Huyo Mwenzao mmoja anayesemwa na Samia kwamba anaendelea kutafakari ni nani na anatokea Chama gani?

Huyo Mwenzao mmoja anayesemwa na Samia kwamba anaendelea kutafakari ni nani na anatokea Chama gani?

Kwani mlopomkamata na kumfungulia kesi hamkujua kuwa mtaadhirika na ujinga wenu. Kesi muianzishe mwalaumu wengine. Malizani na kesi yenu. Kumbe lengo ni kumshitaki halafu mtake maridhiano feki yasiyonafaida kwake.
Walidhani Lissu ni Mbowe
 
Tanganyika ilishapata uhuru 1961 ;

Zanzibar 1964;

Kilichobakia ni namna gani ya kuboresha maisha ya watu.

Huu uhuru mnaodanganya watu kuwa mnautafuta ni cover tu ya tamaa yenu ya kushika madaraka.

Zaidi ya kupigia kelele mambo ya kisiasa kila mara yanayowapa nafuu ya kushika dola hamjawahi kushiriki wala kupigania jambo lolote la maana la kumkomboa mtanzania kiuchumi.
Kwahiyo kumbe maisha ya watu hayajaboreshwa tangu huo uhuru?
 
Tanganyika ilishapata uhuru 1961 ;

Zanzibar 1964;

Kilichobakia ni namna gani ya kuboresha maisha ya watu.

Huu uhuru mnaodanganya watu kuwa mnautafuta ni cover tu ya tamaa yenu ya kushika madaraka.

Zaidi ya kupigia kelele mambo ya kisiasa kila mara yanayowapa nafuu ya kushika dola hamjawahi kushiriki wala kupigania jambo lolote la maana la kumkomboa mtanzania kiuchumi.
Uhuru umetekwa na wachache wakikumbatiwa na machawa. Mkoloni hakuwahi kumbambikia kesi mtanganyika kwa kuitegemea mahakama imsaidie.
 
Hili ndilo swali ambalo watu wote wanajiuliza baada ya tamko la Mwenyekiti wa ccm alipokutana na vyama ndugu na rafiki wa kufa n.a. kuzikana vikiwemo CHAUMA na ACT

Mwenzao huyo ni nani ?
Unamkaba koromeo huku unamuomba mjadiliane! Ishiii! Kinenhe nina?
 
Bosi wako huyo.

Nyie mnakula nyama choma na bia huku Uraiani kwa fedha za tone tone

Mmemuacha akiendelea kuigiza Umandela huko mahabusu.
Kwani sisi ndiyo tumemshikilia? Habari kama hiyo tafadhali wasiliana na DPP na wenzake wanao mshikilia OK.
 
Bosi wako huyo.

Nyie mnakula nyama choma na bia huku Uraiani kwa fedha za tone tone

Mmemuacha akiendelea kuigiza Umandela huko mahabusu.
Na nyie mkaa pesa za malipo ya sehemu ya kuigizia umandela.
 
Hili ndilo swali ambalo watu wote wanajiuliza baada ya tamko la Mwenyekiti wa ccm alipokutana na vyama ndugu na rafiki wa kufa n.a. kuzikana vikiwemo CHAUMA na ACT

Mwenzao huyo ni nani ?
Nitakuwa ni mimi tu, sidhani kama yupo mwingine zaidi yangu!
 
Back
Top Bottom