Kwa mujibu wa kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa za mwaka huu hakuna mgombea atakaepita bila kupigwa badala yake kutakuwa na kura ya NDIO au HAPANA kama itatokea mgombea ni mmoja katika nafasi husika.
Vyama vya siasa vina haki ya kuweka mawakala katika vituo vya kupigia kula ikiwa vimetoa...
Aman iwe kwenu watumishi wa mfalme mkuu aliyetuumba na vyote vilivyomo naye ni MWEMA sana ni MWAMINIFU sana
Nimekuwa ni mfatiliaji sana wa maandamano pale msumbiji lakin kitu ambacho nimekuwa nikijiuliza sana ni juu wa waandamanaji
Waandamanaji ambao nimewaona ni kuanzia watoto, wanawake...
Wakuu,
Leo ni Siku ya Watoto Duniani! Ulipokuwa mtoto, ulitamani kuwa nani?
Je, umefikia ndoto zako, au bado unazifanyia kazi?
Kumbuka, ndoto za watoto ni halali na zinaweza kutimia! Tuendelee kujenga mazingira yanayowawezesha watoto wetu kufanikisha ndoto zao
Nilikuwa natazama nominations ya tuzo fulani hapa Tanzania.
Nikaona majina ya brand ambassadors wanaochuana kama mnavyoona kwenye picha.
Kwa mtazamo wako unadhani ni nani bingwa hapa kwa kuitambulisha bidhaa kwa mteja na ikamvutia na kuitumia?
Mimi kwa sasa nasimama na Babalevo.
Hizi tume binafsi sijawahi kuziamini kabisa zaidi ya kutumia kodi zetu.
Hivi unajua engn wa lile gorofa la Changombe lilodondoka tukasikia tume ushawahisikia matokeo ya tume?
Je wajua engn alietajwa kusimamia lile ghorofa n mmoja wa mabosi wakubwa.
Soma Pia: Live Updates Kuporomoka kwa...
Nimeona watu hawa wenye ushawishi mkubwa wametua Kongwa. Ni maandalizi ya uchaguzi wa mwaka 2025? Nani kati yao analitaka jimbo? Ni ziara ya kawaida au kimkakati?.
Mkiyapata majibu ya swali hili mtajua umuhimu wa kulinda ndoa zenu.
Maandiko yanasema mwanamke mjinga huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe.
Umeolewa unakuta sms moja tu kwenye simu ya mumeo unaondoka na watoto.unaenda kuolewana lizee au unageuka nyumbandogo ya mume wa mtu.
Hao watoto...
Japo bado tunaombeleza, tunapaswa kuanza kutafuta suluhu ya mabalaa kama haya ambayo nimekuwa nikiyasikua huko kwa majirani zetu Kenya, India na hata Nigeria.
Sasa yametufika. Kwanza, nani alaumiwe baina ya wenye nyumba na serikali? Pili, nini dawa ya tatizo hili? Je tutegemee mengine kama...
Huyu mmiliki wa hilo jengo lililoporomoka hapo kariakoo ni nani mpaka anafichwa hivyo?
Naambiwa na mtu mzito (kigogo)
Tamaa yake ya kutaka kuongeza eneo chini ya ghorofa imekula maisha ya watu?
Ni wakati muafaka sasa wa kumjua
Kuna baadhi ya matajiri duniani mfano George Soros na Bill Gates huwa wanatuhumiwa sana kuwa puppet masters wakiwaendesha wanasiasa kama vikaragosi vyao na kuwafanya watimize zinazodaiwa kuwa na ajenda zao ovu kama depopulation, mass control, ushoga n.k
Sasa inakuaje Elon Musk tajiri namba...
Ktk kipindi hiki muhimu kuelekea mchezo wa kufa na kupona kuelekea kufuzu AFCON.
Badala ya kuhamasisha umoja wa timu, wao wanajadili nani bora kati ya Msuva na Samata.
Nadhan tuna safari ndefu kufikia Uchambuzii wa Michezo wenye tija kwa taifa
Wakuu kuna jamaa anaitwa amos nyanda ni nani hasa?
Jamaa ana madini sana aisee na kati vijana ambao miaka kadhaa watafika mbali sana.
Mshikaji yupo vizuri sana kule X anatoa madini sana ya sales na copywriting inshort mshikaji ni noma na hatari sana
Mtu anayeamini kuwa CCM bado ni chama halisi anajidanganya. Kwa sasa, ni genge la watu wanaoendekeza udhalimu, kusifia na kutetea uovu. Chama kimeshikiliwa na watu wanaotenda uovu bila kujali mateso ya wengine; hawataki kusikia sauti za watu wema waliopo ndani ya CCM.
Leo hii, Mr. Nchimbi...
Inasikitisha sana kuona nchi inayofuata utawala wa kidemokrasia inakumbwa na mambo yasiyofuata sheria, taratibu, na kanuni kila inapofika wakati wa uchaguzi. Wagombea wengi kutoka vyama vya upinzani wameenguliwa kwa sababu zisizo za msingi, kama vile herufi moja kwenye jina kukosekana, fomu...
Pale Ikulu kuna watu wanalipwa mishahara ya bure. Tabora United na Yanga ni timu za nchini inakuwaje moja ipongezwe moja inangwe? Je, ni mara ya kwanza Yanga kufungwa?
Kama mtu ni mgeni anaweza kudhani labda ilikuwa mechi ya kimataifa kati ya Tabora united na Yanga ya Burundi, kumbe zote ni...
Mke na mume walifikia maamuzi ya pamoja kujiua (committing suicide) baada ya kupitia katika nyakati ngumu za maisha yao pamoja. Hivyo wakaamua kujirusha kutoka juu ya jengo lenye ghorofa 20.
Wakati wamefika juu ya jengo hilo refu, pamoja wakakubaliana kuhesabu 1 hadi 3 na waruke. Walipofika...
Nakumbuka miaka hio maeneo ya mianzini Panya Road kama 20 hivi wanavamia nyumba kadhaa Kila mtu anakuwa mdogo wanachukua wanachotaka kwenye compound nzima let's say apartment 5 basi wanavuruga kote na mnavhezea panga yente yente kama zote kama kawaida.
Enzi hizo makao mapya yote haikuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.