Mwanachama mwandamizi wa Chadema , Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa Kanda ya Kati Lazaro Nyalandu atazungumza na wanahabari Leo saa 12 kamili jioni.
Taarifa za uhakika ni kwamba mwanasiasa huyo kijana mwenye umaarufu mkubwa anatarajiwa kutangaza nia ya kugombea Urais wa Tanzania kupitia...