Ili taifa lolote listawi vyema lazima mihimili mitatu ya dola iwe huru. Lazima Bunge liweze kuisimamia serikali. Mahakama iwe huru kutafasiri sheria na kutoa haki.
Lakini ukiona mkuu wa nchi anashinikiza nyuma ya pazia kumg'oa spika anayesimamia majukumu yake kwa kuhoji fyongo za serikali...
Wakuu jana CCM wametoa press na kusema kuna haja ya kufufua mchakato wa Katiba mpya
Katiba mpya ambayo imekuwa kilio cha muda mrefu cha wapinzani na wataka mabadiliko nchini, inatarajiwa kukuza demokrasia, kuleta uwajibikaji, ugatuaji wa madaraka na ufanisi wa kuendesha serikali
Sasa CCM ambao...
Askari Polisi mmoja ameuawa kwa kupigwa mshale wilayani Ngorongoro mkoani Arusha wakati wa zoezi la uwekaji mpaka katika eneo la pori tengefu kwenye Tarafa ya Loliondo.
Taarifa hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella akisema kwamba kifo hicho kilitokea Juni 10 alasiri, na...
Haiwezekani hali ilivyongumu alafu watu wanachukulia mzaa maisha ya watanzania.
Taifa lina rasilimali lukuki lakini umaskini umetamalaki kila kona ya Tanzania. Watu wanaishi maisha ya kubangaiza kula kwa tabu, kuvaa kwa tabu hata kulala kwa tabu.
Leo hii ni siasa za unafiki zinaendelea tu na...
Kwakweli siamini kama wiki ya pili hii inakatika eti sijanunua malaya kabisa, si mtandaoni wala sio Sinza, naona kwangu ni mafanikio makubwa sana katika safari yangu ya kuushinda huu Uraibu.
Kwa sasa najitajihidi kujiburudisha kwa muziki au bia au vyote kwa pamoja, ila malaya hapana, huo ndio...
Aliachiwa na Mama Samia kwa mkataba maalumu.
Eti wajenge nchi. Sasa mtu makini utajenge nchi na hii CCM?
Sasa hivi hasikiki kama ana mpango wa kuhakiaha CCM inag'oka madarakani.
Kumbe jela ni njia ya kunyamazisha watu.
Ikitokea Mungu katuongoza na kufika salama 2025 na ikatokea Rais Samia akatangaza nia ya kugombea Urais kupitia CCM nitamchagua bila kupepesa macho, kwa sababu:
i) Anajiamini. Licha ya kuwa ni mwanamke katika jamii ya mfumo dume lakini anajiamini na anaamini anaweza. Kujiamini ni moja ya njia...
Vyama vya upinzani havina nia ya kuikomboa Tanzania tutafute mgombea binafsi.
Nimekaa nimewaza juu ya mwenendo wa siasa za taifa letu.
Nikirejea kwa hawa wenzetu chama tawala jinsi wanavyoenenda. Ni dhahiri inaonyesha hawana muda mrefu wataachia hili taifa mikononi mwa chama kingine.
Sasa...
Angekuwepo kalikawe huu ukweli angeusema ila mondi wa tandale ameamua kukaa kimya.
Leo nimemkumbuka huyu msanii mwanaharakati na mwanasiasa Mzalendo baada ya ukimya wake wa muda mrefu tangia aachie kibao chake cha NASOGEA GOLGOTHA kibao kilichosheheni mambo mengi ya siasa hasa yaliyokuwa...
Ni nini stahiki za hawa watu wawili:
1.) Ameachishwa kazi akiwa na umri wa miaka 56, na ametumikia Serikalini muda wa miaka 36.
2.) Amefukuzwa kazi akiwa na miaka 58, na ametumikia Serikalini miaka 40.
Naomba msaada wenu tafadhali.
Thadeo Lwanga ilikuwa tusitishe mkataba wake mwezi huu kutokana na jeraha lake kuchelewa kupona na tulikuwa tayari kutafuta mbadala wake ila daktari ametuhakikishia atakuwa amepona kufikia mwisho wa mwezi huu (January)” amesema Ahmed Ally.
Yaani wenzenu wanapeleka wachezaji wao kutibiwa nchi za...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Mnamo tarehe 17/2/2020 Chama chetu kiliondokewa na aliyekuwa Mwenyekiti wake wa Taifa hayati Maalim Seif Sharif Hamad. Kwa mujibu wa ibara za 84(4) na116(4) za Katiba ya ACT Wazalendo (Toleo la 2020) nafasi hiyo inapaswa kujazwa ndani ya miezi kumi na mbili (12)...
Ni ushauri mzuri kwa ajili ya kulikomboa taifa la Tanzania. Taifa lipo mikononi mwa watu wasiofaa kabisa.
Hakuna aliyesahau ya Escrow, kagoda Richmond na ufisadi mkubwa wa kutupa kupitia Lugumi.
Wenye nia ya kuwa marais ili walikomboe taifa lao kwa uzalendo kabisa waweke nia zao hadharani...
Sasa ni mwaka wa 20 huu nawasikia tu Wanasiasa wa Tanzania kila mara wakisema wanawapigania Wakulima na wanawapenda lakini kila Siku nasikia mpaka Kushuhudia Vilio vya Wakulima kiasi cha mpaka kutia Huruma.
Tanzania ingekuwa na Viongozi imara tena wasio na Unafiki mwingi ndani yake nina uhakika...
Polepole ni kati ya wale vijana ambao walifikiri wana nguvu kuliko walionayo. Sasa amefikia wakati eti wa kutoa elimu ya uongozi!! Elimu gani ya uongozi?
1. Kwenye tume ya katiba kwanza alienda kama watu wa NGOs ambao wanasubiri pesa za misaada ya nchi nyingine. Hakuna uongozi wa maana utapata...
Inashangaza sana kuona wafuasi na wanachama wa upinzani wanafurahia uonevu anaofanyiwa Hamphrey Polepole. Hii yote ni sababu tu alipokuwa mwenezi wa CCM taifa alijenga imani ya CCM kwa wananchi na kusababisha wapinzani wengi kuunga juhudi.
Anakosea nini kukosoa na kusema kweli kuwa Ccm inafanya...
Kuna habari inazunguka mtandaoni ikiwa ni pamoja na humphrey pole pole mwenyewe kuichapisha kwenye ukurasa wake wa twitter kwamba amevamiwa nyumbani kwake dodoma na watu wasiojulikana.
Kwangu naliona hili tukio kuwa ni tukio la kutengeneza kwa sababu kuu mbili;
1. Pole pole anatafuta huruma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.