naombeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Morning Glory1

    Nahisi nina tatizo kubwa la afya ya akili linaninyemelea. Wataalamu wa mambo ya saikolojia naombeni msaada mda sio mrefu nitadata

    Nina miaka 38...Niko single(nimeachana na mke wangu)....sivuti sigara na wala sinywi pombe...sijaajiliwa nimejiajili kwhy hela ya kula vizuri na matumizi madogo mdogo hainipigi chenga kwa kifupi sina njaa...uhakika wa mbunye upo yani simu moja tu naletewa mbunye mpka mlangoni kwa kifupi japo...
  2. ndege JOHN

    Naombeni ufafanuzi wa faida na hasara za operesheni vijiji 1974

    Nasikia tu katika historia Mzee Nyerere alianzisha operesheni maalumu ya vijiji vya ujamaa.. Hali ilikuaje ilikuwa ni kwa force au kuhama kwa hiari. Mwitikio ilikuaje je Kuna watu walipata madhara ya kisaikolojia na mali zao.je hilo zoezi lilifanikiwa na faida zake zipi?
  3. U

    Naombeni ushauri nimetoa elfu hamsini hapa kijiweni kwa mtu mmoja aniandikie neno kwaya kwa kuzungu sijapata mtu aliyepatia hadi sasa

    Wadau hamjamboni nyote? Nipo kijiweni kahawa tokea saa 2 asubuhi Hadi muda huu saa 8:15 bado nimeshikilia hela zangu mkononi nasubiri mtu aniandikie neno kwaya kwa kiingereza " kizungu" sijampata Mchana mwema
  4. Shooter Again

    Naombeni msaada ramani nzuri ya kisasa chumba sebule jiko choo

    Wakuu jamii forum kisima Cha maarifa nataka nianze ujenzi nisaidieni ramani nzuri ya kisasa chumba sebule jiko choo ndani nitashukuru sana wakuu na ikipendeza kama mafundi mpo mpate na kazi kupitia huu Uzi
  5. Jeep wrangler

    Kigali peace marathon june 2025 ninatarajia kushiri naombeni ushauri wenu

    Bila shako mko salama jf members wote, nawatakia kwaresma njema na mfungo wa Ramadhani. Ninatarajia kushiriki Kigali peace marathon ambayo hufanyika kila mwezi June kila mwaka, Kigali, Rwanda. Lengo kuu la kushiriki sio kushinda bali ni moja ya: 1. Kujifurahisha kwa njia ya michezo. 2. Kupata...
  6. Tajiri Sinabay

    Wanawake tafadhali naombeni mje kujibia hili

    Tajiri sio lazima asalimie wakati anapoanza maongezi. Mwanaume hana mpango kabisa na wewe unaanza kujipitisha kwake hadi anaanza kukuwaza kingono, anakutongoza unamkataa. Anaamua kuachana kabisa na mawazo juu yako unaanza kumshobokea tena. Anakomaa hana mpango na wewe unazidisha kiwango cha...
  7. J

    Nataka niwe na ofisi yangu ya maswala ya umeme yaani kurepair na wiring

    Ndugu za nazani mko poa ..jamani ndoto yangu nataka niwe na ofisi yangu ya maswala ya umeme yaani kurepair na wiring kusuka mota na mengineyo ila sasa nahofia kama itanilipa kweli .....sasa kama kuna alie wahi kufanya hichi kitu anipe ushauri wake ili nijue nianzie wapi pia aniambie kama ina lipa.??
  8. A

    Naombeni Nyimbo Hizi

    Wakuu Habari za Uzima, Naombeni Mnisaidie Audio za Nyimbo hizi, Hizi Nyimbo Nilikuwa Napenda Kuzisikiliza Kabla Sijapata Hearing Loss "Usikivu Hafifu" Najua Kwasasa Nitafaidi Midundo tuu ila sio Mbaya. Nyimbo Zenyewe ni 1. Wanaume Tumeumbwa Mateso 2. Kwetu Pazuri - Ambassador Choir 3. Lulu...
  9. G

    Naombeni kazi ndugu zangu

    Kwema ndugu zangu? Mimi ni kijana miaka 22 nina elimu ya kidato cha sita. Nilikuwa nasoma chuo IFM mwaka wa pili ada imekosekana hivyo nimeshindwa kuendelea na masomo. Nilikuwa naomba mnisaidie connection yoyote ya kazi ili niweze kupata ada niendelee na masomo. Napatikana kigamboni...
  10. M

    Natafuta kazi ya uhasibu Naombeni msaada wetu

    Naitwa jenipha Nimesomea degree ya uhasibu chuoo kikuu cha Dar es salaam natafuta kazi naombeni msaada wenu 0713776534
  11. I

    Mnaofanya biashara za mazao au nafaka au matunda naombeni ushauri

    Ndugu poleni na majukumu naona fursa kwa upande wa mazao au nafaka pia hata matunda. Nahitaji kuingia huku kwenye hii biashara ila nahitaji mwongozo zaidi. Nilikuwa naomba kwa anae fanya hii biashara anipe mwongozo. Naomba uwe unafanya hiyo biashara kwa sasa ili kupata uhalisia kamili wa...
  12. W

    Naombeni ushauri nikubali hili sharti nililopewa na ex wangu

    Habari wana jukwaa,uzi huu ni mrejesho wa ule uzi wangu unaosema “kwanini utoe namba kama hutaki kutoa ushirikiano”?. Baada ya kuona sipati chochote kutoka kwa namba mpya nikaamua nirudi kwa ex wangu wa muda mrefu kidogo na kutaka kurudiana nae hatimaye amenipa masharti mojawapo ni hili “...
  13. brave Mwafrika

    vyuo vya afya ngazi ya diploma

    Naomba kama kuna mtu yoyote Mwenye mungozo(soft copy )wa vyuo vya afya ngazi ya diploma. Tafadhali naombeni 🙏🙏🙏
  14. J

    Rais, viongozi na watu wengine watakaoguswa na jambo hili naombeni msaada wa kupata passport

    Ninaandika huu ujumbe nikiwa katika hali ya uchungu mkubwa. Nimechoka! Nimevunjwa moyo! Nimeonewa kiasi cha kuhisi mimi si binadamu tena. Kila siku naamka nikiwa na maumivu mapya, nikiwa na mzigo mzito wa uonevu moyoni mwangu. Ninaomba msaada! Ninaomba mwenye kusikia kilio cha mnyonge anisaidie...
  15. Madaga

    Naombeni msaada wa kupata wimbo huu

    Habari ndugu zangu wapenda muziki wa dansi! Ninatafuta wimbo wa zamani wa bendi ya dansi, uliosikika sana miaka ya 2002/2003 kwenye redio. Sikumbuki jina la wimbo wala bendi, lakini mashairi yake yalikuwa na maneno kama: "Masai kavamia pori kakutana na Wamakonde, Wamemchoma mishale ya sumu...
  16. M

    Natafuta kazi ndugu watanzania naombeni msaada wenu

    Hello naitwa jenipha Nimesomea degree ya uhasibu chuoo kikuu cha Dar es salaam naombeni msaada wenu 0713776534
  17. N

    Wataalam wa mambo ya uzazi naombeni msaada wenu, nimechanganyikiwa

    Leo nimetoka kufanya kipimo cha ultrasound na mpenzi wangu, kipimo kikasema kuwa mpenzi wangu ana ujauzito wa wiki tisa na siku tatu, kinachotuchanganya ni mara ya mwisho kufanya nae mapenzi ilikuwa tarehe 28 desemba ambazo hadi leo wiki 9 hazifiki, je changamoto ni nini?
  18. bay_zooh

    Wenye makampuni na connection naombeni mnisaidie kazi.

    Kama kichwa cha habari kisemavyo hapo juu. Kwa Mara nyingine narudi kwenu wana jf, naombeni mnisaidie kazi yoyote ile ya halali. Nina shahada ya mambo ya uchumi na mahesabu pia. Lakini nipo tayari kufanya kazi yoyote as long as iwe halali tu, sina hata mtaji wa kuuzia ubuyu hali yangu ni mbaya...
  19. G

    Naombeni kazi ndugu zangu nipate pesa ya kulipa ada

    Ndugu zangu, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 na elimu ya kidato cha sita. Nilichaguliwa kusoma chuo cha IFM kampasi ya Dar es Salaam. Mwaka jana nilisitisha masomo baada ya kupungukiwa na ada. Ninatafuta kazi yoyote na ninaishi Kigamboni, Dar es Salaam. Niko tayari kufanya kazi kwa...
  20. A

    Naombeni ushauri ndugu zangu napitia kipindi kigumu mno.

    Habari za wakati huu, Waswahili husema penye wengi pana mengi. Naombeni mnisaidie katika hili ndugu zangu, Hapa nilipo sina kazi wala hata mtaji wa kufanya chochote sina, napambana lakini naona hali bado si nzuri, kinacho nipa mawazo ni kwamba nina mdogo wangu wa kidato cha nne bado hajaripoti...
Back
Top Bottom