StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 7,043
- 8,478
Walidhani Lissu ni MboweKwani mlopomkamata na kumfungulia kesi hamkujua kuwa mtaadhirika na ujinga wenu. Kesi muianzishe mwalaumu wengine. Malizani na kesi yenu. Kumbe lengo ni kumshitaki halafu mtake maridhiano feki yasiyonafaida kwake.