Lile dhumuni halisi la upendo, kuaminiana na kuwa na dhati ya mpaka kuzikana ni wachache sana wenye hiyo mutual intention, ni either mmoja awe anamvizia mwenzie au wote kwa pamoja.
Akili na uwezo wote anapeleka kwenye kulinda mali zake such as kuandika majina yake kwenye vitu vyake kuogopa huko...