Huyo Mwenzao mmoja anayesemwa na Samia kwamba anaendelea kutafakari ni nani na anatokea Chama gani?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Hili ndilo swali ambalo watu wote wanajiuliza baada ya tamko la Mwenyekiti wa ccm alipokutana na vyama ndugu na rafiki wa kufa n.a. kuzikana vikiwemo CHAUMA na ACT

Mwenzao huyo ni nani ?
 
Bosi wako huyo.

Nyie mnakula nyama choma na bia huku Uraiani kwa fedha za tone tone

Mmemuacha akiendelea kuigiza Umandela huko mahabusu.
Ulitaka wakakae naye huko jela? Je alipokuwa mbunge watu walikuwa wanaenda kukaa naye huko bungeni kwenye kula keki ya nchi? Kila mahali watu wanaenda kwa utaratibu si kwa kumkubali.
 
Umepigwa changa la macho
Tanganyika ilishapata uhuru 1961 ;

Zanzibar 1964;

Kilichobakia ni namna gani ya kuboresha maisha ya watu.

Huu uhuru mnaodanganya watu kuwa mnautafuta ni cover tu ya tamaa yenu ya kushika madaraka.

Zaidi ya kupigia kelele mambo ya kisiasa kila mara yanayowapa nafuu ya kushika dola hamjawahi kushiriki wala kupigania jambo lolote la maana la kumkomboa mtanzania kiuchumi.
 
Wadanganye wajinga wenzio
 
Hili ndilo swali ambalo watu wote wanajiuliza baada ya tamko la Mwenyekiti wa ccm alipokutana na vyama ndugu na rafiki wa kufa n.a. kuzikana vikiwemo CHAUMA na ACT

Mwenzao huyo ni nani ?
Mimi naomba tu wewe unisamehe kwa kukushangaa wewe na siyo yeye.

Hivi kauli za huyu mtu mwovu kabisa bado zinakuingia akilini na kutaka utafute jibu?

Mpasho huo hapo, anataka kuaminisha watu kuwa Mzalendo aliyeko gerezani anatafakari aliyopelekewa. Huu ni mfano mzuri sana wa mipasho anayoitumia huyu shetani.

Basi na mimi ngoja nikuulize swali kwa kuwa hayo mengine aliyosema umeyaelewa. Hiyo hali ya kisiasa iliyotulia umeiona wapi?
 
Lengo la Uzi huu ni kufutilia Mbali uongo wa huyu mama
 
Back
Top Bottom