Je, ni wanachadema wasiompenda Mbowe au ni wanaCCM wasiopenda mambo yalivyo kwenye awamu hii?
Je, ni fedha za wazungu?
Nani ana majibu haya maana Mh. Lissu hana fedha za kuweza kulipia gharama zote za mkutano na wajumbe.
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Dkt Tulia Ackson Mwansasu Mbunge wa Mbeya Mjini na Spaeker wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ambaye pia ndiye Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani na Mwafrika wa Kwanza mwanamke kushika nafasi hiyo tangia kuumbwa kwa ulimwengu na kuanzishwa kwa umoja...
Ndugu zangu Watanzania, Kila mmoja wetu atumie muda kujiuliza hili swali, Kwan Watanzania tumemkosea nn Mungu? Au tuna laana? Mbona hakuna tunachokiweza?
Tunashindwa kuendesha hata mradi mmoja tu wa SGR mapema hivi? Tumeshaanza blah blah Mara sijui engine za diesel.
Iko wapi nafasi ya usalama...
Tundu Lissu ndiye katuonyesha ujinga wa CHADEMA na ujinga wa wanachama wake.
Wanachadema ni manamba wa mtu, tuseme CHADEMA iliundwa kwa ajili ya Mbowe tu au watu wa kaskazini. Lakini najiuliza swali, kwa nini demokrasia CHADEMA ni ngumu sana kuipata?
Badala ya kumpima kwa hoja, wao wanamuona...
Tangu jana, mara baada ya Wakili Tundu A.M. Lissu kutangaza kugombea uenyekiti wa Taifa wa CHADEMA, kumekuwa na 'kuwapambanisha' Mwenyekiti wa sasa Freeman Mbowe na Lissu kwenye uchaguzi wa CHADEMA utakaofanyika mwakani.
Kuna siku nilimsikia Lissu akisema kuwa mtia-nia yeyote ndani ya CHADEMA...
Tunakosa hata huduma ya Bajaj na Daladala sababu ya njia mbovu, hutulazimu kutumia bodaboda na kukatisha kwenye viwanja vya watu. Mamlaka zinazohusika na Miundombinu hii ziangalie namna ya kutusaidia Wananchi tunaoishi maeneo ya huku tunapata changamoto kubwa kupita.
Ikitokea una dharura kama...
Anonymous (93e6)
Thread
barabara
kubwa
magari
marekebisho
mwema
nani
njia
wakazi
Habari za mda huu Wana michezo Kila ukiangalia squad ya yanga akiwa anacheza Champions league kuanzia mechi ya kwanza na Al HILAL naona jina la zawadi MAUYA
Nikajua maybe ni kosa la AZAM TV mechi ya juzi na MC ALGER pia jina Hilo limejitokeza
Je yanga mambo yao yanaendeshwa kihuni tu bila...
Mnaosema kama hauna mzito unaye fahamiana nae serikali/ shirika fulani huwezi pata kazi, haya mbona uncle magu alilamba uraisi na alitokea chato, kwanini wewe unaamini katika connection? Mbona uncle magu alitoboa bila ya connection?
Kwa nini majina ya wabunge wetu waliopata ajali wakiwa safarini kwenda Kenya kwenye michezo hayajatajwa? Kuweka siri majina yao kunaashiria nini kwa mustakabali wa Taifa?
Ni haki yetu wananchi kufahamu maendeleo ya afya za viongozi wetu na kutuficha ni makosa!
Sifahamu mengi kuhusiana na bunge la sasa!
1. Nani kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni?
2. Nani mnadhimu wa kambi ya upinzani?
3. Kuna mawaziri vivuli katika bunge la sasa? Wamepatikanaje?
Kwenye wimbo wa nipeni maua yangu wa msanii Roma kuna mstari unasema hivi: Askofu mfufua wafu anaiba kura za mpinzani atashindwaje kuiba sadaka za waumini kanisani.
Mchungaji akitaka gari twamchangia muumini akitaka gari twamuombea, basi mchungaji tusimpe sadaka tuombee tukae pale tushuhudie...
Tupate elimu kidogo wana JF: Hamas ni chama cha siasa ambacho kinatawala ukanda wa Gaza. Ingawa ni chama, lakini pia Hamas ni kundi la wanamgambo wenye silaha mfano wa jeshi.
Hamas ni ufupisho wa maneno Harakat al-Muqawama al-Islamiyya ambapo kwa Kiswahili ni Vuguguvu la Upinzani la Kiislamu...
Watawala wa Afrika wanadhani JWTZ ni Wanachama wa CCM.
Watawala wanadhani JWTZ ipo kwaajili ya kuwalinda wabaki madarakani.
Nawakumbusha tu. JWTZ ni Jeshi la wananchi wa Tanzania. Na wapiga kura ni Wananchi wa Tanzania.
Ni vizuri tukakumbushana haya. JWTZ si TPF, muulizeni Mama Nyerere...
Wakuu heshima yenu.
Maandiko Yako wazi yanatuambia kuwa Shetani au Ibilisi aliasi huko mbinguni na akatupwa Duniani.
Na mara zote tunaambiwa Huko mbinguni hakuna dhambi maana wanaishi viumbe watakatifu tu akiwako na Mungu Baba.
Tena Bibalia inasema katika kitabu Cha mwanzo Nanukuu..
Mwanzo...
Bila fedha na silaha za Marekani, Israel ingekuwa marehemu. Huwa najiuliza. Nani anamtumia nani na kwanini?
Je hapa tatizo ni uzawa wa Israel uliotengenezwa kijambazi na wazungu kupitia Biblia au wese la waarabu? Ukiangalia misaada inayotolewa na marekani kwa Israel unachanganyikiwa.
Ni mingi...
Wanasema huyo Andy Bikoko ndiyo sababu kuu ya kuwafukuzisha wazungu wawili yanga na singida black stars klabu mbili ndugu wa damu.
Eti ni jamaa moja katili sana liliwatia mfukoni Pacome, Azizi Ki, Chama, Maxi na Mzize jana tena Elvis Rupia, Ayubu Lyanga na wenzake wamekutana na jitu baya Andy...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.