Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada.
Tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu ilikuwa ni muhimu sana kutambua kuwa ushindi utapatikana tokea katika mavuno ya haki ya kura za wananchi.
Ilikuwa muhimu zaidi hili kufahamika kwa wagombea wenyewe, wafuasi na hata mashabiki wao...
Wanabodi,
Kila nipatapo fursa, huja na makala elimishi kuhamasisha uzalendo kwa taifa letu kupitia makala elimishi hizi za " Kwa Maslahi ya Taifa"
Swali katika mada yangu ya leo ni katika kuwapata wagombea wa CCM, Je, vikao vya uteuzi vya CCM, vitazingatia tuu matokeo ya kura za maoni, ambayo...
Nilipoona tu Umati ule umeachiwa huru 'Kutawala' na 'Kujimwambafai' katika Mapokezi yake pale Kiwalani International Airport na Watu ambao siku zote huwa ni 'Maadui' zao na pia nilipoona tu bado wameendelea 'Kunyamaziwa' katika 'Kuagwa' kwa 'Mwamba wa Kimawakuwa' pale Freedom National Stadium...
Akizungumza mbele ya umati wa wananchi huko Babati, Lissu amesema wamepata taarifa za vikao vya wakubwa na vibaraka wao wanaohofia kimbunga chake huko mikoani.
Lissu anasema mkakati huo wa kumuengua ulijenhwa juu ya hoja mbili.
1. Ya kwanza ni wao kutaka kupitia kichaka cha maadili, kwamba kwa...
Ujumbe muhimu: Likizo ya Bila malipo huendi na cheo, na ukirudi hukikuti
Idara Kuu ya Utumishi Pongezi kwa kuonesha weledi katika kusimamia taratibu za umma.
Tumeona mmefuata mfano mwema wa Rais wetu kwa kuwapa nafasi wateuliwa wapya baàda ya walikuwa na nafasi hizo kujaa tamaa.
Maajabu...
Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada.
Ushauri huu wa bure ungefaa kuwafikia watia nia na hasa wale wa urais kwani wajumbe wenye kushikilia hatima zao kwenye hili ni sisi.
"Sisi," Watanzania ambao pia ni binadamu kama alivyo binadamu mwingine yeyote wakiwamo pia wao...
Mabibi na mabwana moja kwa moja kwenye mada.
Tunapoelekea Oct. 2020 wajumbe kama walivyowanyoosha watia nia wale itakuwa zamu yetu kuwanyoosha wetu.
Siyo siri huyu hapa atakuwa nazo kura zetu nyingi:
1. Mwenye kutuletea tume huru ya uchaguzi.
2. Mwenye kutuletea uhuru kamili wa mihimili...
Khabari za Saa hizi!
Wadau kama mnavyojua kesho Mambo flani hivi ya Maakuli mambo ya kupika pika vitu Vitamu vitamu 😁
Sasa kwangu mi hali nasukumizia na ntakalokutanalo kesho Sijui wadau wenzangu na mie kesho wapi? Tukutane Wapi,au kunialika Mjumbe yoyote nije kwake ama kwao🤪 au nimekosea...
Pitapita zangu hapa jijini Mwanza zimenikutanisha na watumishi wa umma wenye huzuni, chuki, hasira na kisasi mioyoni baada ya mishahara yao kukatwa kwa sababu walitia nia.
Wanasema, mishahara yao ndo uhai wa familia zao, ndiyo uzima wa Babu na Bibi zao vijijini. Wanasema wanawagonjwa...
1 Dr Mazima
huyu jamaa anaelimu ndogo yaani ni AMO lakini ni mbinafsi na roho ya ujuha sana nilikula laki mbili yake baada ya wapambe wake watatu walio nifata kwa nyakati tofauti na kunigea kitita hicho. Ila tabia zake za kudharau watu, shule ndogo kichwani na ujuha ndo vilisababisha nikaitafuna...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida aliyekua mbunge jimbo la Singida Magharibi ndugu Elibariki Kingu alishawishi kamati ya siasa ya Wilaya kuwakata majina wale wote waliotia nia ya kugombea udiwani CCM wasio muunga mkono yeye.
Sasa watia nia hawa wa udiwani wanasubiri majina yao yakatwe watinge...
Uchaguzi wa wabunge wa viti maalumu CCM unaendelea katika mikoa mbalimbali na hapa DSM jumla ya akina mama 252 wametia nia na wajumbe wa mkutano wa uchaguzi ni 263.
Maendeleo hayana vyama!
Baraza la Habari Tanzania (MCT), limesema kuwa waandishi waliojitokeza kuchukua fomu za kugombea nafasi mbali mbali za kisiasa ni haki yao ya msingi kama walivyo raia wengine hapa nchini, lakini wanapaswa kuondoka katika uandishi wa habari.
Katibu Mtendaji wa MCT, Bw. Kajubi Mukajanga ameyasema...
Wakuu natumaini mko salama
Niende moja kwenye mada. Tarehe 20/07/2020 ilikuwa mbaya sana kwa watia nia hasa Kigamboni.
Nami upande wangu kabla jua halijazama ilikuwa mbaya sana.
Kwanza kabla ya hapo COVID-19 ilikuwa imeniathiri, nilikatwa mshahara ili kuwasaidia watu wa chini yangu nao wapate...
Habari wakuu!
Kila siku Kuna habari mpya nchi Tanzania kutokana na Taifa linaenda kuingia katika uchaguzi wa viongozi.
Mnamo 20/07/2020 uchaguzi kwa WATIA NIA ya kugombea upande wa chama Tawala ulianza na mpaka hivi Sasa unaendelea, lakin Jana mida ya saa 1 nimepata kuona kapost Fulani...
Haijulikani sababu ni zipi zimeletekeza watumishi wa Umma ndiyo kuwa wengi katika kutia nia kuliko wafanyabishara na wafanyakazi wa Sekta Binafsi. Kuna wengine ambao waajiri wao wamegoma kuwapitishi ruhusa.
Kuna wengine kwa kuona mizengwe ya viongozi wao kuhusu kuomba ruhusa wameamua kuondoka...
Nimeweka nia ya kumchukulia fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar Sheikh Mselem Ali kwa tiketi ya Chadema kesho tar 20/07/2020
Sheikh Mselem Ally ana haki ya kuchaguliwa kama walivyokuwa na haki waznz wengine.
Haya ni maono yangu binafsi kama Mtanzania. Kulalamika tu pembeni bila kuchukua hatua...
NDUGU yangu NAJUA hunijui
Omba Salii funga sanaa UKIONA vita imeanza hivi MDA WA kujifunga mkanda na Mungu ama upande WA pili asimame NA wewe mpaka MWISHO WA kampeni
POLENI sana wafiwa pole sana kaka ERICK kwa kuhairbikiwa GARI
Aliefariki ni dereva wake
===
Gari ya Mtangazaji wa TBC Enock...
Kwema wakuu,
Niende moja kwa moja kwenye mada. Miezi ya hivi karibuni kuliibuka mtindo uliopachikwa jina la "Kuunga Mkono Juhudi" ambapo Viongozi mbalimbali waliokua upinzani walijiondoa na kujiunga na Chama tawala cha CCM.
Wengi wa hawa waunga mkono juhudi walitokea Chama cha CHADEMA, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.