Nani hataki Katiba Mpya katika hawa watawala. Uchambuzi makini huu hapa. Nani ni mnafiki

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
C&p

Juzi, Tarehe 24/07/2026, Makamu wa rais, Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwa kwenye mkutano mkuu wa 15 wa mtandao wa watetezi za haki za binadamu, ametoa hotuba iliyopokelewa kwa hisia tofauti

Hii ni kwa sababu hotuba yake imekinzana na kauli za awali zilizopata kutolewa na bosi wake, rais Samia Suluhu Hassan na hata viongozi wenzake waandamizi ndani ya chama chake na serikalini.

Kabla ya kuainisha sehemu ambazo Nchimbi alikinzana na rais Samia na wengine, si vibaya tukiirejea sehemu ya hotuba hiyo ya Nchimbi.

Katika hotuba yake Nchimbi alifafanua kuwa, ndani ya mambo mengi ambayo wananchi wanayadai serikali, kwa upande wake anaona suala la katiba mpya ndio muharobaini wa kuyajibu madai mengine yote kwa pamoja.

Zaidi, katika hotuba yake, nchimbi aligusia umuhimu wa wananchi kuachwa wakitoa maoni bila hofu, uhuru wa wanahabari, na kuthaminiwa kwa utu wa mtu.

SEHEMU ZA HOTUBA YA NCHIMBI ZILIZOKINZANA NA MSIMAMO WA RAIS, VIONGOZI WA CCM, NA SERIKALI

1. Kuhusu wanaharakati

Nchimbi:- “Tofauti za mitazamo hazipaswi kuwa chanzo cha uhasama na chuki kati ya serikali na wananchi. Natamani nikikutana na mwanaharakati yeyote yule, nimtambue kwa uwezo wake wa kufikiri na kushawishi”

Maneno haya yamekinzana na kauli ambazo zimekwishapata kutokewa na rais Samia, waziri mkuu, msemaji wa CCM, na msemaji wa serikali.

Rais Samia- Tarehe 9 July 2026, akiwa Ikulu ya Zanzibar kwenye hafla ya maridhiano ya kisiasa baina ya CCM na ACT, alinukiliwa akisema ifuatavyo juu ya wanaharakati:-

"Nataka nitumie pia fursa hii kuwaonya wale wote wanaojiita wanaharakati kwa jina ili wapate kutambulika duniani, lakini kiuhalisia matendo yao ni ya kigaidi.

Waziri Mkuu- July 1, 2026, akiwa ziarani mkoani Mara, Waziri mkuu Mwigulu Nchemba alinukuliwa ifuatavyo:

"Sasa kama hao wana harakati, wana harakati hawa, mimi sina heshima nao hata kidogo, na wala hata huwa sijali. Sijali, sijali kuwa na heshima nao, kwa sababu nawajua hawa ni wahalifu wa nchi hii."

Kenan Kihongosi, Msemaji CCM-

“CHADEMA wametoka kuwa chama cha Siasa sasa ni chama cha wanaharakati, wanaendeshwa na rimoti” June 13, 2026

Gerson Msigwa, Msemaji Serikali- May 15, 2026 akiwa kwenye kituo cha redio Bongo FM, Msigwa alinukuliwa ifuatavyo:-

"Tanzania sio nchi ambayo inatakiwa iamuliwe na mwanaharakati namna ya kuendesha mambo yake.”

Nchimbi anawatambua wanaharakati kama watu wenye uwezo mzuri wa kufikiri na kushawishi.

In the opposite, shinikizo au ushawishi wa wanaharakati kwenye mambo ya nchi unachukuliwa na viongozi wenzake kama Ugaidi na kutaka kuwaamulia mambo.

2. Kuhusu Katiba Mpya

Nchimbi- “Pambaneni mpate Katiba ambayo ina makubaliano ya wadau wote, muafaka katika taifa, itakayotupeleka mbele miaka 50 inayokuja, ambayo kila Mtanzania atajivunia kwa sababu inajali maisha ya mtu na kuheshimu haki za raia wake,"

Takwa hili la katiba Mpya lilishawahi kutolewa msimamo mara mbili kwa nyakati tofauti na Mheshimiwa rais, pia na Waziri Mkuu.

Rais Samia1- “Mnataka katiba mpya mfanyie nini, wakati hii tuliyonayo hamuilewi? Katiba ni kitabu tu. Kilicho muhimu ni uzalendo, amani, na upendo kati ya Watanzania. Tuko na kazi muhimu zaidi ya kufanya kuliko kubadilisha katiba. Kwani, katiba mpya itakuletea chakula?”

Kauli hii ilitolewa na rais Sept 10, 2023 akizungumza na wawakilishi wa vyama vya siasa na wadau wa demokrasia

Baada ya vurugu za uchaguzi na mauaji ya Oct 29, rais akatoa kauli nyingine juu ya katiba mpya

Rais Samia2- “Hamuwezi Kwenda moja kwa moja kutunga Katiba Mpya wakati kila mtu kavimba mashavu, mtatunga Katiba ipi itaundwa hapa?
Nimesema kwanza turidhiane kwa sababu mmechafua nchi…”

Waziri mkuu akaja kuunga mkono kauli ya rais Nov 25, 2025

Mwigulu Nchemba- “Tuna katiba ambayo inatumika. Tuna Rasimu ya Warioba haijachomwa moto, ipo. Tuna rasimu ya Katiba Pendekezwa nayo ipo. Ndiyo maana Rais amesema tushughulikie yale yanayotugawa. Hatuwezi kuandika katiba kila mtu akiwa amebeba jiwe mkononi. Tuelewane kwanza.”
 
In short, CCM hawataki katiba mpya nchimbi tu ndio anahitaji
 
Huu ni mpango mahususi wa kubadilisha wananchi kioyo yao irudi huko ccm maana washaona mbeleni kwa moto.
Hii katiba mpya na maridhiano ni mtego mkubwa sana watanzania wanaingizwa kibgi mchana kweupe
 
mtake msitake.

Hao Chadema wataridhiana hata kwa nguvu ya...

Maigizo tu arifu hayo.
 
Wakilazimisha twende na hiyo katiba ya kikoloni 2030 kitawaka tena
 
My friends ladies and gentlemen,

mi nadhani hakuna haja ya kupotoshana kwa porojo useless za kucopy na kupaste jukwaani.

suala la katiba mpya lilihubiriwa na mgombea urais wa CCM na makamu wake nchi nzima wakati wa kampeni za uchaguzi uliofanyika Oct 2025.

Na wana CCM na waTanzania wote walihamasika na kuvutiwa kwa kiasi kikubwa sana na ilani ya uchaguzi ya CCM ambayo ndani yake lipo suala la katiba mpya, jambo ambalo liliipa CCM ushindi wa kishindo wa 98% ya kura zote zaidi ya milioni 30 za urais kote nchini.

Hivi sasa,
kinachotekelezwa na serikali sikivu ya CCM ni ilani hiyo ya uchuguzi iliyochaguliwa na wananchi. Na kwa wakati muafaka, suala la katiba mpya nalo litatekelezwa kama ilivyoahidiwa kwa wananchi.

So,
ni muhimu sana kujiepusha na confusion za kuhisia ambazo kwakweli hazina mashiko hazina maana yoyote wala hazina athari zozote zile wakati suala la katiba mpya litakavyokua likitekelezwa kwa wakati muafaka 🐒
 
Back
Top Bottom