ndugai

  1. Tetesi: Job Ndugai anajipanga kuliachia Jimbo la Kongwa kwa mkewe Bi. Fatma

    Aliyekuwa Spika wa Bunge, Job Ndugai anajipanga kumuachia jimbo la Kongwa mkewe Bi. Fatma Mganga ambaye ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma. Ndugai ameanza kampeni na figisu hizi kwa kupanga safu ya viongozi wa CCM ambapo, amemlazimisha aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya Bwana Abed Mussa...
  2. S

    Job Ndugai anahudhuria vikao vya Bunge vinavyoendelea Bungeni Dodoma?

    Mbunge huyu tangu ajiuzulu uspika, amekuwa haonekani Bungeni na kama nitakuwa sahihi, hajaonekana hata mara moja. Swali langu ni je, katika vikao via Bunge vinavyoendelea hivi, sasa, amehudhuria hata mara moja? Kama hajahudhuria mpaka leo, hastahili kuvuliwa ubunge? Kama alikwenda Israel...
  3. K

    Spika Ndugai utakumbukwa kwa lipi?

    Inasikitisha miaka yote ya ubunge unakumbukwa kwa haya tu. Fanyeni kazi kwa haki huwezi kujua kesho yako.
  4. Ndugai: Viongozi tujipime kabla ya kufedheheshwa

    Kauli ya aliyekuwa Spika wa Bunge, Job Ndugai ya kuwataka viongozi wa kuchaguliwa kujipima kabla ya kugombea tena nafasi hizo katika chaguzi zijazo ili kuepuka aibu ya kushindwa, imewaibua viongozi wa siasa. Ndugai, ambaye ni Mbunge wa Kongwa (CCM), alisema yeye hatagombea tena nafasi hiyo...
  5. Huenda Ndugai alikuwa anajua tulichokuwa hatukijui, sasa tunakiona cha mtema kuni

    Kuwa kiongozi mkuu wa muhimili mmoja mkubwa kati ya mitatu sio nafasi ndogo. Mzee alikuwa kwenye position ambayo kuna mambo lazima ayajue hata miezi, mwaka au miaka kadhaa kabla yetu sisi raia wa kawaida. Kwa jinsi hali ilivyo kwa sasa, naanza kumuelewa alichokisema siku ile ambacho...
  6. Job Yustino Ndugai yuko wapi

    Tangu ashangiliwe kwa nguvu kubwa na wabunge siku ya kupitisha bajeti Kuu ya Serikali, Spika aliyejiuzulu Job Ndugai hajaonekana tena je yuko wapi mwanasiasa huyu
  7. Job Ndugai yamemkuta, Wabunge kumpeleka Mahakamani

    Jina la Mbunge na aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai limeonekana katika Ukurasa wa mbele wa Gazeti la Raia Mwema, leo Agosti 13, 2022.
  8. Kibatala awataka Ndugai na Mahera mahakamani

    Wakili Peter Kibatala amesema atawahitaji aliyekuwa spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai na aliyekuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Charles Mahera ili wahojiwe kuhusu wabunge 19 walioapishwa kwa tiketi ya CHADEMA. Kibatala amesema ni lazima viongozi hao wahojiwe kwa kuwa ndio waliowapitisha na...
  9. Job Ndugai ndani ya Western Wall of Jerusalemu

    Speaker mstaafu job ndugai ndani ya western wall of Jerusalem
  10. Job Ndugai aliposema ipo siku mtapigwa mnada mlijifanya hamuelewi na mkafurahi alipofanyiwa fitina. Sasa mnapigwa mnada huku mnaona

    Mwanasiasa anayetanguliza tumbo lake kuliko maslahi ya raia wanyonge ambao hawajui juu wa mustakabali wa kesho yao ni mwanasiasa mbaya sana. Anatumia mwanya wa nguvu ya kisiasa aliyonayo kuburuta watu ili afanikishe mambo yake kwa nguvu. Mikopo inayofanyika ina siri kubwa na hatujui ipo vipi...
  11. C

    Picha tafakuri: Legacy ya Ndugai inalindwa kisawasawa

    Following the footseps of the one and only one speaker bora kabisa kuwahi kutokea nchini Tanzania na kusini mwa Jangwa la Sahara Job Ndugai aliacha legacy iliyotukuka sana kwa bunge la nchi hii. Mojawapo ya legacy yake ni kuwaapisha wabunge wasio na chama katika kigereji cha bunge na aliwaahidi...
  12. Job Ndugai: Sijamisi Uspika, nina amani, haya ni mapito katika maisha

    Aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kongwa, Job Ndugai amezungumzia maamuzi yake ya kutogomea Ubunge katika uchaguzi ujao akisema kuna watu wanapotosha kwa kuwa wanaona kuna jina lake. Mbali nah apo ameulizwa kuhusu kama amemisi kiti cha...
  13. Job Ndugai kustaafu siasa ni pigo kubwa kwa CHADEMA - 2025

    Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi. Ninaandika kwa masikitiko makubwa kufuatia spika mstaafu Job Ndugai kutangaza kutoendelea na siasa mwaka 2025. Sisi kama CCM tutaendelea kumheshimu mzee wetu kama ilivyo desturi ya chama chetu. Lakini nimefikiria kwa makini na kuwasikitikia mno...
  14. T

    Ndugai: Nasisitiza hakuna cha bure lazima tuvuje jasho

    Inaonekana Ndugai aliamini alichokisema pale alipopinga sera za taifa kuishi kwa kuomba omba misaada na kupelekea kujiuzulu uspika kwa shinikizo... amelirudia tena jambo lile kwa angle nyingine... Hili dhahiri ni jiwe limerushwa Ikulu, na natumaini wakubwa watapata ujumbe kwamba kuna sehemu...
  15. Job Ndugai: Sitagombea tena ubunge 2025!

    Job Ndugai aliyekuwa spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania amesema kuwa hatogombea tena nafasi ya ubunge katika Jimbo la Kongwa Dodoma. Ndugai ameyasema hayo jana katika Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Mpwapwa wakati wa ibada ya kuweka wakfu gari ya Pareshi ya Mtakatifu Michael...
  16. Makofi mengi bungeni kwa Ndugai yanamaanisha nini?

    Upendo? Uzalendo? Ushujaa, mwana mpotevu, au nini?
  17. Hatimaye Job Ndugai arejea Bungeni leo Aprili 13, 2022

    Aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai (kushoto) leo Aprili 13, 2022 amehudhuria kikao cha kwanza cha Bunge tangu kujiuzulu wadhifa huo Januari 6, 2022. Pichani akiteta jambo na Mbunge wa Ushetu, Emmanuel Cherehani. Chanzo: TBC online
  18. Bunge laulizwa alipo Job Ndugai, lasema halina taarifa alipo, inawezekana yupo jimboni kwake

    Uongozi wa Bunge umetaja aliko aliyekuwa Spika wa Bunge na Mbunge wa Kongwa Mkoani Dodoma, Job Ndugai. Ndugai hajaonekana katika shughuli rasmi za chombo hicho tangu taarifa za kujiuzulu kwake wadhifa huo zilipotangazwa Januari 6, 2022 kwamba aliandika barua kwa Katibu Mkuu wa Chama Cha...
  19. Sakata la Spika Mstaafu Ndugai kukupa 'Ukweli' wako ulilikabili Mwenyewe 'Kimadaha' kwanini leo hii Sakata la Mafuta unataka usaidiwe Kusemewa?

    Mbona Sakata la Mafuta na Wananchi Kulalamika / Kulilalamikia ni rahisi sana Kulifafanua kwa Watanzania ( Wananchi ) na Wakalielewa hata kuliko lile la Spika Mstaafu Ndugai kukupa Ukweli wako kuhusu 'Kukopakopa' hovyo sasa iweje tena leo unataka Watu wakusaidie Kukusemea ili Watanzania...
  20. N

    Jambo kubwa alilofanya Ndugai Jimboni mwake ni lipi?

    Wengi wanamkumbuka kwa kuchukia washindani wake. Ama iwe ndani ya Chama au wa nje ya Chama. Hapendi kabisa kushindana. Huyu ana mbinu ya KiMasai ukimshinda ni bifu kubwa mno hivyo hata fimbo anakulamba nayo ukikaa kizembe zembe. Kwa sasa mjadala ni mkubwa Jimboni kwake. Wanatamani kama vile...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…