Swali: Dunia bila Mwanaume je nani angemlinda Mwanamke?

Dr. Mariposa

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
5,921
Reaction score
19,772
Hili swali nimelikuta sehemu nikavutiwa na mjadala wake,
Hivi kabisa mwanaume amlinde mwanamke dhidi ya nani? Mjusi? Mende? Panya? Buibui? au Mdoli? Lol,

Ni lini Mwanamke akahitaji ulinzi wa mwanaume? Mwanamke siku zote hujilinda dhidi ya mwanaume na sio otherwise,

Hivi mnajua dunia ingekua salama sana kama kusingekua na mwanaume? wanyama wangeishi kwa amani na furaha tena wangekua marafiki wa Wanawake,

Kusingekua na vita wala umwagaji damu, kusingekua na ubakaji wala ulawiti, kusingekua na ufisadi wala kujilimbikizia mali, kusingekua na rushwa za aina yoyote, Wanawake wasingehofia kunyanyaswa au kudhalilishwa,

Mother Nature angekua na furaha, kila kitu kipo kwenye mpangilio wake,

Mwanamke sio dhaifu wa kuhitaji kulindwa, ogopa kiumbe kinachobeba kiumbe kingine na kukitoa katikati ya mapaja yake,
Siku zote mwanamke ndie mlinzi wa kiumbe hicho,

Wanaume hawana wanacho offer zaidi ya uharibifu wa mazingira na mijasho yao mikali ya makwapa,

#Panicatyourownrisk🚫
 
📌📌📌 Ukweli mchungu.

Kusingekuwa hata na Vilio.
 
Wanaume hawana wanacho offer zaidi ya uharibifu wa mazingira na mijasho yao mikali ya makwapa,🥺🥺🥺🥺

Thread 'Mwongozo Kamili: Chanzo, Kinga, na Tiba ya Harufu Mbaya Sehemu za Siri' Mwongozo Kamili: Chanzo, Kinga, na Tiba ya Harufu Mbaya Sehemu za Siri
 
1000027480.png

Mwanaume mashine
Nyie bila sisi hamtoboi jirani
Sisi ni mbegu nyie ni ardhi
Sisi ni wa muhimu mno kwenu
 
Kuna kitabu kinaitwa Universe 25.,kinaelezea Tafiti ya John B. Calhoun alifanya miaka ya 1960s and early 1970s...
Jamaa alitengeneza Paradise ya Panya,,alikusanya Panya wengi akawaweka mahala pamoja without predators wala shida yeyote,bila kuingiliana na kiumbe chochote,.Maji mengi,chakula kingi na Kila kitu ambacho Panya angependa just to make panya comfortable..

Miezi ya mwanzo it was so fun and all,baadae Panya wakaanza kua aggressive,kupigana wenyewe kwa wenyewe,.kuuana...Kuna panya ambao Doctor aliwaita "Beatiful one" walikua wanakula tu na kulala,.

After 6 months panya wakaacha ku Mate,Pia kati yao zikaanza kuibuka tabia za kichoko..

After muda panya wote wakafa sababu waliacha kuzaliana..

Nilichojifunza ni kua Life needs more than survival,balance and Nature ndio iliamua kuwe na mwanamke na mwanaume, kusingewezekana wanawake peke yao wala wanaume peke yao..
 
Naam hope unaye tayari.
Lkn pia ukiweka pembeni jinsia zetu. Binadamu tunafanana, kuna wanawake wanao display masculinity kuliko hata wanaume na vivyo hivyo kwa wanaume.
Mimi namwona binadamu mwenye uke/ uume.
Nilikuwa nawaza hivi pia, wanaume wasingekuwepo wangekuwepo wanawake ambao wenye kudisplay toxicity kama wanaume
 
Back
Top Bottom