ndoto

Ndoto Za Elibidi is a 2010 Kenyan film.

View More On Wikipedia.org
  1. Rais Samia na ndoto za mabinti wengi

    Na Kevin Lameck Miongoni mwa yasiyopimika kwenye mizani ya namna yeyote ile ni athari kubwa ya SAMIA SULUHU HASSAN kwa wasichana wadogo na mabinti. Dkt. Samia Suluhu si tu ni Rais wa Tanzania lakini pia ni Mwanamke wa kwanza kuwa Mkuu wa serikali na Mwenyekiti wa Chama Tawala - CCM. Katikati...
  2. Uthibitisho wa uwepo wa roho na ulimwengu wa roho ni ndoto

    Kila mtu anapo lala usingizi kuna kitu hutokea kinaitwa rapid eye movement (REM) macho kuzunguka kwa haraka. Hutokea baada ya saa 1 hadi masaa 2 katika usingizi. Ndipo utaanza kupata ndoto au maono ambayo ni kama jambo halisi nala kawaida. Wengi wenu manapokua kwenye ndoto, ndoto hizo huja na...
  3. Tafsiri ya ndoto niliyoota leo

    Tumsifu Yesu Kristo taifa la Mungu,Bwana Yesu asifiwe wapendwa, ndugu zangu upande wa pili ktk Imani Amani ya Mungu iwe nanyi. Ilikua mnamo saa Tisa usiku wa Leo niliamka ili niweke simu chaji na pia ni kawaida yangu kukagua mazingira nione Kama Pana ugeni wowote nje toka kwa mawakala wa yule...
  4. Ulivyokuwa mdogo ulikuwa na ndoto ya kuja kufanya kazi gani?

    Leo nimekumbuka kipindi nipo mdogo nilikua na ndoto ya kuja kua Miss Tanzania. Akili yangu yote ilikua inajua Miss Tanzania ni kazi kama daktari, mwanasheria, mwalimu au kazi zingine. Nilivyofika form 1 ndo nikajua kumbe sio kama nilivyodhani, hapo nikapata mawazo ya kua mwanauchumi mpaka sasa...
  5. Ndoto iliyobeba ufunuo au maono

    Zaidi ya asilimia 80 % Mungu huzungumza kupitia ndoto, ujumbe wa picha na alama ambazo zinakua zimebeba ujumbe au maagizo fulani. Mungu huzungumza kwa mafumbo, ishara na picha tunaweza kuziona katika ulimwengu wa ndoto. Mungu hutuma Malakia zake hapa duniani kushirikiana na Roho za wacha Mungu...
  6. Roho na ndoto (Dreams)

    Binadamu ni i. Roho iii. Nafsi iii. Mwili Katika nafsi ndani yake hukaa Akili(mind) Nafsi imepewa uhuru wa kuchagua kutii amri ya mwili au amri ya Roho. Mungu alimuumba mwanadamu aishi kwa kufata Roho (Kuishi kiroho) Ukiishi kimwili unakua unakosea. Mwili wako una macho mawali. Roho yako...
  7. SoC03 Ndoto za Mtoto: Jinsi Jamii na Viongozi Walivyomsaidia Mtoto Kufikia Malengo Yake

    NDOTO ZA MTOTO: JINSI JAMII NA VIONGOZI WALIVYOMSAIDIA MTOTO KUFIKIA MALENGO YAKE Imeandikwa na: Mwl.RCT UTANGULIZI Ndoto ni malengo ya mtu katika maisha. Watoto wana ndoto mbalimbali, lakini si wote wanafikia ndoto zao kutokana na shida kama umaskini, ujinga, magonjwa, ukatili, ubaguzi...
  8. D

    Hii ndoto imenisumbua sana usiku kucha, ni nani huyu?

    Wajumbe, katika Imani zote hata za kina Yericko Nyerere tunaambiwa tusipuuze ndoto na hasa ndoto za usiku wa manane. Jana nimeota namuona kiongozi mwandamizi wa chama fulani akiwa amevalia nguo za kijani akiwa na kundi la vijana wakimshangilia lakini ghafla akapigwa mshale wa ubavuni na kufa...
  9. Zuckerberg na ndoto ya kuua social network nyingine

    Huyu jamaa baada ya kusumbuana na twiter na Telegram muda mrefu naona sasa kaamua awaue kabisa, Anacopy features nyingi za telegram na kuziweka WhatsApp, anakuja na uwezo wa kutuna HD picture, anakuja na channels sasa hapo Telegram itakuwa haina jipya Kwa sasa anaanzisha app ya threads, hii ni...
  10. Wanawake waliotuzunguka ni puto na sindano kwenye mafanikio ya vijana wengi wa kiume

    80% ya wanawake waliotuzunguka Ni puto na Sindano kwenye mafanikio ya vijana wengi wa kiume. Imenichukua mda mrefu kuiva katika hili ila ndani ya mda mfupi ntakupa nondo zililivotukuka zitakazokujenga na kubadili maisha yako sana Let's Go.... Ilikuwa ni Asubuhi moja Murua, Nikiwa katika...
  11. Chongolo: Huwezi kuja na ndoto zako na ukawa kiongozi CCM

    "....CCM inawategemea ninyi vijana kukisemea na kuwalinda viongozi wake pasipo kubagua . Mkisimama kwenye msingi huo daima mtaendelea kufaidi fursa zaidi na zaidi." "....kaweni viongozi wa watu na siyo kuwa viongozi wa kiongozi. Wengi wenu mnatumika na hao wanaokuja CCM na ndoto zao za kuwa...
  12. P

    SoC03 Ndoto ya Kijana leo...

    NDOTO YA KIJANA LEO Kulikuwa na kijana mdogo aitwaye Leo, aliyeishi katika mji mdogo uliojaa vurugu na utawala usio bora. Kila siku, alikumbana na ukiukwaji wa haki za binadamu, ufisadi, na kukosekana kwa uwazi na uwajibikaji katika serikali yao. Leo alikuwa na ndoto ya kuishi katika nchi yenye...
  13. Msaada wa ndoto hii inayonisumbua kila siku

    Habari ndugu jamaa na Marafiki, Mimi ni kijana wa miaka 29. Nimehitimu elimu ya chuo tangu mwaka 2019, lakini nimekuwa na hari ya kutokewa na ndoto ya aina moja mara kwa mara, wakati mwingine inatokea usiku mara mbili mpaka mara tatu. Ndoto yenyewe ni kuota niko chuoni bado nasoma na mara...
  14. SoC03 TEHAMA imepewa kisogo na Wizara ya Afya. Je, ndoto ya huduma bora kwa kila Mtanzania itafanikiwa?

    Wakati Rwanda inajikita katika kuboresha Matumizi ya Tehama kila eneo ambalo limekuwa na changamoto ya Tehama, usambazaji wa Dawa( kwa ndege isiyo na Rubani, Usambazaji wa Damu maeneo yasiyofikika kirahisi, usambazaji wa Chanjo katika maeneo ambayo hayafikiki kirahisi) mwana afrika mashariki...
  15. Jamani, hii ndoto imekaaje?

    Nimemwota muuza kuku😳...Yaan mpenz wangu sijawahi mwota hata mara Moja lakini Leo nashtuka toka usingizini nacheeeka.Ilikuwaje!? Ni hivi,nimeota nilikuwa navuka daraja nyakati hizo mvua inanyesha sana... mbele yangu Kuna bro pia alikuwa anavuka (hapo sijajua kuwa ndo huyo muuza...
  16. Je, kuna siri yoyote kuhusu ndoto?

    Je, kuna ukweli wowote kuhusu ndoto zinazojirudia? Wakuu uzi huu ninaouleta kwenu unahusu mengi kuhusiana na ndoto ikiwemo ndoto za kujirudia pamoja na ndoto zengine tusizozielewa zina maana gani kwani mimi pia nasumbuliwa na ndoto za ajabu nikiwa sielewi zinahusu nini. Katika usiku wanane...
  17. R

    Ndoto inayojirudia ya kuokota pesa za sarafu ina maana gani?

    Habari. Kuna hii ndoto ambayo karibu Kila wiki lazima niiote. Ninakuwa naokota pesa za sarafu mpaka za mataifa mengine na zinakuwa nyingi kiasi kwamba naweza kutembea hata kilomita Moja na Kila mahali naokota hizi pesa. Nimeanza kuiota kitambo sana. Usiku wa kuamkia Leo pia nimeiota Sasa...
  18. Vijana wengi wenye ndoto kubwa hutokea familia maskini

    Kama kichwa cha Uzi huu kinavoeleza hapo juuu. Vijana wengi wenye ndoto KUBWA za kimaisha kwa asilimia KUBWA wanatokea familia ambazo zina kipato cha Hali ya chini Ninze na mimi mwenyewe ndoto YANGU ILIKUWA kuja kuwa daktari lakini ilipotea tu pale nilipofika kidato cha nne je sababu ILIKUWA...
  19. N

    SoC03 Kivuli cha mtoto wa kike kinavyoathiri malezi na ndoto za mtoto wa kiume

    Na Norberth Saimoni Chanzo:NSPCC Usawa wa kijinsia ni agenda ya nchi nyingi ulimwenguni ambayo inajumuisha hatua na jitihada mbalimbali zinazolenga kuhakikisha kunakuwa na ulinganifu baina ya mwanaume na mwanamke katika nyanja zote kijamii,kisiasa,kiuchumi na kitamaduni. Jitihada hizi...
  20. Naombeni tafsiri ya Ndoto inayohusu uzinzi na kukutwa nyumbani na nyaraka za ofisini

    Nimeota nimeenda kupanga nyumba, ila chumba changu sikukipanga, vitu nikawa nimeviweka tu shaghala bagala. Kwenye hiyo nyumba niliyopanga, kulikuwa na wasichana wawili warefu, mmoja mnene kidogo, basi nikawa mgeni wao, yaani nawalala wote kwa pamoja, hata sebuleni na popote nawalala tu. Sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…