Anameza nyokaDr. Unaweza kuua nyoka?
Umeshaharibu huko pambana na hali yakoHili swali nimelikuta sehemu nikavutiwa na mjadala wake,
Hivi kabisa mwanaume amlinde mwanamke dhidi ya nani? Mjusi? Mende? Panya? Buibui? au Mdoli? Lol,
Ni lini Mwanamke akahitaji ulinzi wa mwanaume? Mwanamke siku zote hujilinda dhidi ya mwanaume na sio otherwise,
Hivi mnajua dunia ingekua salama sana kama kusingekua na mwanaume? wanyama wangeishi kwa amani na furaha tena wangekua marafiki wa Wanawake,
Kusingekua na vita wala umwagaji damu, kusingekua na ubakaji wala ulawiti, kusingekua na ufisadi wala kujilimbikizia mali, kusingekua na rushwa za aina yoyote, Wanawake wasingehofia kunyanyaswa au kudhalilishwa,
Mother Nature angekua na furaha, kila kitu kipo kwenye mpangilio wake,
Mwanamke sio dhaifu wa kuhitaji kulindwa, ogopa kiumbe kinachobeba kiumbe kingine na kukitoa katikati ya mapaja yake,
Siku zote mwanamke ndie mlinzi wa kiumbe hicho,
Wanaume hawana wanacho offer zaidi ya uharibifu wa mazingira na mijasho yao mikali ya makwapa,
#Panicatyourownrisk🚫
🐶 Style ungeijuaje madam...kama wanaume wasingekuepo....?📌📌📌 Ukweli mchungu.
Kusingekuwa hata na Vilio.
Haujamuelewa mleta mada!Case study:
Shule za bweni za wasichana pekee huko hakuna ugomvi, uonevu na wizi?
Kenya juzi juzi tu, wasichana wachache wamewasha moto mabweni ya kulala huku wenzao wakiwa ndani.
Walikufa wanafunzi kadhaa.
Hii tunaita proof by counter example.
Mpaka hapo nadharia yako imethibitishwa siyo sahihi kwa mfano hai.
Nilifikiri daktari wanasoma hesabu za logic.
Jalada lifike kwenu wakuu kwa uhariri
Mshana Jr , ephen_ , Khantwe , Joanah
Itakuwa hivyo.Haujamuelewa mleta mada!
Mleta mada kuna kitu anawatafuta wanaume na nyie bado hamjampa.Itakuwa hivyo.
Ndiyo maana nimeleta kwenu.
Namjua ni mliberali feminist.Mleta mada kuna kitu anawatafuta wanaume na nyie bado hamjampa.
Fuatilia mfululizo wa nyuzi zake hivi karibuni.
Nimecheka alivyosema mnanuka makwapa.
Naye ni De GunnerKuna mwamba humu jf Huwa anasema...
"Mwanamke Akipenda shule akakuza ego baada ya kui integrate na wisdom ana geuka kuwa toxic tu."
Mimi nimeshamjibu huko juuCase study:
Shule za bweni za wasichana pekee huko hakuna ugomvi, uonevu na wizi?
Kenya juzi juzi tu, wasichana wachache wamewasha moto mabweni ya kulala huku wenzao wakiwa ndani.
Walikufa wanafunzi kadhaa.
Hii tunaita proof by counter example.
Mpaka hapo nadharia yako imethibitishwa siyo sahihi kwa mfano hai.
Nilifikiri daktari wanasoma hesabu za logic.
Jalada lifike kwenu wakuu kwa uhariri
Mshana Jr , ephen_ , Khantwe , Joanah
Naam hope unaye tayari.
Lkn pia ukiweka pembeni jinsia zetu. Binadamu tunafanana, kuna wanawake wanao display masculinity kuliko hata wanaume na vivyo hivyo kwa wanaume.
Mimi namwona binadamu mwenye uke/ uume.
Mngetengenezewa mifumo ya kuishi na mother nature na bado mngeanzisha dawati la malalamiko kwamba kila panya wakiwaona wanatembea kwa kudemka kuwazidi.Nanyi hampendi hiyo tabia.Hili swali nimelikuta sehemu nikavutiwa na mjadala wake,
Hivi kabisa mwanaume amlinde mwanamke dhidi ya nani? Mjusi? Mende? Panya? Buibui? au Mdoli? Lol,
Ni lini Mwanamke akahitaji ulinzi wa mwanaume? Mwanamke siku zote hujilinda dhidi ya mwanaume na sio otherwise,
Hivi mnajua dunia ingekua salama sana kama kusingekua na mwanaume? wanyama wangeishi kwa amani na furaha tena wangekua marafiki wa Wanawake,
Kusingekua na vita wala umwagaji damu, kusingekua na ubakaji wala ulawiti, kusingekua na ufisadi wala kujilimbikizia mali, kusingekua na rushwa za aina yoyote, Wanawake wasingehofia kunyanyaswa au kudhalilishwa,
Mother Nature angekua na furaha, kila kitu kipo kwenye mpangilio wake,
Mwanamke sio dhaifu wa kuhitaji kulindwa, ogopa kiumbe kinachobeba kiumbe kingine na kukitoa katikati ya mapaja yake,
Siku zote mwanamke ndie mlinzi wa kiumbe hicho,
Wanaume hawana wanacho offer zaidi ya uharibifu wa mazingira na mijasho yao mikali ya makwapa,
#Panicatyourownrisk🚫
Hili swali nimelikuta sehemu nikavutiwa na mjadala wake,