naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naomba kuuliza kwani Siku hizi tunavishana Nishani za JWTZ kwa Unguja na Pemba au ni kwa Utanzania wetu kumaanisha Umoja wetu?

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF), Jenerali Jacob Mkunda kwa niaba ya Rais Samia Suluhu Hassan amewavisha nishani mbalimbali majenerali, maafisa na askari wa Jeshi la Ulinzi wa Wananchi Tanzania (JWTZ) kutoka Pemba na Unguja - Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Oktoba 25, 2024 ...
  2. K

    Msichana mjasiriamali na mhitimu wa Uhasibu. Natafuta kazi naomba mnisaidie

    Habari wakuu, Mimi ni msichana wa miaka 23 nimemaliza chuo kikuu mwaka huu kwa masomo 2024 ya Uhasibu na Biashara (Bachelor in Accounting ). Tangu nikiwa chuo nimekuwa nikifanya ujasiriamali wa kuuza vipodozi na nguo za kike hadi hivi juzi juzi nilipohitimu. Nipo hapa hapa Dar es Salaam...
  3. Naomba kuelimishwa kama ungekuwa na shamba Hekari 30, ungelima au ungelifanyia shughuli gani?

    Nimekuja kwenu kupata elimu kutoka kwa wazoefu, Mimi ni mtumishi Mwalimu nipo kigoma, kwa mara ya kwanza nilipata shamba Hekari 6 kigoma, nikafikiri cha kufanya nikaona nilime migazi hekari zote sita, migazi ni mti unaotoa mafuta ya mawese, pamoja na mafuta ya mise, mafuta yanayotumika...
  4. M

    Naomba mwongozo wa kwenda kuhiji kwenye Kaburi la Hayati Magufuli

    Kama ambavyo nilishajisemea kwamba, lazima kuna siku katika maisha yangu nitakwenda kuhiji kwenye Kaburi la Mwamba wa Afrika, JPM, sasa naomba utaratibu wa kwenda huko. Nawasilisha.
  5. Nahitaji kuanzisha marathon hivyo yeyote mwenye uelewa juu ya jambo hili naomba anielekeze taratibu zote mpaka kukamilika kwa jambo hilo

    Habari zenu wakurungwa! Husikeni na kichwa cha habari hapo juu, Mimi nipo wilaya X , jiji la Mwanza, nimehamasika sana kuandaa mashindano ya marathon ila tatizo linakuja kwamba. hakuna chochote ninachofaham kuhusiana na jambo hilo Hivyo naomben msaada kwa anayefaham namna ya kuandaa...
  6. Nina huduma ya kwenda kufunga mzigo kama ni Kariakooo au popote Dar

    Jaman mimi ni bint nimemaliza chuo na ni laboratory technologist proffesional naomba msaada wa connect ya kazi plz jsman nipo Dar es salaam mbezi Magufuli. Pia nina huduma hizi kwa waliopo mikoani na watakaka kununua bidhaa dar es salaam popote Nina huduma ya kwenda kufungia mzigo kama ni...
  7. Naomba msaada wa kurudisha file la mobile data Icon kwa juu ya simu Galaxy A15 yangu

    Wanajukwa habari za wakati huu ndugu jamaa na marafiki natumai nyote ni wazima waafya .Lengo kuu la kuandika uzi huu nikuwaombeni msaada wale wataalamu wa maswala ya Technology and science in computer skills and accessories. Jaman mm natumia simu aina ya Samsung galaxy A15 nimei UPDATE jana...
  8. Naomba uzoefu kilimo Cha bamia

    Wakuu habari Aliwahi kulima kilimo Cha bamia , naomba uzoefu 1. Mbegu nzuri yenye kukua Kwa haraka 2. Mbolea gani nzuri na dawa za kuulia wadudu 3. Upande wa sokoni 4.Kwa heka moja naweza kupata kiasi gani Hapa, teyari Nina pump ya kumwagilia, shamba lipo , na maji Yana flow through...
  9. Je, akiomba mkopo Bodi ya Mikopo mwaka ujao anaweza kupata?

    Kuna jamaa yangu amemaliza Diploma ya IT 2012 huko Iringa, amehangaika na maisha huko mwaka huu ananiambia mwaka ujao anataka kuingia Bachelor ya kozi fulani nje ya IT pale Iringa University Je akiomba mkopo Bodi ya mikopo mwaka ujao anaweza kupata? Wazoefu njooni mtupe uzoefu afuatilie
  10. Naomba Kuelimishwa Hichi Kitu Kwenye Kampuni

    Ikiwa kwa mfano kuna kampuni ya watu wawili (upo wewe na wife) na si huwa tunasikia kwamba kampuni ni mtu kisheria. Sasa mfano shareholders (wewe na wife) mkaazimia kuikopesha kampuni ambapo ije kusomeka kwenye financials kama shareholders loan. Sasa maswali yangu ni haya yafuatayo 1. Ili...
  11. Naomba kutolewa jongotongo juu ya huu ujauzito

    Nimekutana na huyu bibie mwez wa 2 mwanzoni kufika mwez wa 3 kaniambia kuwa ana ujauzito wangu tar 17 mwez wa 10 ndiyo siku aliyojifungua Sasa wakuu m nataka tu kujua kwa huo kwel miez 9 ya mimba imekamilika au alishakuwa na ujauzito tangu mwez wa 1 mim nimebebeshwa tu aliponiona nina...
  12. I

    Usaili kwa walimu uliokuwa ufanyike Oktoba mpaka Novemba wasitishwa mpaka hapo watakapotangaziwa tena

    Usaili wa walimu Umehairishwa mpaka hapo utakapotangazwa. Afya mpaka leo hakuna Pdf. Je, kipi kiko nyuma ya haya? 1. Serikali haina Hela. 2. Utumishi wamelemewa. . .
  13. JAMANI NAOMBA USHAURI HAPA

    samahani wana jamii forums, ndugu yangu amehitimu veta katika fan ya ujenzi level 3, sasa anaomba ushauri Aendelee kutafuta deploma ama aende kusomea vocational assistance teacher. maoni yenu jamani 🙏
  14. Kwa mtaji wa million 1 nifanye biashara gani?

    Habari zenu wana JF? Matumaini yangu hamjambo Kabisa. Mimi naomba ushauri wenu. Nina mtaji wa millioni moja. Nipo Dar es Salaam. Ni biashara gani inafaa kwa mtaji huo. Kichwani, nilikuwa nawaza kufungua movie library mtaani ila nikasema ngoja nisikie mawazo ya wengine. Asanteni, nishaurini...
  15. R

    Askofu Bagonza: 'Mwalimu, Naomba Usife Kabla Sijafa', Ujumbe wa Kumbukizi ya Kifo cha Nyerere

    https://youtu.be/qcH8Unr_MFo
  16. Ambao wameoa mwanamke daktari naomba kujua raha na karaha

    Habari za muda huu, kama kichwa cha habari kinavyoeleza, naomba kujua changamoto za kuoa mwanamke ambaye ni daktari kabla sijachukua maamuzi, daktari nikimaanisha Medical Doctor (MD). Karibuni
  17. S

    Naomba ufafanuzi; kwanini jina la Mkoa linamaana tofauti kiutawala na kwenye taasisi wana maana nyingine wakati serikali yetu ni moja?

    Habari wadau! Jana nilitumia siku yangu ya kumbukizi kuongea na watoto wadogo! Moja ya maswali waliyotaka ufafanuzi ni hili! Serikali ina mipaka ya kiutawala ngazi za mikoa na wilaya! Kwa mfano; Mkoa wa Dar es salam ni moja ya sehemu ya utawala wa kiserikali nactaasisi zake! Sasa kwanini...
  18. M

    Mimi ni mgeni naomba mnipokee nikihitaji ushauri msichokee kunishauri

    Habari zenu, Jamani mi ni mgeni naomba mnipokee nikihitaji ushauri msichokee kunishauri.
  19. Kazini kwangu ninaowasimamia hawanisikilizi, naomba ushauri

    Nina wiki mbili toka niajiriwe katika kiwanda kimoja hapa mtwara. Mimi ni msimamizi wa vibarua wa wanaofanya usafi. Changamoto iliyopo ni kua nikiwapa maelekezo kua usafi ufanyike katika maeneo yao wanaleta dharau, jeuri, kejeli. Wanataka niwe fea ila fea sidhan kama inafaa kazini Majibu yao...
  20. Naomba kujua Machimbo ya sehemu za kuchill pale posta, Vyakula na Vinywaji ni vya bei nafuu

    Nina jambo langu hapo Posta mpya naomba mtu mwenye kuyajua machimbo anipe area code. Asanteni
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…