MJADALA wa Kashfa ya Sukari umezungumza sana ndani ya Bunge na nje ya Bunge hadi kusababisha Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kufukuzwa bungeni baada ya kumtuhumu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe kusema uongo kuhusu utoaji wa vibali vya waagizaji sukari nje ya nchi.
Jana Profesa Bengesi wa Bodi ya...
haya nisiwe na maneno mengi
Mimi niliwekaga video ya mama samia akisema fanyaneni wakubwa kwa wakubwa muwaache watoto
Nikapigwa ban karibia ya wiki2 na masiku yakushanto
Haya sasa Gen Z hao wanasema Zakayo kashuka na anaenda kumuabdalia yesu mikate
GENTAMYCINE nikiwa kama mwana Yanga SC Tukuka nimefurahi mno Yanga SC kumsajili huyu Mchezaji na hakika Yanga SC yetu kwa Msimu ujao si tu kwamba inaenda Kubeba tena Kombe la NBC Premier League bali pia inaenda kuwa Bingwa wa CAFCL na tukienda katika Mashindano ya Vilabu duniani Yanga SC tena...
Kuna Clip moja inasambaa Diamond Platinumz ( Nasib Abdul ) anasema kuwa hata Yeye pamoja na kuwa na Hela na kuwapa kila Kitu Mademu zake lakini bado kuna Masela ( akimaanisha Sisi akina GENTAMYCINE ) huwa Wanamchapia / Wanambandulia Mademu zake na kwamba akigundua hilo basi nae kwa Hasira huwa...
Habari wakuu!Naomba kupata CV na biography full ya mbunge ALLY MAKOA ambaye ndio mwenyekiti wa kamati ya maadili,haki na madaraka ya bunge.Nadhan ni vizuri kumuelewa bwana huyu kwakuwa wenyeviti kadhaa wa kamati hii waliopita walijitahidi sana kulinda majina yao katika maamuzi kama George...
Kama kawaida yao, nchi ya Marekani hainaga mchezo linapokuja suala la haki za binadamu. Marekani inafuatilia kwa ukaribu hali ya usalama nchini Kenya.
Kwa yanayoendelea kwa jirani zetu, Serikali kama kawaida ya Serikali nyingi za Afrika, watu wasiojali maisha ya mwingine wameamrisha matumizi ya...
Tumalize huu ubishi ulioenea mtandaoni. Je, kati ya malkia wa bongo fleva Shilole a.k.a Shishi baby na msanii chipukizi (underground) anayeheshimika Juma Jux nani mkali zaidi?
Kwa wale wasiofahamu nyimbo zao nimewaandikia ili mkazisikilize huko YouTube.
SHILOLE
1. Lawama
2. Nakomaa na jiji
3...
Tetesi zimezagaa Luhaga Mpina hayupo mwenyewe na kuna kundi la wabunge walishirikiana naye kuandaa ile ripoti yake na bado wapo naye. Inadaiwa walikutana Dodoma eneo la Espirancee na kufanya kikao na kuandaa taarifa ile kwa Spika juu ya uongo wa Waziri Bashe.
Wabunge hawa ni kina nani?
Mugomo ulioanza Jana Dar es salaam sasa umefika jijini kwanza Leo maduka yote makubwa ya mefungwa. Jijini kwanza.
Kusema kweli huu si utamaduni wetu.watanzania wafanya biashara wanadai haki zao. Selikari nayoinatimiza wajibu wake swali ni Je Nani anawajibika kuleta suruhu la kudumu
Huyu Dr Mdimwa hajulikani siasa za nchi hii.
Kwzmba ni naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar, bado ni mwanasiasa mchanga sana nchi hii.
Tamko alilotoa kutaka Rais wa Zanzibar Dr Mwinyi aongezewe muda wa utawala toka miaka mitano hadi saba, inaonekana kama tamko la mtu asiyeelewa siasa na mipaka ya...
Tufe njaa kwa kulinda misitu? mkulima na kiongozi katika hili Nani asikilizwe?
Katika maisha ya sasa na siasa mwanasiasa anasimamia Sera za nchi mkulima anavunja Sera za nchi kumlisha mtunga sera za nchi nikiwa na maana kwamba mwanasiasa au kiongozi yeyote anasimamia Sera za nchi na kumnyima...
Hii ya kula mara tatu kwa siku naona kama imetapakaa dunia nzima. Nini chanzo au kunasupportive doc yoyote ya kitaalam.
Watu walitakiwa kula wanapohisi njaa na hisia hizo zitakapofikia hatua ya kuona kama nguvu zinawapungua.
Kwenye vitabu vya dini hatuoni mungozo wa mtu ale mara ngapi...
Kuna Kashfa kubwa ya Kampuni 4 ambazo zimepewa vibali vya kuagiza sukari huku zikiwa hazina sifa wala uzoefu wa biashara ya Sukari Je ni nani wamiliki wa makampuni haya yenye nguvu kubwa hadi Waziri Bashe akaruhusu wapewe vibali vya kuagiza Tani 410,000 za sukari nje ya nchi?
Kampuni hizo...
Mzee mbabe untouchable mkali ka Mugabe,
Hakuiva na Manji wenye ganji akasema akabwe,
Panya wakafyata mkia wakapotea wenye ngebe,
Acha kumpinga ukimsema unanyea debe,
Hakua mlevi wa uhuru kunyata kama kalewa,
Labda kama madaraka yanalevya alolevyewa,
Sometimes hivi vyeo vina hangover,
Lake gang...
Rais wa Urusi Vladimir Putin akiwa ziarani huko Korea Kaskazini ameonekana akiwa anabishana na mtawala wa nchi hiyo Kim Jong Un maarufu kama Kiduku kuhusu nani kuwa wa kwanza kuingia kwenye gari iliyoandaliwa kuwasafirisha wawili hao kwa pamoja. Itazame video hapa
Salaam, Shalom!!
Nani amekosa Maadili kati ya Hawa wawili?
Ni yule aliyedhamiria viwanda vya ndani vifungwe Kwa kuletewa sukari Toka nje ,fake, GMO ya Bei Chee yenye kuuzwa Bei sawa na sukari ya ndani yenye ubora, ilipiwayo Kodi, iliyoajiri Watanzania?
Anayepaswa kuhojiwa ni aliyelidanganya...
Viongozi wengi wa waAfrika ambao Nyie mliwaita freedom fighters wengi walipigania uhuru kwa manufaa yao na familia pengine na koo zao Mimi Nina hakika na hilo hususani kwa hapa Africa mashariki labda kidogo Patrice lumumba na wengine wengi ila kwa Africa mashariki wengi walipigania kwa maslahi...
HOW OLD ARE YOU? (UNA MIAKA MINGAPI?)
Katika somo hili fupi tunajifunza jinsi ya kuuliza umri wa mtu
Tuanze ......
Kuuliza umri wa mtu huwa tunasema: How old are you? Tamka ‘HAU OULD A YUU? – Una miaka mingapi?
Kwenye kujibu huwa tunasema I’m ………… (unataja miaka yako) ikifuatiwa na maneno...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.