Sio Kila mhogo unafaa kwa matumizi ya chakula sababu Kuna aina ya mihogo ni sumu Sasa kama mnavyojua biashara ya mihogo ilivyoshamiri mjini wengi tunatumia kama vitafunwa assurance ya kitu kinacholiwa na binadamu ni jambo la msingi sana sababu hakuna mbadala wa uhai.
Kuna mihogo ukila baada ya...
Kuna mambo naona hata wenye mama tunaona kama ukiwa mtoto wa kiume basi mama hukupa majukumu akifikiri unamuongoza.
Tumeona Bangladesh huko waziri wa huko kumbe ni mambo ya mtoto wake mpaka kupinduliwa.
Sasa hapa unawezaje kumwambie afande awadhi wewe utakuwa IGP kisa mama yako ni raisi...
Kutoka ligi yoyote duniani.
Mi nadhani Hawa hapa hawatomaliza msimu na pengine hawatafika hata Christmas.
i)Eric Ten Haag
ii)Fadlu Davies
iii)Mourinho
iv)Vincent Kompany
Wewe mwanamichezo unahisi kocha gani atafukuzwa mapema?
Kwamba Mwanaume hupaswi Kuchelewa kuwa na Mtoto na kwamba unatakiwa kuwa na Mtoto kuanzia Umri wa Ujana na kwamba ukiwa na Miaka kuanzia 45 kwenda mbele hadi 50 au 55 hapo ukipata Mtoto wako wa Kwanza utaitwa Mchelewaji wa kuwa na Mtoto na kwamba hutoweza Kumlea vizuri na sijui atakuwa anakuita...
Watu dar naomba kuwauliza ivi ex ni nani..?Ni mwanaume/Mwanamke ulielala nae au uliempenda au kuishi nae Kisha mkaachana ndio mnamuita ex..?
Ex wangu fulani Kwa kigezo kipi mpaka awe EX..??
Mtusaidie watu wa mikoani mana wengi hatuelewi 🙏 Hatuna cha kuwalipa ila mkija mkoani kwenye misiba...
Mwali ni msichana ambae hajaguswa
Ukimpiga ziwa lake ni gumu kama skonsi
Huyo ndio mwali wa kike
Mwali wa kiume ni nani?
Mwali wa kiume ni mwanaume ambae bado hajaguswa
Hata ukimwuliza gololi zako zinaoshwa na mchanga, maji, maziwa au maji ya ndimu, atakujibu ndio nini!
Kwako wewe tujuze...
Ukiwasikiliza kwa sikio la kusia wana hoja, japo wapo kinyume na imani zetu, wapo kinyume na uungu na dini na vyote vyenye mwelekeo huo.
Nina nani haswa hawa , wamepata wapi elimu hio wanayo iwasilisha kwetu, madhumuni yao ninini na wametumwa na nani haswa?
Habari!
Kanisa hili ni jipya, lilifunguliwa Tanzania mnamo mwaka 2015. Kanisa hili lina makao yake makuu nchini Korea Kusini.
Kuna mengi nahitaji kuyafahamu kutoka kwa watu ambao wanafahamu abc's za kanisa hili.
Wewe unalifahamu vipi kanisa la SCJ Tanzania?
Karibuni tufahamishane!
Haya Wababe wa Jangwani na Msimbazi Kariakoo leo wanazichapa nyasi za kwa Mkapa. Kila timu ina wachezaji matata, usajili mpya, jezi mpya na kila kitu ila matokeo yataamua nani anaondoka na shangwe!
Kwa unavyoona maandalizi nani anamchapa mwenzake leo?
Kuna mtu kila nikiingia x namkuta anapost kusifia chips. Na hii ni baada ya wadau kumponda nadhan anatumia muda wake wote maishani kujaribu kuonesha yuko sahihi.
Wanaume/Mwanaume usile chips we mwanaume ujue.
Isipokua kwa wale second class men
KASHFA ya Sukari iliyoibuliwa na Mbunge Mpina hivi karibuni bungeni imemgharimu hadi kufukuzwa bungeni vikao 15 huku Bunge la Mwezi Agosti ambalo Mpina hatashiriki litafanya kazi ya kubadilisha na kutunga sheria mbalimbali... Swali Je hizo sheria zinazokwenda kutungwa huku Mpina akiwa amefukuzwa...
Mada hapo juu wakuu.
Je yupo aliyewahi kikopq benki ya NBC anipe experience. Msaada
https://www.jamiiforums.com/threads/benki-ya-nbc-wajirekebishe-watakuja-kuua-watu-kwa-presha.2213335/
Kuna mchuano mkali hapa, atakayetangaza nadhani ndo picha halisi kwamba ana nguvu kuliko mwenzake ndani ya Yanga.
Hapo lazima kutakuwa na anguko la mmoja kati ya hao hapo
Labda kuondoa sintofahamu atangaze Maulid Kitenge.
Je, kwa mawazo yako nani atapewa kipaza sauti siku hiyo?
Kati ya Mastaa wa Olimpiki waliotikisa Vichwa vya Habari ni Mturuki Yusuf Dikec na Mkorea Kim Ye-ji katika Mashindano ya Kulenga Bunduki ambao wote walishinda Medali za Fedha
Kim Ye-ji, amekuwa miongoni mwa Wanawake waliovutia Mashabiki wengi, amesifiwa si tu kwa ujuzi wake, bali pia mtindo...
Wakati Jude Bellingham aliposaini Borussia Dortmund, wazazi wake waliamua "kugawanyika" kusaidia wana wao wawili.
Mark baba alibaki na Jobe mchezaji wa sasa wa Sunderland na Denisse mama aliondoka na Jude.
denisse sio tu anashughulikia sura ya Jude, lakini anaishi naye, anaendelea kutazama...
Humiliki kiwanda chochote, hakuna bidhaa unayozalisha na kuipelekea nje; wewe kila siku ni kulia lia tu.
Mshahara ukichelewa tu kidogo, unakimbilia kwenye ule uzi pendwa.
Kwa upande wangu, mi nawalaumu wazee wangu walionipa elimu iliyofuta mawazo yangu niliyozaliwa nayo (kipaji), na kubeba...
Tundu Lisu amejitangazia kama ndio mgombea wa chadema katika uchaguzi mkuu ujao wakati bado hajakubaliwa na wenzake chamani.
Huko Chadem hakuna mtu aliwahi kugombea kwa vipindi viwili mfululizo,yeye amejitangaza kama nani ?
Je yupo juu ya chama ,juu ya wote ,yeye amekikamata chama
Vipi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.