Wakati wakipita juu ya mto wakiwa kwenye boti kila mmoja alijiuliza mbona wengi sana baadaye inatoka taarifa kuwa wanamichezo ni 9 na ma-afsa wa serikali kutoka wizara mbalimbali ni 67 na watakaa kwa siku 16 zote za olimpiki hapa paris.
Sijajua Bongo aka nchi ya kitu kidogo tumepeleka wangapi...
Nishauri nimpende nani??? Maana sina mtu wa kumpenda. Kiukweli, sijui nimpenda nani, maana nikimpata mtu na kuwa serious naye, huyo anakuwa haeleweki.
Situngi wala siungiwi, nasiact kweli. Miaka inakwenda, sijui naelekea wapi. Ukiwa serious, yeye hayupo serious, akiwa serious wewe haupo serious...
Klabu ya Simba imemrejesha kikosini Patrick Rweyemamu kuendelea na majukumu yake ya kuwa meneja wa timu hiyo.
Rweyemamu amerejeshwa katika majukumu hayo baada ya msimu uliopita kuondolewa kwenye nafasi hiyo na kuwa Mkuu wa Programu za Soka la Vijana klabuni hapo.
Kurejea kwake anachukua nafasi...
Watu wa iPhone hujivunia simu zao kwa kuiponda Samsung.
Ukweli ni kiwa Samsung ndio huwatengenezea Apple Screen zote za Iphone.
Na sasa kwa iPhone 16 Apple watatumia Camera kutoka samsung ili kuboresha ubora wa picha zao.
Tunakoelekea kununua iPhone itakuwa sawa na kununua Lamborghini Urus...
Maswali yamekuwa mengi kuhusu jambo hili, Je, Kanisa liitii serikari au serikari itii kanisa? Je, Kanisa linaweza kuwa upande wa chama fulani? Je, serikali inatakiwa kuwaongoza waumini hata katika masuala ya imani?
Mimi nimeona vema kuandika kidogo kuhusu mada hii, baada ya kusoma maneno ya...
Amos Makalla Katibu Mwenezi wa CCM, Ambaye ni Mfadhili wa zamani wa Bendi ya FM ACADEMIA (siyo Vijana Jazz wala TOT), amebuni mbinu mpya ya kuandikwa na magazeti uchwara ili avume.
Sasa hivi ameanza kutembelea vitu visivyomhusu, ametembelea Uwanja wa soka wa KMC, ambao ni uwanja wa Manispaa ya...
Mko powa
Nawapa siri vijana kama kuna wanawake waliokomaa na walio serious kuwa WAKE WATIIFU kwa waume zao basi ni single mothers, hao wameshapevuka kiakili wameshajifunza kutokana na yaliyopita. Wana akili ya maisha, hawana makuu kwao kuolewa ni ndoto iliyotimia wanaienzi na kuiheshimu mno...
Kama ni uigizaji, atakuwa amevuka mipaka. Ni kuichafua nchi yake na raia wa Kenya kwa ujumla.
Lakini kama ni matukio ya kweli, anastahili pongezi. Ni ushushu wa hali ya juu.
Katika clips zake za matukio mawili niliyoyaangalia leo, nimeshindwa kuelewa kama ni matukio halisi au ni ya kutungwa...
Nimeona rais Samia akiwa huko ziarani akieleza ni namna gani ameshangazwa na kukuta wamama wazazi (watoto) wodini.
"Nilipokwenda kwenye wodi ya kinamama, na hasa watoto ambao hawajatimia,nimekuta mmoja tu ndio mpevu...lakini wengine wote ni kutoka miaka 15-19, niombe sana, wapeni nafasi watoto...
Tuzidi kumuomba Mungu wa Mbinguni aifanye Dunia kuwa Mahali salama
Hivi hawa Watoto wetu wamepatwa na nini jamani?
Mungu wa Mbinguni utuhurumie sisi
===
Soma Breaking News: - Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara
Hili jaribio la kumuua Trump akiwa katika kampeni linafikirisha sana.
Madhara ya kumuua Trump akiwa katika kampeni yangekuwa makubwa sana, kifo cha Trump kingeweza kupelekea machafuko makubwa sana ndani ya Marekani, pengine ingeweza kupelekea kutokea kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe (Civil...
Kama ni kweli kutokana na Mkatoliki Mmoja kuniambia kuwa anayetakiwa kwenda kula Ekaristi Takatifu / Mkate wa Bwana hasa Siku za Ibada za Jumapili na nyinginezo ni yule tu ambaye Kaungama dhambi zake Siku ya Alhamisi ya Wiki husika basi nina uhakika wa 100% Dhambi ambazo GENTAMYCINE ninazo mpaka...
Ama kweli Bongo hakuna wachekeshaji, na kama wapo basi ni wachache sana.
Leo Mjanja M1 nimepitia baadhi ya kurasa za wachekeshaji wa Bongo na nimegundua kuwa wengi wanaojiita comedians hawana vipaji vya uchekeshaji.
Ukiangalia kila anaejiita comedian Tanzania Maudhui yake mengi yameegemea...
Nimeshangaa sana jana nilikuwa beach nmoja wakati wa kulipa tukaomba kulipa hapa Zanzibar wakadai unakatwa asilimia 5 ya pesa unayolipa
Kwa ñn agizo la bosi
Leo nkaenda nyingine uwiiii mambo ni yaleyale sijui wameambiana nikageuka shaah baada ya kunywa soda
Sijui mnaojua haya mambo ninaona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.