[CHANZO: Pinterest]
Wasifu wa mhenga wa kigeni
Kabla hawajazaliwa wazee wa wazee wetu, katika shamba moja mbali sana kutoka kijijini kwetu, alizaliwa mtoto. Kabla hujaweka maneno katika aya zangu, huyu si yule mtoto wa vitabuni, aliyezaliwa katika zizi la ng’ombe na kuletewa zawadi nyingi na...