Kwamba atamrithisha nani?? Hana mtoto au watoto hiyo nyumba apangishe tu earn mapato
Ngoja nikupe scenario hii
Wazazi walioona kila mmoja katika kwao, mzee akiwa na harkati zake na Maza akiwa na business zake
Tukakua hivyo hivyo business za wazazi wangu ndizo zimetusomesha na kufanya bills nyingn home hasa mzee Kuna kipindi mambo hayakwenda sawa lkn business za upande wa pili zili cover kila kitu na hakuna mtu wa nje alikua zaidi ya familia tuu,,
Mama alipotoka Kuna mashamba wamepewa coz hawana kaka, kwahiyo kila mtoto akapewa kiwanja ama eneo lake,
Kwahiyo hilo eneo haturuhisiwi kulima?? Au kukata majani ya ng''ombe mzee ??
Pale Maza kaotesha nyasi na mazao na tunalishia nyasi ng''ombe na masalia ya mazao hayo
Kumbuka mzee naye ana hekari kumi naa hv na zote zinalimwa
Eniwei wazazi wangu wamenifundsha umimi ubinafsi mkishakuwa wanandoa hauna maana yoyote kila mmoja akisema hiki ni changu hamna kazi hapo
Ko siwezi kuwa na mwanamke mwenye nyumba sijui ana source of income afu ni mke wangu nisijue hizo hela zinatumika vipi
Unafik ni hapana