KWA ALIYE SERIOUS 100%
A: KUHUSU MIMI
DINI: MKIRISTO
KIMO: Mrefu wa kadri
RANGI: Maji ya kunde
ELIMU: Degree
KAZI: Sijaajiriwa
NDOA: Sijawahi kuoa
MTOTO: Sina
UMRI: 34
MAKAZI: Kagera
Mengine tutaelezana
NAHITAJI mwanamke aliye tayari kuanza kuishi na mwanaume hata sasa (ndani ya muda mfupi...
Rais Samia Suluhu amewataka mawaziri na watendaji wote kuwajibika na kufanya kazi na rekodi zao zitawafata katika maisha yao. Rais amesema pamoja na macho yake kulegea, yanaona na atakuwa na jicho kubwa kuangalia rekodi zao.
"Inapoingia kipindi cha pili cha Rais aliepo, watu kidogo mnakuwa na...
Nia na dhamira ya JPM dhidi ya Tanzania haitaweza kuhojiwa popote, alidhamiria kutuondoa kwenye umaskini na alitumia mbinu zote kufanikisha lengo. Dhamira iliendana na matendo, Ni vigumu kupata watu kama Hawa Duniani. Watu wanaocha starehe za Dunia nakuwapigania wenzao usiku na mchana. Legacy...
Nimeangalia video za mtoto Charles Mbena, Tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kujalia maarifa ya ziada. Mtoto wa miaka sita kumudu hesabu za kutoa na kujumlisha kwa kiwango cha Charles ni kusema Jina na Mungu lihimidiee.
Kuna taasisi zilizojitokeza kumsaidia Charles, nimemuona mpaka RAS amefika...
Mafanikio ya China ya kupata "ushindi kamili" kwenye vita vyake vya kutokomeza umasikini uliokithiri kunatajwa na wasomi wengi kama matokeo ya mpango kabambe, utawala bora na nia njema ya kisiasa nchini humo.
Dk. Beatrice Matiri-Maisori ambaye ni mshauri wa maswala ya uchumi na diplomasia kati...
Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa ambaye pia ni Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amesema, Viongozi wa CCM ambao walishirikiana nao kuunda Serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar iliyoanza 2010 mpaka 2015 walifanya hivyo ili tu kutimiza matakwa ya kikatiba...
Rais Mzalendo na anayejali wawekezaji leo kupitia Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila ametoa tamko au salamu kuwa SUGU au Mbunge mstaafu wa Mbeya Joseph Mbilinyi ni muwekezaji hivyo atalindwa na hotel yake haitabomolewa na mtu yeyote.
Kulikuwa na uzushi mitandaoni kuwa hotel imejengwa kwenye...
Salam wadau wa JF
Lengo kuu la thread ni kuomba ushauri Pamoja na msaada wa kimawazo ikiwezekana..
Ni kuwa mimi niko kwenye harakati za kufanya Muziki(baadhi ya wadau ambao wamepata kunisikiliza wananipa moyo sana kuwa muziki nauweza ukianzia kwenye uandishi wa nyimbo..nk)
Tatizo ni kuwa...
Mabibi na mabwana pana taarifa za upepo mwema kuanza kuvuma kule pande za Zanzibar.
Tulikotoka, tulikopita na tulipo kote kunafahamika. Kwamba uchaguzi ule ulikuwa na mzengwe usiofaa kurejewa? Hata mtoto mdogo anajua.
Kwa bahati mbaya pana watu wameumia na hata wengine kupoteza maisha kwenye...
Mabibi na mabwana heshima kwenu.
Hapa ni ushauri wa bure kwao vyama vyote watia nia kuelekea lala salama katika uchaguzi huu.
Zimekuwapo changamoto nyingi katika kufikisha ujumbe kwa wapiga kura. Pana vyama waziwazi vimekuwa vikibebwa na vyombo vya habari (vya umma na hata vya binafsi hali...
Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro imesema, matukio ya kuungua mara kwa mara mabweni ya Shule ya Seminari ya Wasichana ya Kiislamu ya Kaloleni ni hujuma.
Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, Michael Mwandezi alisema hayo wakati akikagua athari za moto uliotokea Oktoba 8, mwaka huu, saa 1:15 usiku...
Naibu wa msajili wa vyama vya siasa Dkt. Nyahoza amesema vyama vya siasa vinavyojipanga kushirikiana vimeshachelewa.
Nyahoza amesema muda uliowekwa kisheria kwa vyama vyenye nia ya kushirikiana kuingia mkataba wa kisheria umeshapita hivyo hakuna ushirikiano utakaoruhusiwa kwa sasa.
======...
Baada ya miaka 54 tangu iwe huru,leo taifa la Barbados limeamua kumuondoa Malkia Elizabeth II wa UK kama kiongozi wa juu wa taifa hilo. Mataifa mengine kama Canada na Jamaica yanaendelea kumtambua Malkia Elizabeth kama kiongozi wa juu wa mataifa yao. Barbados sasa itakuwa jamhuri.
Gavana mkuu...
Watumishi wa Umma waliochukua fomu kugombea majimbo mbalimbali na kushindwa wamerejea rasmi maeneo yao ya kazi leo Septemba 1, 2020.
Naibu Katibu Mkuu Utumishi, Dkt. Francis Michael ameamuru watumishi hao wa umma kuanza kulipwa mishahara yao kuanzia mwezi huu.
Aidha, Dkt. Michael amefafanua...
Wadau naomba kufahamu naibu waziri wa habari, utamaduni na michezo ndg Juliana Shonza alipo. Alitia nia? Ikawaje? Au anapitia viti maalumu?
Au ndiyo kusema wizara hii imepoteza waziri na naibu waziri?
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (JMT) na M/KITI wa Chama Cha Mapinduzi, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli;
Kwa heshima kabisa, ninakuomba uwakumbuke kuwalipa mishahara watumishi wa Umma ambao walijitoa kwa moyo mmoja kukipigania Chama Chetu – CCM huko majimboni kwa kujitokeza...
KATIBU Mkuu wa CCM, Dkt. Ali Bashiru amewataka wote waliotia nia kugombea ubunge kubaki kwenye majimbo yao kusubiri majina yatakayopitishwa na Halmashauri Kuu ya chama hicho inayokaa Dodoma Agosti 20, 2020.
Dkt. Bashiru amesema inabidi wabaki kwenye majimbo yao ili iwe rahisi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.