nauza Bajaji Namba B

    Bajaji Bei 1.5M, Iko vzur engine iko vzur, njoo ukague ulipie uondoke nayo mawasiliano 0693 794 907 location Dar es salaam Airport N.B haijaenda body.
  15. Kinondoni Real Estate Workshop Namba 1

    District Real Estate Workshop ni kozi maalumu kwa wanachama wa makundi yetu ya TZ REAL ESTATE TEAM (TRT) kwa ajili ya kuchambua taarifa na maarifa kuangazia fursa zipatikanazo katika wilaya husika. Siri ya kukutana na bahati ya fursa kwenye uwekezaji wa ardhi na majengo inatokana na uelewa wa...
  16. Simba haikucheza vizuri, Wydad ni mbovu na kutafuta namba kwa Benchika

    Anaesema Simba ilicheza vizuri dhidi ya Wydad ninamshangaa sana tena sana. Wydad kufungwa na kila timu kwenye mechi mbili za kundi lake kuliwapa matumaini wachezaji wa Simba kuwa hata wao wangeweza kuifunga Wydad, hivyo walijitahidi tu kucheza mbele ya kocha wao mpya ili wapate matokeo pia kama...
  17. Maoni yangu: Chama ndiye anayestahili kucheza namba 10 na sio Ntibanzonkiza!

    Ntibanzonkiza ukimwangalia kwa jicho la ndani Hana msaada kwa Simba kwa namba 10 anayocheza, hivyo anampa wakati mgumu Baleke kupata mipira kazi za kumpa mipira Baleke anaiweza Chama only! Ntibanzonkiza anafanya sana back pass na akiwa na mpira kwenda golini ni rahisi Sana kupoteza hivyo kwa...
  18. B

    Prof. Makame Mbarawa - Upanuzi wa Airport za Arusha, Lindi, Mwanza pia mwekezaji gati namba 8 bandari ya DSM apatikana

    08 December 2023 Arusha, Tanzania 16th Joint Transport Sector Review Meeting Hayo yamejiri leo katika mkutano wa 16 unaohusisha wadau wa sekta ya Uchukuzi ukiotayarishwa kwa pamoja baina ya Wizara ya Uchukuzi kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais Tawala wa Mikoa na serikali za mitaa ( TAMISEMI /...
  19. FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

    Mechi za hatua ya Makundi za Ligi ya Mabingwa Afrika kuendelea tena leo tarehe 08.07.2023 Yanga kutoka katika kundi D watakuwa ugenini kumenyana na Madeama ya nchini Ghana. Mechi hii itachezwa kuanzia saa 1:00 jioni katika uwanja wa Baba Yara nchini Ghana. Je, wawakilishi hawa wa Tanzania...
  20. Naomba mawasiliano ya Maafisa hawa wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya, Mara

    Kwa mwenye nazo naomba anisaidie namba za simu za Mkurugenzi Rorya DC, Afisa Utumishi Rorya, Afisa Elimu Secondary na kama unazo za staff wengine nitashukuru ukishea nami, ninashida nazo. Natanguliza shukrani zangu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…