naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Naomba nifundishwe namna ya kuingiza pesa nikiwa na akaunti ya TikTok

    Naomba msaada wenu namna ya Kupata pesa kutokana na kuwa na acc. Ya TikTok pia umuhimu wa live chat.
  2. Naomba kusaidiwa kutoa matangazo kwenye hii simu app zina matangazo

    Naomba kusaidiwa kutoa matangazo kwenye hii simu app zina matangazo sana simu ni Samsung galaxy a05
  3. A

    Naomba kuwajua awa wazee wahenga majina yao ni wakina nani??

  4. R

    Naomba mawazo/ Ushauri wa kitabibu.

    Wakuu habari za wakati huu Nina changamoto moja ya kiafya
  5. Wanaojua magari Naomba kujua changamoto za Toyota Sienta

    Wakuu, moja kwa moja kwenye mada nomba kujulishwa changamoto na ubora wa Toyota Sienta, Nataka kukanunua kwa ajili ya harakati zangu ndogo ndogo hasa biashara ya usambazaji bidhaa vijijini vip wataalam vigari hivi vina chngamoto gani na ubora gani? Hasa katika barabara za vijijini?
  6. Traffic usiku naomba mjilinde msiamini haya malori pls mtaisha

    Leoo nilikuwa nasubiria kaka na gari la kutoka Moshi Saakumi usiku..BAADA ya mda nkashangaa hapatikan Nkakaa mpaka saa mbili akanipigia aisee sorry ndio tunakuja tumepata ajali Hee kivipi mbona MASAA mengi akasema walikuwa wameshapita bagamoyo BAADA ya mda wakasimamishwa na traffic Traffic...
  7. Msaada: Je, unaweza kupata nakala ya taarifa zako ulizojaza NIDA?

    Hivi inawezekana kizipata taarifa zako ulizozijaza kwenye NIDA? Mfano ulipozaliwa, Kata, Ulipojiandikisha n.k? Ni muhimu sana. NIDA Tanzania
  8. Naomba msaada wa ajira/kazi/kibarua

    Habari za wakati huu wanajukwaa!? Sidhani kama huu ni uziwangu wa kwanza jukwaani juu ya maombi ya kazi. Mimi ni kijana (ME 23) ninaishi Dar es salaam, nimetoka chuo mwakajana ila sikufanikiwa kumaliza (juu ya changamoto zilizonipata) hivyo mwakahuu mwezi wa 11 nitaenda kumalizia mtihani wangu...
  9. Tafadhali naomba kama kuna yoyote ana Picha ya Rais Samia akienda 'Kuhani' Msiba wa Waziri wake Mchengerwa aniwekee hapa

    Nitashukuru mno kwani nimejaribu kwa Kuhangaika kuitafuta sijaiona hivyo pengine Lucas Mwashambwa au ChoiceVariable wanaweza kuwa nayo.
  10. Habari za usiku ndugu zangu naomba ushauri

    Nina mtoto wa kike ana MWAKA na mwezi 1 alizaliwa akiwa na changamoto ya kulia sana Tulimuona Dr mara kadhaa Dr wengi hawakuona ugonjwa Ila baadae tuligundua ana TB ya mapafu alipata matibabu Ila bado afya yake bado imedhoofika sana tumempa kila aina ya lishe Ila bado uzito wake ni ule ule pia...
  11. B

    Wajuba Naomba mniambie hawa watu wapo au ni wapigaji

    Wataalam hebu niambieni hicho kitu kipo au Ndio namna nyingine ya utapeli? San Mushroom Farm was established in 2013 and is one of the leading agricultural technology companies in Tanzania. Millions of tons of crops, processed foods, and raw materials are distributed domestically and...
  12. M

    Nahitaji mwanaume wa kunioa

    Namuomba MUNGU Anipe mchumba na mimi ,Mimi mkristo mkatoliki mwanamke mvumilivu umri ni 29+, Libra, Sio mnene sana/Chaga Ni wa kawaida Sina Ugonjwa wowote Naomba kama kuna mwenye hitaji la mchumba tuchumbiane Akiwa Chaga inapendeza zaidi na hata wengine inaruhusiwa (hii ni kwa sabbu wengi...
  13. W

    Bile acid reflux inanisumbua

    Habari naomba kusaidiwa dawa ya kupona bile acid reflux, nilienda hospital baada ya kuwa nasumbuliwa sana na tumbo kuwaka moto kama naungua tumboni baada ya kipimo cha endoscopy shida ilionekana mlango wa chini wa tumbo upo wazi nyakati zote( sphincter pyloric) kwahiyo unaruhusu alkaline kutoka...
  14. Wanawake Pitieni hapa Naomba Maelezo yenu hii imekaaje?

    Sitaki kuongea sana soma hapo kisha toa maelezo mwenyewe.
  15. Naomba mbinu ya kukukwepa utapeli wa mtandao wa Yas!

    Wakuu namtanguliza salamu nadhani mko salama kabsa, katika shughuli zangu na kutokana na mazingira ninayo ishi huduma zangu za kimawasiliano na kimtandao hua matumia mtandao wa Tigo (yas) sasa nimekumbana kadhia ya kukatwa salio kila nikifanya miamala na kila nikinunua vifurushi kupitia mtandao...
  16. Naomba kushukuru, watu wa Mtwara

    Mwaka jana nilikuwa Masasi mtwara. Wale jamaa ni wakarimu ila watata mno. Imagine jamaa wanakuomba kukushukuru. Utasikia " NAOMBA KUSHUKULU."
  17. M

    Naomba kujuzwa namna ya kulipia bidhaa nje ya nchi na maana ya ZIP code

    Kama mada ilivyo. Natamani kuanza kununua bidhaa kutoka nje ya nchi kupitia hii mitandao ya uuzaji kama Alibaba, AliExpress etc japo kwa sasa nataka nianze na AliExpress. Sasa kuna kipengele cha kulipia bidhaa hapo ndio nakwama maana Kuna mahali naambiwa niweke card. Pia Kuna mahali wanataka...
  18. Naomba mamlaka zinazo husika kushughulikia hii changamoto ya watoto kwenda vijiweni

    Tunapo waacha watoto kudhurura na kuwapa uhuru ulopitiliza bila kujali kesho yao ndo chanzo cha watoto kuwa wazembe na kushindwa kujifunza vitu vya msingi kama masomo hii ndo sababu wanavuna ziro huko mashuleni. Wazazi chukuweni hatua stahiki ✍️✍️
  19. Nimestaajabu Naomba mnieleweshe, hizi ndio riba za mkopo wa mtumishi wa Umma?

    Kwenye pitapita zangu nimeona kwenye mfumo wa ess mkopo kwa mtumishi wa uma, kila taasisi ya mkopo imewekwa kwenye mfumo na riba zake, ila nikama vile sijaelewa kitu, Nimeshangaa serikali inaapprove taasisi yenye riba 42%? Serious BOT? Fanikiwa microfinance 42% Magere credit 42% Platinum...
  20. Wakuu, kama upo maeneo ya mwanangi au nasa ginnery tafadhali naomba unishtue. Kuna ndugu yangu nataka nikuulizie maana ni miezi sasa hayupo hewani.

    Ni vizuri zaidi kama ukiwa boda boda kama sio bado pia itakuwa fresh . Karibu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…