Leo uzi wangu naikosoa NIDA hasa katika kipengere hiki cha kuprint ID copy online. Ni jambo zuri na mnastahii kupongezwa kwa hilo ila mtu aliyepitia adha za huduma hii hawezi kuwapongeza, mimi nikiwemo.
Tuanze hivi, nilienda statinary kuprint ID nikaambiwa 4000, nikaona siwezi kuvumilia ujinga...