nguvu za kiume

  1. Makundi ya wanaopinga ndoa na maisha ya ndoa

    Hali inazidi kuwa mbaya kwa vijana wetu hasa hawa wa kiume wanahamasishana kila kona na kampeni yao yenye hashtag #KATAA NDOA Sababu wanazotoa zinachekesha mno na kwakweli hazina mashiko.. Kubwa ikiwa ni kuogopa kusalitiwa lakini pia kuna la uchoyo na kukwepa majukumu ila haya hawayasemi kwa...
  2. Citizen: Shisha na 'e-ciggarates' zinasababisha upungufu nguvu za kiume & changammoto ya uzazi kwa wanawake

    Uvutaji wa shisha umekuwa kawaida nchini siku za karibuni na kukua kiasi kwamba wengine wameamua kuwa na shisha majumbani mwao. Pia siku hizi kuna sigara za kielektroniki, inatumia battery na inaunguza kimiminika kinachojumuisha nikotin, flavours na uraibu mwingine kuwa moshi ili mtu kuweza...
  3. Sababu endelevu za mapungufu ya nguvu za kiume

    Ukosefu wa nguvu za kiume (Erectile dysfunction) ni kutokuwa na uwezo wa kufikia au kudumisha kilele cha uume kinachofaa kuridhisha wakati wa kujamiiana. Mara nyingi nguvu za kiume zinahusiana na matatizo ya mishipa ya damu, mfumo wa neva, hali ya kisaikolojia, na matatizo ya vichocheo...
  4. M

    Msaada: Nimeishiwa nguvu za kiume

    Wapendwa naomba msaada nimeishiwa nguvu za kiume miezi miwili sasa hata nimekuwa kero kwa mwenza wangu. Uume umepungua hata ningebanwa mkojo haustuki unabaki umelegea. Maumivu ya kiuno ni makubwa na hayo yana zaidi ya miaka kumi. Hospitali wamekuwa wakinipa dawa za kupaka tu na za maumivu.
  5. Jinsi upandikizaji wa Uume unavyofanyika kwa wenye tatizo la Nguvu za Kiume

    Huduma ya upandikizaji uume iliyotangazwa hivi karibuni na Hospitali ya Benjamin Mkapa iliyopo Dodoma ilizua mjadala, huku wengi wakipiga simu kuulizia huduma hiyo. Hospitali hiyo ilifanya upasuaji huo wa kwanza kwa kushirikiana na chama cha Madaktari Bingwa wa Upasuaji wa Mfumo wa Mkojo nchini...
  6. R

    Taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete kuanza kutibu nguvu za kiume

    Taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete(JKCI), inatarajia kuanza kutoa huduma ya kuzibua mishipa ya uume ikiwa ni hatua ya kukabiliana na upungufu wa nguvu za kiume kwa wanaume wenye tatizo hilo. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa JKCI Dk. Peter Kisenge...
  7. M

    Kwa Chakula kama hiki wanaume wa Dar mtakuwa na nguvu za kiume? Mkongo nao umepigwa stop

  8. Masanja Malebo: Wanaume wa Kanda ya Ziwa wana nguvu za kiume

    "Hili tatizo (nguvu za kiume) tunalitambua na tatizo hili niseme tu kwa kifupi kwamba chanzo chake kikubwa ni lishe duni hasa kwa jamii ya sasa hivi. Katika utafiti tulipokuwa tukilinganisha watu wa mjini na vijijini, kule vijijini watu hawahangaiki kutafuta dawa za nguvu za kiume na ukiangalia...
  9. Serikali yapiga Marufuku matumizi na biashara ya 'Vumbi la Kongo na Akayabagu'

    Dawa inayodaiwa kuongeza nguvu za kiume maarufu 'Akayabangu' pamoja na vumbi la Kongo zimepigwa marufuku kutumika nchini kwa kile kilichoelezwa kuwa hazijathibitishwa ubora wake. Hayo yamesemwa jana Ijumaa, Juni 23, 2023 na Mwenyekiti wa Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala, Profesa Hamis...
  10. Wanaume siku hizi tunalalamika kukosa nguvu za kiume lakini kuna baadhi ya mambo hatuyazingatii

    Kama mada inavyosema , siku hizi kumekuwa na wimbi kubwa la vijana kulalamika kukosa nguvu za kiume. Kwenye tatizo hili wamegawanyika makundi makundi lakini leo nitaongelea kundi la wale wenye kimoja chali. Hapa unakuta mwanaume anakuwa na hamu lakini roundi ya kwanza tu hana tena hamu ya...
  11. "Si useme huna nguvu za kiume, huna lolote!" Sawa sina, kwani lazima kuwa nazo?

    Mdada ametuma text ananiuliza nipo wapi, nikamwambia nimetoka kazini mchana leo naelekea home. Akaniambia ana hamu na hii hali ya hewa tukanyanduane. Nikamwambia basi akachukue room nimfuate. Anang'aka kuwa "Nitaendaje mimi kuchukua room? Nenda kachukue uniite nije kukupa nyapu." Nikamwambia...
  12. Dawa za kuongeza nguvu za kiume zakua dili Urusi, wanaume wana msongo balaa

    Maisha yanazidi kuwa magumu Urusi, jameni Putin ameliingiza taifa pabaya.. Putin's invasion of Ukraine IS a flop: Erectile dysfunction pill sales surge in Russia – with young men of conscription age suffering extreme stress Russian spending on erectile dysfunction drugs surged 75 per cent...
  13. Bawasiri imenikata nguvu za kiume kabisa, msaada aliyepona

    Bawasili imenikata nguvu za kiume kbsa msaada aliepona
  14. R

    Upungufu wa nguvu za kiume na kike upo hadi kwa matajiri na wanasiasa au ni maskini pekee?

    Binadamu akikosea nguvu za asili za kiume au kike anakosa pia nguvu za asili za kufanya KAZI kwa tija na hivyo uzalishaji kwenye TAIFA ushuka. Tanzania tumekuwa na wananchi wenye changamoto ya nguvu za kiume na kike. Kuthibitisha au kupata ukweli angalia mabango ya tiba asili, angalia pharmacy...
  15. SI KWELI Kupakata laptop au kuweka simu kwenye mfuko wa suruali hupelekea upungufu wa nguvu za kiume

    Hivi ni kweli kuwa watumiaji wa kompyuta mpakato huku wameipakata mapajani, pamoja na sisi tunaotumbukiza simu zetu zikiwa on air kwenye mifuko yetu ya mbele ya suruali tupo kwenye hatari ya kupoteza nguvu za kiume?
  16. Kuna ugumu Gani wa kumfikisha mwanamke kilelen?

    Binafsi nilichelewa kuingia kwenye ulimwengu wa kimahusiano. Moja ya sababu zilizonichelewesha ni uoga wa kutongoza. Nilikuwa mjanja sana ila Zuzu Kwa wanawake. Kutongoza ilikuwa ni adhabu kwangu, niliamua kuchagua Maisha tofauti mapenzi nikawaachia wengine!! Muda mwingi niliutumia kujifunza...
  17. Siku niliyotumia dawa ya nguvu za kiume ilikuwa hatari; dont try!!

    Wakati fulani miaka ya 2000 nilicheza show mbovu sana kiasi cha kudharauliwa na demu. Demu akaniambia mbona tunapochati unakuwa na mbwembwe nyingi sana ila kumbe hauna maajabu. Kwa kweli nilijisikia vibaya na nikaingia woga. Baada ya sakata hilo nikapata tena demu mkali sana. Lakini bado...
  18. Mbegu za maboga zinasaidia sana kuongeza nguvu za kiume

    Maajabu ya mbegu za maboga ambayo ulikuwa huyajui bado. Inatokeaje mbegu za maboga kuongeza nguvu za kiume? Kwanza kabisa zinaondoa msongo wa mawazo kitu ambacho ni namba 1 katika kusababisha upungufu wa nguvu za kiume. Lakini pia zinashusha lehemu (cholesterol), zinatibu kisukari, zinatibu...
  19. SI KWELI Vinywaji vya kuongeza nishati (Energy Drinks) husababisha tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

    Hivi ni kweli kuwa vinywaji vya kutia mwili nishati (energy drinks) hupelekea upungufu wa nguvu za kiume?
  20. R

    Ulishawahi kuona Masikini mwenye tatizo la nguvu za kiume?

    Hii imekaaje wakuu. Mpaka leo nazeeka sijawahi kuona au kusikia mtu masikini yaani mwenye kipato duni na pengine mwenye elimu duni akihangaishwa na shida hizi za kukosa nguvu za kiume. Hawa wenzetu wanatumia mbinu gani au ndio vile Mungu hakunyimi vyote?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…