Mahusiano au ndoa zenye majukumu mazito ya malezi, kwa mfano ya watoto wa3 au zaidi, huwa ziko na furaha, ziko imara na vizuri sana katika kushirikiana na kusaidiana kwa dhati na kwa upendo mkubwa, katika kutimiza msingi wa ndoto za watoto wao, mfano katika kupata haki ya mahitaji yao muhimu...