natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Natafuta karatasi kubwa za kaki za kujaradia na bahasha kwa bei ya Jumla

    Habari wakuu ,title inajitosheleza
  2. Natafuta namba ya msaidizi wa Makonda.

    Kuna utapeli mkubwa unafanyika na serikali ipo kimya. Tena utapeli wa kutumia idara za serikali. Nina ushahidi wote wa namba za wahusika. Naomba mwenye namba ya msaidizi wa Makonda ili nimtumie ushahidi wote na nyaraka za kufoji. Tumepeleka taarifa polisi tangu February 2024, ila utapeli...
  3. Natafuta Roommate

    Mtu yeyote aliepo dar anaefahamu sehemu ambapo Kuna room kali tuchange, tulipie, tuishi ?
  4. Natafuta kazi ya udereva mkoa wa Ruvuma

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ,ninaomba kazi ya udereva,mkoa wa Ruvuma kwenye mashirika binafsi.Nina vigezo na uzoefu wa kazi wa miaka mitano, nawasilisha nakala hii kwenu kwaajili ya kupata fursa,Asante na Mungu awabariki.
  5. Natafuta jina la huu wimbo sauti kama ya ben poul hivi

    Sauti kama ya ben pol hivi. Ni wimbo wa mapenzi nakumbuka kiitikio Beby so faaa beby so sofaa
  6. Natafuta nafasi ya kujitolea, nina shahada ya Uandishi wa Habari

    Habari, Mimi ni mvulana natafuta nafasi ya kujitolea shirika lolote Nina degree ya Journalism nipo mkoa wa Iringa
  7. R

    Natafuta kazi

    Habarini wanajukwaa nipo mbele yenu natufuta kazi yeyote ambayo itaniingizia kipato au kama kuna mtu mwenye connection akaniunga kazi zilipo naomba anisaidie. Nina diploma ya procurement and logistics location nipo dar es salaam.
  8. Nanunua Google play console

    Nanunua Google Play Console bei kuanzia laki 5 hadi milioni moja na laki 5 , iwe na angalau mwaka mmoja, na app hata moja ndani, No: 0718474600
  9. Natafuta AI ya kutengenezea picha kwa ajili ya blog

    Wakuu nahitaji kutengeneza picha za kuweka kwenye blog
  10. Natafuta mtu mwenye application yoyote playstore ila aliitelekeza kwa kuona haimlipi

    Habari, kama wewe ni android developer na una account ya google console ambayo umeifungua kabla ya mwaka 2023. Nina uhitaji wa google console account / play store developer account. Njoo pm please
  11. Natafuta mpenzi

    Mschana au mwanamk3
  12. Natafuta machine ya kukandia unga wa maandazi (mixer) ya kilo 12.5 hela mfuko wa shati

    HABARI WANA JAMII NATAFUTA MASHINE YA KUKANDIA MAANDAZI .HATA IKIWA USED AS NEW ITAKUWA POA. Kwa mawasiliano zaidi pm wanangu.
  13. M

    Natafuta ajira yoyote ndugu zangu betting imenishinda

    Ndo hivyo wakuu Hali sio Hali nimeamua nipige yowee mwenye maskio na asikie, maana jiwe limepigwa gizani na Mimi ndo nilikuwa nimejificha humo na jiwe ndo limenipatašŸ˜“ Mimi ni kijana wa makamo tu zaidi ya vibarua Sina kingine cha kufanya naombeni kazi jaman, Sina ujuzi wowote ule zaidi ya...
  14. A

    Natafuta kazi, nipo Tabora. Nimemaliz Kidato cha Sita (PCB)

    Mimi ni kijana wa kiume mkakamavu na mtii mwenye umri wa miaka 22 naishi tabora, nina elimu ya kidato cha 6 PCB. Naandika andiko nikiwa nina uhitaji wa kazi yoyote ya halali kwamfano:kuuza duka, shamba boy pia kama nikipata nafasi ya kujifunza fani za ufundi au uendeshaji wa magari na mitambo...
  15. Natafuta Partner awe HIV+

    Natafuta partner (Mwanamke). Vigezo: Mwembamba na White. Mkristo au Muislamu. Elimu yoyote. Awe anafanya kazi. Umri 23-27 Kabila lolote. Asiwe na mtoto. Upande wangu: Elimu/ degree Kazi/ nimeajiriwa Umri/29 Naishi/ Mwanza Dini/ mkristo Maelezo zaidi njoo PM
  16. Natafuta kazi wasifu wangu upo hapo

    Name: XX Age: 23 gender: MALE Academy: CERTIFICATE,GRAPHIC DESIGN Professional: DRIVER/VETA, NIT, RFC, JKT, PREPARATION OF AGRICULTURAL SEEDS. Experience : PASTA INDUSTRY, NIDA, SUMA JKT, MAGAMBA GOLD MINE'S, T, MARK SALES region : DAR ES SALAAM Contact : 0695581138 or 0613 654 307 Ila...
  17. O

    Natafuta kazi Medical Laboratory scientist

    Mimi ni kijana wa Kitanzania nahitaji kazi kwa hiyo fani niliyosomea ..uzoefu miaka 3 ...kazi temporary au parmanent. Popote Tanzania
  18. D

    Natafuta gari ya mkataba au hesabu

    Habari, Naitwa Device frabius ninamiaka 29,nakaa dar es Salaam Mikocheni natafuta gari Kati ya IST,RAUMU,SPACIAL AU WISH. Kwaajili ya kuwaendesha Waturuki kwa mkataba wa mwaka mzima. Namba yangu 0617146950
  19. Natafuta kiwanja Kivule mpaka Msongola. Bajeti ni milioni 5 na kisipungue sqm 300

    Habari wadau. Natafuta kiwanja maeneo ya Kitunda Kivule mpaka maeneo ya Msongola. Bajeti yangu ni milioni 5. Ukubwa wa Kiwanja kisipungue sqm 300. Kama kikiwa kikubwa zaidi nitashukuru. Kama unauza kiwanja maeneo hayo karibu unipe sifa zake. Pesa ipo mfuko wa shati
  20. M

    Natafuta mwanamke wa kuoa

    Awe ni mkristo wa dhehebu lolote au muislamu,mimi binafsi ni mkristo Nina miaka 43,nipo hapa Tanzania natafuta single mama yoyote ambaye anahitaji mtu wa kumfariji na kujenga familia stable, pia asiwe mpenda vileo ,pombe bangi au sigara. Awe pia mtu aneyejishughulisha katika kazi zenye heshima...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…