Habari wakuu,
Naomba kuuliza hivi inachukua muda gani katika kubadirisha jina la kwenye kitambulisho cha NIDA ikiwa ushafata taratibu zote ikiwemo, Deed poll, tangazo la gazeti na kulipia elfu ishirini NIDA, je naweza subiri ndani ya muda gani hadi wabadirishe jina langu kwenye database yao...