Nataka nijitoe ufahamu kwa kuandaa CV yangu vizuri, halafu nitaandika barua moja kwa moja kwa Rais ikulu, nitaambatanisha vyeti vyangu vyote kisha nitavizia siku rais yuko Dar.
Ntapeleka barua yangu pale geti la ikulu, ntawakabidhi walinzi kisha nitawaomba wamfikishie mheshimiwa hiyo barua...