Hapo Azam kuna watu NI Simba na Yanga lialia hawana mapenzi na timu
Hapo watu wakija wanakuja kama kusomba hela tuu
USHAURI WANGU:
Kuanzia benchi la ufundi wote watoke nnje ya nchi wasiwe watanzania
Fumua uongozi wote, tena kama popat ndio Simba lialia, wakina zaka wote wale Wana timu zao...
Nisahihishwe, lakini nimejaribu kuisoma Budget ya serikali lakini sijaona mahali ambapo mabilioni yamepitishwa kuhamisha Wamaasai toka Ngorongoro kwenda Msomero Handeni wao na mifugo yao, kujengewa nyumba, ujenzi wa shule na zahanati kijijini hapo na miundo mbinu mingine.
Wasiwasi wangu...
Mtangazaji wa WasafiMedia "Diva" amempa sifa kedekede Mpenzi wake kwa kile anachodai Mpenzi wake ni mtu Tajiri anayejua Mapenzi....
Kupitia ukurasa wake wa Facebook Diva anaandika.........."Sema acheni mchezo mume wangu ana macho mazur nyie, akicheka sasa aaaah!. Kijana ana hela, ana jua...
Moja kwa moja swaaaaah kwenye mada
Niko uwanja sahihi unashangaa baiskeli kuingia kituo chakujazia mafuta
Au unashangaa kiwanja cha mpira wamiguu nimeingia na kama mchezaji wa gofu basiii ata bien alisema apa ni mbwembwe
Wadau wasiasa huku kwenye kiwanja chenu nako kibango bhana kimetaradadi...
Napata mashaka makubwa sana pale ninapoona viongozi wetu wanafanya maamuzi ya kuliangamiza taifa. Mbaya zaidi wale wanaofungua viywa vyao wanatishwa na kupotezwa .hivi heri ya viongozi ni ipi?
Hivi kweli mama anaridhia haya yanayoendelea katika nchi yetu? na kwa nini iwe hivi? hivi mtu mwenye...
1. Wamasai waondolewe ili wawekezaji wajenge hoteli za kitalii.
2. Wamasai waondolewe ili waarabu wapewe vitalu vya uwindaji na wamilikisshwe hayo maaneo kwa miaka 99.
3. Wamasai wamesaliana ndani ya hifadhi kiasi cha kuadhiri wanyama pori ( from 10K in 1959 to more than 100K 2017)
4. Kuna...
Habari wanajukwaa
Nimekua napatwa na Hali ya kutopata ndoto usiku wa ijumamosi kuamkia jumapili hii imekaaje wakuu
Mwanzoni nilichukulia kawaida ila Hali hii imejitokeza tena usiku wa kuamkia Leo,ila kwa siku nyingine za wiki Hali huwa kawaida uwepo wa ndoto unakuepo.
Nawasilisha.
Kizimkazi ni kwao namba 1 wetu.
Kuna hili tamasha linafanyika huko.
Naona wasanii, media, mashabiki maarufu wa Yanga na Simba wanagharamikiwa Kila kitu kuinogesha Kizimkazi festival
Hili tamasha la Kizimkazi Lina tija Gani kwenye michezo au Kwa Watanganyika.
Yaani watu mamia Kwa mamia...
Hili jambo nimekuwa nikijiuliza muda mrefu. Ila kabla ya kwenda mbele, tupate maana ya 'Mfalme wa Muziki' fulani.
Tuanze na mifano hii, ili kuweka mambo kwenye muktadha. James Brown ni Mfalme wa Muziki wa Soul, Michael Jackson ndiye Mfalme wa Pop, Robert Marley ndiye mfalme wa Muziki wa Reggae...
Nitataja watu au matukio yaliyotrend Tanzania. Sitaweza kuweka kwa mpangilio.
Tabiri mtu atakayetrend , tukio au msemo utakaotrend hivi karibuni.
Komando madafu
Miso Misondo
Konki master
Lizer wa Tanzanite
Mandonga mtu kazi
Liquid piere
Aslay na Binti kungwi
Mwanachuo na Mirinda
Bashite na...
Kuna mambo yanastaajabisha sana. Huyu ni waziri anayepaswa kusimamia majukumu ya OR-TAMISEMI ambapo Majukumu ya OR-TAMISEMI yanatekelezwa katika ngazi ya Makao Makuu, Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa. Kwa kuzingatia Hati ya Rais ya Mgawanyo wa Majukumu (Presidential Instrument) iliyotolewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.