Mimi nimeshiriki interview nyingi na najua maswali ya mitego watia nia wakiwa wengi hata wajae uwanja wa taifa wakigombea nafasi moja.
Kuisaidia CCM kuchuja hao maelfu walioomba ni kazi ndogo tu na rahisi
Swali moja tu la kwanza la kuwachujia ni kuuliza matawi waliko wanapoishi wameyasaidiaje...
Hakika maisha baada ya kutia nia ubunge, yatakuwa magumu sana kwa watia nia wengi ehee Mungu wasaidie watia nia wote maana wengine maisha yao yatabadilika kutoka uchumi wa kati hadi umaskini totoro
Fursa za ajira zinapotoka waombaji wanakuwa lundo sana, inaweza kutoka nafasi moja wakaomba watu 400. Ndicho kinachotokea kwenye kura za maoni kwa sasa.
Tazama Mkoa wa Mara watia nia 462. Ni kweli hawa wote wana wito na uwezo wa kutunga sheria na kusimamia serikali? Au wanasaka nini hasa...
Kiukweli watia nia ni wengi sana kupitia Chama cha Mapinduzi hivyo mnatakiwa kuwa makini sana kwenye kuwapitisha wagombea wenu kukiwakilisha chama, la sivyo mkichaguana kwa upendeleo na huku mkifurahia kwa watia nia walio wengi kupitia chama chenu na ni hao hao watawahama na kwenda kutia nia...
Viongozi Wateule walioapishwa Leo ni:
1. Bw. Aboubakar Kunenge- Kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam
2. Bw. Joseph Joseph Mkirikiti - Kuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara
3. Bw.Paulo Mshimo Makanza - Kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam
4. Bw. Gabriel Pascal Malata- Kuwa Wakili Mkuu wa Serikali...
Kwa mujibu wa Takwimu zisizokuwa rasmi ndani ya Chama Cha Mapinduzi idadi ya watu waliochukua fomu ni zaidi ya 500 na bado wanaendelea kuchukua.
Wanaochukua fomu ina maana kwamba ni wanachama HAI wa CCM na kwamba wanayo kadi ambayo wanailipia.Kama gharama ya Fomu ni TZS 100,000 ina maana kwamba...
Wanabodi,
Tunapoelekea kwenye hatua ya kwanza ya uchaguzi kwa uchukuaji wa fomu za kugombea kwenye vyama vya siasa, kumejitokeza, uwingi wa mkubwa, wa wagombea kupitia CCM.
Huu ni uthibitisho wa kazi kubwa na nzuri iliyofanywa na Rais, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na awamu yake ya 5, na...
Mwaka 2019 rafiki yangu wa karibu alinishauri ifikapo 2020 nigombee ubunge. Baada ya kukataa ushauri wake alisema ndani ya CCM hususana serikali ya awamu ya 5 hata ukishindwa ubunge unaweza fikiriwa nafasi nyingine za uteuzi kama ukurugenzi, ukuu wa mkoa, wilaya na makatibu tawala mikoa na...
Wakili Methusela Gwajima leo Iulai 15, amechukua fomu kuchuana na kaka yake Askofu Josephat Gwajima pamoja na watia nia wengine ambao wamechukua fomu kuwania Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Habari Star TV Tanzania
Unaweza kudhani ni Hatua nzuri ila hapa kwa Jicho la...
Producer Mkongwe wa Muziki Joachim Marunda Kimaryo maarufu kama ‘Master Jay’ tayari amechukua fomu ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Rombo kupitia CCM
Ubunge kwa uchaguzi huu ni hisia sio uwakilishi
Watia nia ni wengi kuliko chaguzi zilizopita
Vijana ndio wanaongoza kutia nia japo wengi wao hawajulikani jimboni maana wanaishi mijini tuu
Wasanii nao wameona mifano ya watangulizi wao hivyo hawako nyuma
Wabunge vigogo au waliokuwa mawaziri...
Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Ndugu Charles Kimei amefika katika ofisi za CCM Kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi-CCM kupeperusha bendera Jimbo la Vunjo.
Pia soma> Uchaguzi 2020 - Dkt. Charles Kimei Mbunge mtarajiwa Vunjo
Kama kuna Nchi ambayo dunia nzima Siasa zake si tu kwamba ni tamu kuzisikia na kuzitizama bali pia ni ' Komedi ' tosha kutokana na 'Vituko' vyake basi ni za nchini Tanzania. Katika hali isiyokuwa ya Kawaida kabisa Watia nia ya Ubunge Jimbo la Iringa Mjini kutoka CCM, CHADEMA na ACT wameamua...
Mtia nia wa Ubunge jimbo la Tarime mjini, Ndugu Dittu Manko muda huu yuko Kata ya Kenyamanyori, amezungumza na wajumbe na kuwagawia rushwa ya 10,000 kwa kila mjumbe.
Huu ni muendelezo wa nyuzi zangu za kiuchumi ambazo ni matokeo ya kutafiti taarifa mbalimbali za serikali kwenye masuala ya fedha na uchumi.
Msukumo wa kuamua kufanya hizi tafiti, unatokana haswa na kuchukizwa na yale majigambo ya wanasiasa na watu wasioelewa mambo, ya eti uchumi kwenye awamu...
Kipindi kinachohusu somo hilo hapo juu kinarushwa muda huu na katika mahojiano yao wametoa mfano wa Jimbo la Rorya kuwa na Watia nia zaidi ya 60.
Mimi nijikite kwenye ongezeko la watia nia katika Jimbo la Rorya. Jimbo la Rorya Mbunge wetu ni Lameck Airo kwa kifupi Lakairo. Nitatoa sababu...
Ikiwa kama nimemsingizia basi nisamehewe , bali rada za wapekuzi wetu waliotapakaa nchi nzima wanaoangalia kwa karibu sana uadilifu wa wagombea wamenasa mmoja wa watia nia akiendesha siasa za kishamba zisizoeleweka
Ingekuwa ni kwenye soka basi bila shaka TFF ingemfungia bila huruma , lakini...
Kiukweli nafasi ya Tundu Lisu kupitishwa na Chadema kuwa mgombea urais ni ndogo sana.
Washindani wa Lisu mh Mbowe na Nyalandu waliwahi kwenda katika hekalu la mfalme Suleiman mjini Yerusalemu ambako waliweka nia zao mbele ya Mwenyezi Mungu.
Nyalandu alisema wakati wanaweka nia zao kwa...
Kuna kila sababu ya wabunge na watia nia hawa, kutopitishwa na vyama vyao vya siasa kugombea .
1. Wabunge wote wa CHADEMA sababu wameonesha kuwa siasa zao ni za kujinufaisha wao bila kujali wananchi! Hasa kipindi cha corona walisikika wakitaka nchi iwe lockdown.
2. Zitto - Kigoma Mjini
3...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.