Habari wadau, mimi ni kijana wa kitanznia umri wa miaka 21, naishi Dar es salaam.
Nina elimu ya stashahada; natafuta kazi kama graphic designer. Nina uzoefu wa miaka miwili nina uzoefu wa designing pia computer skills, marketing, communication skills niko flexible kwenda popote na naahidi...