naombeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu wa kusafiri nje ya nchi kwa basi naombeni uzoefu

    Habari ndugu wana JF. Kama mada inavyosema. BInafsi nina mpango wa kufanya safari nje ya mipaka ya Tanzania 🇹🇿 kwa njia ya basi kwenda nchi za Sadc na Eac kwa dhumuni la kutalii(Kutembea). Tayari nina documents zote muhimu kama yellow fever, COVID-19 certificates na Passport. Naomba...
  2. JamiiForums Tanzania Nahitaji kusoma uhasibu, nina cheti cha Kidato cha Nne cha Sita na degree nyingine isiyohusiana na masuala ya kifedha

    Habari zenu, Nahitaji kusoma hii fani ya uhasibu, nina cheti cha kidato cha nne cha sita na degree nyingine haihusiani kabisa n maswala ya kifedha. Nimejaribu kutafuta taarifa kidogo nimekutana na ACCA, NBAA na wale wenye degree za accountancy kutoka kwenye vyuo vikuu vya hapa nyumbani. Sasa...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Naombeni maelekezo jinsi ya kupata TIN na leseni ili nikasajilie lain za uwakala

    Nahitaji kusajili laini za UWAKALA hivyo nilikua na omba maelekezo wapendwa naanzia wapi ? Mpaka nipate Tin,lesen pamoja na laini Je kuvipata vyote hivyo inaweza chukua gharama kiasi gani.? Laini ya Vodacom,Tigo, Airtel na halotel
  4. JamiiForums Tanzania Kituo kinachofuata ni Rumion, naombeni mwongozo, ni gari nzuri au ninapotea?

    Hii gari nimeanza kuipenda siku za karibuni. Naomba kupewa muongozo wa uzuri na udhaifu wake.
  5. JamiiForums Tanzania BMW5: Naombeni Ushauri

    Poleni na hongereni na majukumu ya kila siku. Naomba ushauri kwa wadau wenye experiences na ununuzi wa "Used Cars". Inawezekana kununua gari tajwa kutokea Hongkong/China?,Turkey....(if yes, kampuni ipi?). Ni Kampuni ipi ya uhakika kwa Japanese Used Cars naweza kuagiza gari tajwa?. Wenye...
  6. JamiiForums Tanzania Naombeni mnisaidie kuniombea wapendwa

    Signed Out
  7. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu kubadili dhehebu ili kufunga ndoa

    Habari zenu wapendwa. Mimi ni binti wa miaka 24. Niko kwenye mahusiano na mchumba wangu ni miaka 6 Sasa tunaenda na ninampenda Sana mwanaume wangu. Shida ya kuja hapa naombeni ushauri anataka kunioa ila changamoto inakuja upande wa dhehebu kwenye kubadili mimi napata ukakasi sana sijui...
  8. JamiiForums Tanzania Msaada: Njia ya kufungua account ya forex bila ya kitambulisho cha mpiga kura

    Wakuu, nahitaji kufungua account ya forex ambayo nitakuwa na uwezo waku withdraw. Nina taarifa zote ila sina tu hicho kitambulisho, kwahiyo naomba mnipe njia kama ina wezekana na kwa wazoefu mnisaidie experience zenu katika biashara hii.
  9. JamiiForums Tanzania Naombeni Mbinu kwenye hili la Ndoa

    Habari zenu wana jamii. Naombeni mbinu na ushauri kwenye suala hili la ndoa. Nahitaji kufanya maamuzi ya kujitoa kwenye ndoa ( kuachana na mke wangu ) sababu hanivutii tena. Hatujazaa wala hana ujauzito na ndoa yetu haijatimiza hata mwaka. Yaani naona kama naulazimisha mwili wangu kwenye...
  10. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wenye busara juu ya hili

    🤗
  11. JamiiForums Tanzania Tunduma: Wakuu wa shule wavuliwa nyadhifa kisa wimbo wa Zuchu (Honey)

    Baada ya kipande cha video kinachowaonesha watoto wa shule za msingi wakicheza wimbo wa msanii Zuchu ‘Honey’ wilayani Tunduma kusambaa mitandaoni, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda ameagiza walimu wakuu wawili wa shule hizo wavuliwe vyeo. Amesema hayo nje ya Bunge...
  12. JamiiForums Tanzania Tafadhali naombeni Msaada wa Viwango vya Majeshi Bora duniani ili nilifurahie Jeshi langu la JWTZ kuwa namba 6 kwa ubora kama tulivyoambiwa

    GENTAMYCINE nimepitapita hapa JamiiForums na kuona baadhi ya Watu (Members) wakisema kuwa waliwahi Kumsikia nadhani Msemaji au huyu Kaimu Msemaji wa Jeshi akisema (tena kwa Kutamba kabisa) Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) hili hili ambalo Wiki iliyoisha tu baadhi ya Watendaji wake (hasa hasa...
  13. JamiiForums Tanzania Nataka kuwa Vegetarian. Wenye uzoefu na hii kitu naombeni ushauri na maoni

    Nimepanga kuwa vegetarian kutokana na sababu za kiafya na nataka kuona kama nina nidhamu ya kuweza kuwa vegetarian. Naombeni maoni, elimu, ushauri na uzoefu wenu kwenye eneo hili maana sijui chochote kulihusu. Vyakula mbadala, misosi ya kivegan, kanuni za uvegan nk nk. Natanguliza shukrani.
  14. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wenu

    Habari za wakati huu wapendwa JF Swali hivi serikali yetu kwenye lile jadili la bungeni kuhusu raia pacha walikuja kuruhusu mtu kama kaolewa na mzungu , nani muastralia na akapewa na mume wake huo uraia , je atabaki na huo uraia wa tz na wa Australia?? Naombeni jibu . Kwa wanaoelewa .
  15. A

    JamiiForums Tanzania Mnanishaurije kuhusu kuchukua cheti cha udereva NIT?

    Mimi nikijana niliehitimu mafunzo yaufundi mekaniks mwaka jana. Mwaka huu nwezi wapili nikapata kazi nashukuru imenipa uzoefu mzuri sana kwenye masuala yaufundi Lakini sasahivi ofisi imefilisika kiasi chasisi mafundi kukosa hela nimejalibu kuomba kazi sehemu kazaa nimekosa Nimeweka hakiba...
  16. JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni msaada, nichukue router ipi kati ya hizi?

    wakuu kwema hapa nina changamoto moja hivi nahitaji home internet ila option yangu ni kati ya vodacom na airtel ambayo wote wana vifurushi vya unlimited kwa mwezi vya 5G wakuu naombeni msaada nichukue ipi kati ya hizi naishi Tabata segerea.
  17. JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kuangalia Mkopo wa HESLB

    Naombeni msaada jinsi ya kuangalia mkopo wa HESLB.
  18. JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kufahamu lotion inayofaa kwa ngozi yangu

    Poleni na kazi, nahitaji lotion inayonukia vizuri na ambayo haichubui. Nataka ngozi yangu ing'ae niwe muli muli, ngozi yangu iteleze. Unaweza kwenda duka la urembo ukakuta mtu ana ngozi mbaya chunusi kibao halafu anakuambia tumia hii itakufaa, ukimuangalia yeye mwenyewe ngozi yake haina mvuto...
  19. JamiiForums Tanzania Watalaamu wa uchawi, mitishamba na tiba asilia naombeni msaada wa kuelewa

    Heshima kwenu wakuu. Katika kutafuta maarifa huku na kule, nikapata RITUAL moja hivi kwenye website fulani. Hiyo ritual ina maelekezo katika vipengele 11. Katika hivyo vipengele 11 kuna ambavyo nashindwa kuelewa ndio nimekuja kuomba msaada kwenu watalaam wa mambo ya kiroho na watalaamu wa...
  20. JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni ushauri kuna kitu sijaelewa

    Huwa inamaanisha nini ukiona mpenzi wako kapost picha yako watsapp status halafu caption kaandika UNCLE?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…