Salaam, Shalom!!
To start with, Kila kiongozi na Kila mwanasiasa na ajue ya kuwa uchaguzi ni vita, na kiongozi yeyote ashindaye, anabeba sura ya Mungu au miungu iliyompa uwezo kukaa katika KITI chochote Cha mamlaka.
(1 Wafalme 22: 19-20)Says:
19: Mikaya akasema, sikia basi neno la BWANA...
Bwana Trump ana viporo vingi mahakamani.
Je nini kitatokea kama bwana Trump ataenda jela?
Nani atakuwa rais? Au watamsubiri mpaka amalize hukumu kwanza au vipi, au nchi itabidi irudie uchaguzi?
Wataalam msaada hapo.
Natanguliza shukrani
Kwema ndugu zangu. Kama mada inavojieleza, leo nikiwa nimelala kunasauti inanijia kwenye njozi ulime. Kusema kweli ni saut ambayo inaukweli ndani yake but kinacho niumiza kihisia ni kwamba sina mtaji wa kwenda nao farm kwa sasa, Nawasilishaa.
Story kutoka mtandaoni Facebook 👇👇 Masudi anaelezea
"Siku moja mida ya usiku nipo maskani tumepaki bodaboda zetu na washkaji zangu ikaja gari ikapaki pembeni ya bodaboda zetu. Ndani kulikuwa na jamaa.
Sisi tuliendelea na story zetu. Ghafla akaja binti mmoja wa pale kitaani kwetu akaingia...
NANI ALISTAHILI 🎵🥱
Sehemu ya Kwanza
MTUNZI: Madodi ✍🏼
WHATSAPP: 0655 969 973
Mambo??
Habari??
Hi??
Zilikuwa jumbe tatu nilizozikuta upande WA messenger katika account Yangu ya
Facebook Kutoka Kwa Rick. Nilijiuliza 'nani huyu?? Mbona jina jipya simfahamu?' Niliamua kujibu Kwa sms moja
"Safi nani"...
Mfano magari yote yanatumi carnot cycle invention! Mengine yote baada ya carnot cycle invention, I can call it Industrial designs tu ndizo tofauti!
Sasa hawa Youtube na Tiktok wanatofaunian namna gani technologywise!
Akizungumza na mwanablog Magendela kupitia SALMA MADAI IT ANAYETEMBEA NA NDOTO ZA RAIS DKT SAMIA
Novemba, 2023, mdada mrembo wa sura na umbo, ameelezea ndoto za kuwa Rais wa Tanzania siku baadae.
Salma ambaye amekuwa akijiita Salama wa Samia Suluh katika mtandao instagram, amedai kuwa na asili...
Mpo salama Wakuu!
Mwaka Jana FaizaFoxy aliibuka kidedea Kwa kuwa Mrembo zaidi humu JF ingawaje wengine walisema ni mwanaume Wengine wakasema ni Bibi kikongwe. Lakini yôte Kwa yôte yeye ndiye aliibuka kidedea.
Sasa Kwa Mwaka huu tutakuwa na orodha ifuatayo.
1. Midekoo
2. Palina
3. binti kiziwi...
WANAWAKE WENGI HUONDOKA NA WATOTO WAKIDHANI WANAUME WATAWAFUATA. SIJUI NANI ALIWADANGANYA KUWA MWANAUME MTEGO WAKE NI MTOTO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Watoto uliowazaa wanaumuhimu Kwa Mwanaume pale unapoishi naye. Weka akilini hiyo.
Weka na hii Hapa, Mwanamke anaumuhimu Kwa Mwanamke...
Watanzania wameshuhudia matamshi ya aliekuwa mtendaji mkuu wa chama wa zamani na msomi Dr Silaa akilalamika hadharani kuwa CHADEMA aliyotegemea ni tofauti na uhalisia kwa maana imepoteza mfano na uwepo wa UTOTO mwingi sana ndani ya CHAMA.
Je, Watanzania wenzangu chanzo halisi cha hiki chama...
Kama utakuwa umefanya utafiti kidogo, utagundua wanawake waliozaliwa miaka ya 80 mpaka leo hii, walio wengi mahusiano yao yanabebwa na pesa.
Wanakuwa na hisia na mwanaume, iwapo huyo mwanaume anaweza kuhudumia au kuhonga.
Kwa mazingira ya sasa, mwanaume huna hela usitegemee kupata mahusiano...
Japo katika kujibu swali hili kutahitaji historia, naomba tujitahidi tusilete udini bali chanzo halisi cha mgogoro huu wa Palestina na Israel.
Ninachokijua kime-base kwenye dini na ndio maana nashindwa kukiweka hapa, nawaomba wataalamu wa Historia ya Israel na Palestina watusaidie, pia mtu...
Mawakili 100, kwa walau shilingi million kumi kwa wakili, ni takribani bilioni moja. Mpina kazitoa wapi? Nani anamfadhili? Na kwa nini anasumbua viongozi na mambo yake, mpaka anawanyima muda wa kutekeleza ilani na kuhudumia wananchi?.
Yaani Mpina anachukia watanzania wakinunua sukari kwa bei...
Ni maisha ya mashaka mashaka sana kwa kweli. Viongozi wa mashujaa wetu kwa sasa wana hali mbaya sana. Moja haikai mbili haisimami. Wanaishi kwa kujificha ficha sana. Kama panya. Wanaishi mashimoni na kwenye mapango.
Khayatollah amefichwa sana na anahamishwa hamishwa kila baada ya muda flani...
Vipi,mbona hakufika?
Kama anataka kuja,anakaribishwa.
Niliweka namba yangu jana,0652 079 561.
There is no problem.
Anaweza kuja.
Yaani pale niliposema Lissu yuko mahututi hospitali,yupo mtu mmoja alisema anataka kuja nyumbani kunisalimu.
Na sijui inakuwaje kuhusu Lissu watu wanamtania, wanasema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.