Godoro la kioo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 456
- 1,003
Upi mtazamo wako kati ya mwanaume na mwanamke nani ana akili zaidi
Kwangu Mimi naona kama wenzetu Kuna sehem wametupiga gape kwa sababu zifuatazo
1)Mwanamke akipata Hela anawaza namna ya kujiimarisha, na kama ameolewa anawaza namna ya kuwa peke yake
Hali ni tofauti kwa mwanaume yeye akipata Hela asilimia kubwa utakuta anaweza kuhonga, kuoa, kuongeza mke wa pili
2)Mwanamke anaweza kuwa na milioni mbili ndan lakini kama mwanaume huna kitu anaweza kukulaza njaa na hata ukipewa basi baada ya muda utayasikia masimango
Kwa lugha nyingine ni kwamba Hela ya mwanaume ni ya wote lakini ya mwanamke ni yake
Ukumbuke maandiko yanasema tuishi nao kwa akili
Means Wana akili ni wajanja
Huo ni mtazamo wangu mtazamo wako ni upi