David James McAllister, aliyezaliwa January 12 mwaka 1971, ni mtu wa kutiliwa mashaka makubwa anayehudumu katika Bunge la Ulaya (European Parliament) kutokea Ujerumani.
McAllsiter ambaye ana doa kubwa la kuwa mbaguzi wa rangi ana mtetezi mkubwa wa ndoa za jinsi moja (Ushoga) ameonekana kwenye...
No project in Africa has been ‘seized’ by China due to inability to repay loans: Chinese Embassy in Uganda
By Global TimesPublished: Nov 29, 2021 01:08 PM Updated: Nov 29, 2021 01:39 PM
Aerial photo taken on July 11, 2020 shows the Karuma hydropower project under construction along the River...
Kesi ya ugaidi ( kesi ndogo katika kesi kubwa) inayoendeshwa divisheni ya Uhujumu Uchumi na rushwa inaendelea leo ambapo upande wa Jamhuri utaleta shahidi mwingine.
Leo upande wa Mashtaka walisema wanafunga ushahidi hawataendelea na shahidi mwingine. Hivyo upande wa Utetezi walianza kujijejea...
Chuki za kuturudishia majina ya Gwajiboy huku hawakubaliki kisha wanaokubalika mnasema walikuwa watoa rushwa halafu ninyi wenyewe mnakuwa wakwanza kuwanunua watu hii haikubaliki kabisa.
Wazee ndio wanawafahamu vijana wao bila kujali chama gani ndio wawaidhinishe kugombea majimboni kutoa ujinga...
Samia,una habari Nchi ipo gizani?
Hivi unatambua umeme ni bidhaa adhimu mno Tanzania kote kwa sasa?
Una habari unapo kuwa kule batani ambapo sasa ndipo ulipopapenda wenzako huku wanajipigia tu pesa kwa kuainisha vi projects fulani fulani?
Natambua utakuwa nje ya Nchi zaidi katika Utawala wako...
Mara ya kwanza nilipojaribu nile chakula bila kunywa soda niliona maisha magumu sana, chakula hakishuki, sina hamu ya maji wala juisi ya matumda wala chochote kile, yaani natamani soda tu, hapa ndipo nilipogundua kumbe hii ni shida, ni kama madawa ya kulevya, nina mashaka kuna kitu wanaweka...
SADC imesema Mfalme Mswati III wa Eswatini amekubali nia ya kufanya mazungumzo ya kitaifa baada ya maandamano kuongezeka. Miongoni mwa walioandamana ni Wanafunzi na Madereva.
Wanaharakati wanasema Mfalme huyo amekuwa akipuuza wito wa mabadiliko ambayo yangehamisha Eswatini kuelekea Utawala wa...
Akiongea kupitia MariaSpaces, Godbless Lema amesema:
"Nafikiri niko tayari kurudi nyumbani. Nafikiri natakiwa kuwa on the ground kuliko wakati wowote.Nafikiri natakiwa kumuona Mwenyekiti jela au mahakamani kumtia nguvu..Nafikiri I am ready now, I am ready for any consequences."
My opinion...
Aiandikia Chadema barua nyingine na kuwataka wajieleze Kwa Maneno aliyoyasema Kiongozi wa Baraza la Wazee na ametumia Maneno ya mtaani yenye kumaanisha hukumu tayari imeshatolewa. Manano kama "mwana kulitafuta, mwana kulipata " na "mtoto asipolelewa na wazi atalelewa na Ulimwengu"
Aidha Msajili...
MSUKUMA ASHUKIWA NA MJUMBE WA MKUTANO MKUU CCM TAIFA
_____________________________________
Amwambia Lengo lake ni kugombanisha Machinga na Serikali.
Atajwa kuratibu kundi la Kumkwamisha Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan 2025.
Uraia wake wahojiwa Kwa kutumia jina la mama yake kama jina la baba...
Huyo mama wa kizungu anaonesha mtazamo wa wazungu walio wengi dhidi ya Afrika, ingawaje hata huyo mtoa mada ni mzungu. Lakini, mtoa mada inaonekana anaongea hivyo baada ya nchi yake, Ugiriki, kupigika kiuchumi. Mama huyo anahofia maisha yao ya mbeleni endapo Afrika itaamka kiakili, kiuchumi, na...
Najua unajua wazi kuwa Mkuu wa Mkoa yupo chini ya waziri, ama kwa lugha nyingine waziri yoyote yule ni boss wako wewe, kumtaja waziri wazi wazi kana kwamba si kitu, sio jambo jema.
Unaposema waziri akiuliza kuhusu makambi "wamjibu kwa kumuuliza kuwa watoto wake yeye wanasoma wapi?" unajua fika...
Unakaa na mtoto kwa mkataba wa kumsomesha au kumuendeleza. Mnapanga muda wake wa kwenda shuleni au mafunzoni na muda wake wa kazi. Anaishi kama mtoto wa nyumbani, unamnunulia mahitaji yake madogo madogo. Sehemu kubwa ya mshahara unakwenda kulipia ada na Bima ya afya.
Akihitimu mafunzo...
Hawa ni lile kundi ambalo mimi nimelichana hapa JF hivi karibuni, lina mambo ya hovyo sana. Hili kundi linachangishana pesa huku likitoa maneno ya kashfa kwa mkuu wetu. Nina wasiwasi wana lengo la kuzuia haki isitendeke.
Vyombo vya kisheria na vya kidola viwakamate, viwahoji na ikibidi...
Sio kila mwanaume au mwanamke anaingia katika mahusiano na wewe ana nia ya kuolewa na wewe hapana kuna wengine wanakuja kupunguza stress, wengine wanakuja kwa sababu they need financial support, wengine wako broked na wengine wamekuja kuzuga tuu siku mtu wake anampenda akizingua tuu basi awe na...
Habari Wana JF,
Kwa Jina Naitwa Steven Naishi Ilala Dar es salaaam namiaka 24 Pia ni Kijana mchapa Kazi mwaminifu kwa kila majukumu nayofanya, Katika swala langu la kielimu nimehitimu level zote ikiwemo O level, Advanced level na kwa sasa ni kijana naehitimu elimu yang yangu chuoni nikiwa...
INAMPASA MMOJA AFE KWA AJILI YA WENGI? HAPANA WAFE WOTE WENYE DHAMBI. (JE, OLE SABAYA AMETOLEWA SADAKA?)
Tunashukuru kwa hatua uliyoichukua dhidi ya Sa baya. Huyu alikuwa na makando kando mengi nyakati za utawala wa Hayati John Pombe Magufuli(Dhulma, Matumizi mabaya ya Uongozi, Ufisadi n.k)...
Shukrani kwa wote. Hivi kwanini hii nchi mtu akiwa na influence kidogo tu anakimbilia siasa? Wasanii, Comedian waigizaji wote wanataka Ubunge, hivi wana uelewa wa kutosha kuwapa dhamana ya kutuwakilisha bungeni kweli?
Unaweza kuwa mzuri kwenye muziki lakini haimaanishi hata kwenye ubunge...
Shalom kutoka Jerusalem,
Mara nyingi kunapotokea sintofahamu inayohitaji uwajibikaji wa serikali viongozi wa juu wamekuwa wakiwaambia wananchi kuwa "serikali ilikuwa na nia njema kabisa". Hivi wewe mdau wa JamiiForums huwa unaelewa nini kuhusu kauli hii?
MFANO: Hivi karibuni, Tanzania, Afrika...
Nimekua napitia nyuzi za Watanzania tangu ujio wa Mama Samia jana hapa nchini Kenya, hamna hata uzi mmoja unaojadili au kudadavua huu ujio kitaalam, kwa minajili ya kuelewa dhamira ya mama kwenye jitihada zake za kuifanya Tanzania iamke tena. Kila Mtanzania analalamika tu, watu wameingiwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.