Tunajua kwa exposure uliyopata kwa kusoma una expect vitu vikubwa huku ukisahau kwamba nidhamu ya fedha ndo kila kitu kwenye maisha ya biashara na ndo maana biashara nyingi zinafilisika
Mimi hainiingii akilini kabisa inawezekana vipi kijana msomi una degree yako safi unaua biashara ya duka ya...
I will be short
1. Taifa stars inahujumiwa na watu wa TFF. Kuna watu waondoke stars tuwe modern?? What was that??
Kocha wa stars kama a dummy asiye na akili. What was that substitution?? AFCON he did the same.
2. Who hired a manager who has 0 achievements in the local league?
not a single...
Wanywa bia huu ushamba wa kumwaga bia chini ili kuangalia povu kisha kusema bia imeharibika au nzima nani aliwadanganya?
Huwa nawaona mnavyobishana na wahudumu kuhusu bia kama ni nzima kwa kumwaga na kuangalia povu natamani walinzi wawapige tanganyika jeki na kuwatupa nje.
Tuwe wakweli na serikali pamoja na wadau wengine tutoke kwenye blanketi la unafiki inajulikana wazi kwamba mahali popote ambapo matokeo ya uchaguzi yanatabirika, hakunaga ari ya ushindani.
Watu huona kwamba hakuna sababu ya kwenda kupangishwa foleni na kupigishwa kura wakati hata mshindi...
Kama mjuavyo Commonwealth Heads of Government Meeting tarehe 25-26 Oktoba 2024 huko Samoa. Nani anapeleka agenda yetu huko? World Food Summit, Rome, Italy kama kawaida.
Juzi usiku nilikuwa kijiweni kwangu nikitoa huduma kama kawaida, mara akaingia dada mmoja ambaye namfahamu akiwa ameambatana na wadada wengine ambao nao sio wageni pamoja na watoto wakiume wawili.
Mtoto mmoja namfahamu ni wahuyo dada nikajua wamekuja kwa ajili ya matibabu zaidi maana Siku 2...
Nimekua nikiona mara kadhaa watu wakilalamika taarifa za mawasiliano yao kwa simu kuvuja, ikiwemo ya sauti, sms na mara nyingine hadi whatsapp.
Nimekua nikijiuliza sana kuwa ni rahisi kiasi gani jambo hili linafanyika kiasi cha kuathiri watu wengi hivi.
Je ni kampuni za simu pekee ndio...
Naona kila mtu yupo busy na Landlover festival.
Makamanda Arusha tupeni feedback ya mkutano wa Lema wa juzi.
Au ndio kashapotezwa na Makonda kwa kukubalika kwa Makonda?
Natambua joto la uchaguzi limepanda sana huku maisha ya wananchi yakizidi kuwa magumu. Natambua wazi kwamba njia sahihi ya kumpumbaza maskini nikumpa pombe na chakula.
Natambua pia kwamba pombe na chakula cha siku moja siyo tiba yakudumu ya maskini bali tiba yakudumu nikumpa fursa za...
Nimekuwa nikisafiri kwa mabasi kwenda mikoa mbalimbali na kuna maudhui mbalimbali (muziki na filamu) yanarushwa kwenye tv za basi.
Vyombo hivi vya usafiri husafirisha watu wa umri tofauti, undugu wa karibu na dini tofauti. Maudhui yanayorushwa wakati Fulani hayazingatii mazingira ya wasafiri...
Kamati ya Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) kwa kushirikiana na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), wametangaza kuwa sherehe ya utoaji wa tuzo hizo itafanyika rasmi tarehe 19 Oktoba 2024, kuanzia saa nane mchana. Tuzo hizo zitatolewa katika Ukumbi wa The Super Dome, Masaki, Dar es Salaam.
Vipengele...
Siku hizi kuna umoja wa kila sekta, pale Arusha kuna umoja wa wauza nyama, wanakubaliana kupanga bei wanavyotaka na ole wako uuse chini ya hiyo bei.
Sasa hivi kila butcher Arusha kilo moja ni TZS 12,000/. Hakuna mamlaka au chombo cha kudhibiti huu upandishaji holela? Mlinzi wa mwananchi ni...
Wadau kuna watu ni wakorofi hasa wakigundua kuwa eneo alilonalo ni dogo hivyo hulazimika kufanya uhuni kama huu. Najua kuna wengi yamewakuta kama haya.
Kampuni hiyo ya Askari Metals kupitia kampuni yake tanzu ya tanzania ujulikanayo kama Infinum Uranium so far tunaweza kusema imekwisha pata "baraka" zote za uwekezaji kutoka serikali ya SSH.
Kwa kuanza, kampuni hiyo itafanya utafiti wa sampuli za miamba na geographia kabla ya kuanza uchimbaji...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma, imewahukumu kifungo cha maisha gerezani washtakiwa wanne maarufu ‘waliotumwa na afande’, baada ya kuwatia hatiani kwa kosa la kubaka kwa kundi na kumwingilia kinyume cha maumbile binti, mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam.
Ni katika kesi ya jinai namba...
binti
binti aliyebakwa yombo
binti wa yombo
binti wa yombo dovya
hukumu kesi ulawiti
jela maisha
kifungo cha maisha
mbona
mmoja
nani
ulawiti binti wa yombo
wanne
watano
yombo dovya
Lebanon imekuwa chini ya mashambulizi makali ya makombora kutoka kwa Israel katika muda wa wiki mbili zilizopita, ambayo yameua zaidi ya watu 1,000, na eneo lake limevamiwa na wanajeshi wa Israel. Hii ni kwa sababu ya mzozo wa sasa kati ya Israel na Hezbollah - chama cha kisiasa na wanamgambo...
Diddy ni nani na anatuhumiwa nini?
Sean "Diddy" Combs kwenye hafla ya Met Gala ya 2017 huko New York
4 Oktoba 2024
Ni nguli wa muziki aliyefanikiwa sana, Sean "Diddy" Combs, lakini sasa anakabiliwa na msururu wa tuhuma za unyanyasaji wa kingono ambazo zinaweza kuhitimisha kazi yake ya miongo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.