nauza

  1. Nauza bulb Kwa bei nafuu

    Kampuni: Honor LED Watts 3 - 10,000 PC 10 Watts 5 - 12,000 PC 10 Watts 7 - 13,000 PC 10 Watts 9 - 14,000 PC 10 Free Delivery piga : 0614502969 Dar na mikoani
  2. Nauza tv used, inches 43, Moelectro ni smart tv bei 300,000

    Nauza tv used, inches 43, Moelectro ni smart tv bei 350,000 namba yangu ni 0684101707
  3. R

    Nauza crate 10 tupu za bia mchanganyiko TBL na Serengeti

    Anaye hitaji niko Tabata Kisukuru kwa Swai. Bei sh 9,000 @ crate mawasiliano 0718219523
  4. B

    Nauza Kuku chotara, ni Tetea kwa bei ya TSh 10,000 wapo 145

    Wakuu Kama muonavyo kwenye picha, hawa ni baadhi ya Kuku ambao nauza. Kuku wapo Dar es Salaam, Mbweni JKT kwa mawasiliano 0612630936 … bei n elfu kumi kamili ndo wana miezi mitatu na siku 24.
  5. M

    Car4Sale Nauza Harrier chogo (DPR) TZS. 14.8m

    2360cc Automatic Petrol Engine safi Gear box safi AC safi Haijawahi kupata ajali . Call: 0717 650800
  6. Nauza redio call

    Nilinunua 150,000 Kwa sasa sina kazi nayo zipo 2 unaweza kuongea hadi km 15 hadi 20km Kwa sasa sina kazi nayo nauza bei ya hasara 100,000 zipo banana 0743257669 Kwa msiojua unaweza kuongea na mtu bila kutumia vocha wewe ni kuichaji tu kwa kampuni za ulinzi Godauni,mashambani,kiwanda hii itakufaa
  7. NAUZA VIFAA VYA STUDIO YA KUPIGIA PICHA (PHOTOSHOOT)

    Wadau kama heading inavyojieleza hapo juu nina vifaa vyangu kwa ajili ya kupiga picha indoor na viuza kwa bei kitonga Sana Kuna studio background yenye vitambaa vinne ambavyo ni nyeusi, nyeupe, kijani na kijivu. Soft box mbili, miavuli minne na reflector Taa NNE na fleme zake, pia vitambaa...
  8. Nauza hii phone 13 Pro

    Apple Iphone 13 pro 128 GB •Face id✅ •Battery health 81 •Ina network lock(unaweza tumia •Gevey sim card au ukalipia deni ikawa unlocked) Simu Imetumika wiki moja tu tangu itoke nje ya nchi Price 950,000/= Kimara Dar es salaam 0757187238
  9. Nauza shera Tsh. 250,000

    Husika na kichwa Cha habari hapo juu nauza shera. Shera ni mpya nzuri ninaiuza bei iyo kwa sababu ya dharula iliyojitokeza ambayo inaitaitaji fedha kwa ambae atakuwa serious ni pm ili nikutumie picha na video. Napatikana Dar Mbezi
  10. NAUZA ASUS All in One Pc i7

    Nauza Pc Asus Zen AIO Z240 Intel Core i7 6Gen 16Gb Ram 24 Display size Touch imepasuka ila nimei disconnect haina madhara SSD nimetoa unaweza kuweka mwenyewe ina NVYDIA GRAPHIC GTX950 BEI 250K Tshs Nipo Ilala - Dsm 0767953873
  11. B

    Nauza majogoo chotara

    Wakuu Nina vijogoo vya kuku chotara naviuza nipo maeneo ya mbweni jkt karibuni sanaaa kwa mawasiliano 0612630936 bei n 15000
  12. M

    Nauza simu Infinix hot 40 pro

    Nauza simu Aina Infinix hot 40 pro GB 256 Ram 16
  13. OFA YA JANUARY : Nauza Shuka za kudarizi kwa bei ya elfu Thelathini ( 30,000/=) Tu.

    Jipatie shuka za kudarizi pamoja na foronya mbili kwa bei ya elfu Thelathini (30,000/=) Tu. Size ni 6×6. Delivery ni Bure kwa wakazi wa dar. Usikubali kupitwa na ofa hii ya January , hivyo nitafute kupitia 0628 160058 / 0658 843438. Karibuni sanaa.
  14. Ongeza uwezo wa laptop nauza RAM za DDR4 8gb kwa 30,000 Tu

    Ram za ddr4 ambazo kila moja ina 8gb bei ni 30,000 Tu. ukichukua zote 2 yaani 16gb nakufanyia kwa 50,000. Nipo kimara Dar es Salaam 0782780980
  15. Nauza bando za internet za Halotel kwa bei rafiki

    Habarini za muda huu wana jukwaa!?, mimi ni mjasiriamali mdogo ninae jihusisha na kuuza bando za halotel internet za mwezi mzima, kwa mawasiliano zaidi 0653963998, 0621599120(whatsap only)…karibuni sana kwa huduma na mchanganuo wa bando hizo na gharama zake ni kama ifuatavyo!
  16. Nauza Tv stend na coffee Table yake

    Jamani hii nilishaipost narudia tena sasahivi kwa kuweka gharama yake maana naona watu wengi walikuwa wanaongelea pesa ambazo sijaziandika, HIYO SET KWENYE PICHA NI STAND YA TV INA NA COFFEE TABLE YAKE, JAPO KIOO CHA COFEE TABLE KIMEPASUKA NI CHA KUBADILI, KWAHIVYO NAUZA ZOTE MBILI KWA 90,000...
  17. INAUZWA Nauza king'amuzi cha Startimes kwa bei nafuu

    Nauza king'amuzi cha Startimes kwa Tshs 20,000 tu. Kipo na Adapter yake ya umeme pamoja na remote controller yake. Kimetumika miezi mitano peke yake Nipo Mbezi Luis karibu na Stand ya mabasi ya mkoani ya Magufuli Karibu upate kilicho bora Mawasiliano: 0767696021
  18. K

    NAUZA EXTRNAL HARD DRIVE

    Habari ya siku watu wa jf, Nauza Extrnall transcend gb 1000 (1TB) 100,000/-95,000/ niko MASASI MJINI MTWARA 062721875:
  19. INAUZWA Nauza Bata Mzinga na Kuku aina ya Brahma

    Nauza Bata Mzinga wawili , Kuku aina ya Brahma wawili na Kuku aina ya Kuchi wawili wote wakiwa na umri wa miezi minne bei maelewano napatikana Dumila Morogoro Kwa mawasiliano piga simu 0655760381
  20. Nauza Epson printer L3250 mpya

    This thread is for the general discussion of the classified ad Nauza Epson printer L3250 mpya. Please add to the discussion here.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…