Ishara za mtu mwovu kabisa, ambaye uhai wa binaadam kwake hauna maana yoyote...haiwezekani watu 518 wameuwawa kinyama, ikiwemo watoto wadogo, halafu Mama Abduli na genge lake wajikaushe kana kwamba hakuna kilichotokea, na kudai tuko vizuri kisiasa.
Alitarajia baada ya wiki kadhaa tu, hali ingetulia na kusahau yote yaliyotokea.
Maana yake ni kwamba haguswi kabisa ndani ya dhamira yake.
Lakini ni mwigizaji wa ajabu, akiwa kwenye picha, kama ile aliyomtembelea Tundu Lissu hospitalini Nairobi, utafikiri hakuna mtu anayeguswa na maumivu ya watu wengine kama yeye!
But she is so indifferent and cold when it comes to genuine empathy. She is totally unmoved by horendous situations.
"Kifo ni Kifo Tu", kama kile kilichomkuta Mzee Ally Mohammed Kibao.
That's who she is.