Nyie wanawake wa siku hizi mnaojitafuta kwanza kabla ya ndoa nani atawaoa?

MFALME WETU

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2021
Posts
5,824
Reaction score
14,757
Naona saiv hili suala la wanawake kujitafuta kiuchumi kabla ya kuolewa lmekua common sasa.

Zamani tulizoea mwanaume ndo anajitafuta kwanza kisha aoe lkn saiv meza imepinduka, kila mwanamke unaekutana nae kwenye mahusiano anakwambia anajitafuta kwanza ndo aolewe, anataka anunue kiwanja ajenge mara aanzishe biashara n.k

Kuna mwingine unamwambia nataka tufunge ndoa mwaka huu au mwakani anakwambia yeye badobado kwanza bado kuna vitu hajaweka sawa hahaah.

Naombeni tu kujua nani atawaoa? au mnataka muanze kuoa?
 
Na iyo nyumba unayokuta anajenga au kiwanja akishaolewa inakuaje? Wanaenda kuishi kwa nyumba ya mwanamke au wanajenga kwa kiwanja cha mwanamke au wanauza kama mwanaume ashajipata? Hey
Akiwa na nyumba ni yake, tuta earn mapato hapo sio yangu, Ila siwezi kukaa kwenye hiyo nyumba..

Kwann auze hatopata mtoto ? Mtoto ana haki ya kumrithi kwenye mali tunakosa elimu na hekima tu,

Vipi wanaopewa gari, nyumba pesa na wazazi wao ??
 
Naona saiv hili suala la wanawake kujitafuta kiuchumi kabla ya kuolewa lmekua common sasa.

Zamani tulizoea mwanaume ndo anajitafuta kwanza kisha aoe lkn saiv meza imepinduka, kila mwanamke unaekutana nae kwenye mahusiano anakwambia anajitafuta kwanza ndo aolewe, anataka anunue kiwanja ajenge mara aanzishe biashara n.k

Kuna mwingine unamwambia nataka tufunge ndoa mwaka huu au mwakani anakwambia yeye badobado kwanza bado kuna vitu hajaweka sawa hahaah.

Naombeni tu kujua nani atawaoa? au mnataka muanze kuoa?
Wanaamini ndoa ni kama ajira (yaani ni ngumu kuolewa)

Ndio maana wanaamini katika self employment (kujipanga na u single)
 
Back
Top Bottom