nigeria

  1. Nigeria: Askari atuhumiwa kumuua raia mwenye ujauzito kwa kumpiga risasi

    Jeshi la Polisi limemsimamisha kazi mtuhumiwa ambaye inadaiwa alimpiga risasi Mwanamke huyo ambaye ni Mwanasheria wakati alipokuwa na familia yake wakirejea nyumbani kutoka kanisani Jijini Lagos Askari anaitwa Drambi Vandi huku marehemu amefahamika kwa jina la Bolanle Raheem aliyekuwa na...
  2. Nigeria: Shehe ahukumiwa kifo kwa kukufuru

    Hukumu hiyo imetolewa na Mahakama ya Sharia, Jimbo la Kano baada ya Abduljabar Nasir Kabara kukutwa na hatia ya kumkufuru Mtume Muhammad na uchochezi kupitia baadhi ya mahubiri yake, ingawa anakanusha mashtaka hayo. Kabara (52) anashikiliwa na mamlaka tangu Julai 2021 alipotuhumiwa. Kano ni...
  3. Nigeria: Mwanamuziki D'banj akamatwa akituhumiwa kwa ulaghai wa fedha

    Msanii huyo wa Afrobeats amekamatwa kwa madai ya ulaghai baada ya mamilioni ya dola yaliyokusudiwa kuwasaidia vijana wasio na ajira kuanzisha biashara kuripotiwa kupotea. Msanii huyo ametajwa kuwa ni balozi wa Mradi huo wa N-Power ulizinduliwa na Rais Muhammadu Buhari Mwaka 2016 lakini...
  4. L

    Nigeria yarejesha huduma za usafiri kwa Reli ya Abuja-Kaduna

    Nigeria jana Jumatatu ilirejesha huduma ya usafiri wa treni kati ya mji mkuu Abuja na mji wa kaskazini wa Kaduna, miezi minane baada ya kusitishwa kufuatia moja ya mashambulizi makubwa zaidi kutokea nchini humo. Machi 28, watu wenye silaha walitumia vilipuzi kulipua reli na kushambulia kwa...
  5. Nigeria: Mahakama yatoa hukumu IGP kutupwa Jela miezi mitatu

    Mahakama Kuu ya Nigeria imetoa hukumu hiyo kwa kosa la kutotii amri ya Mahakama, uamuzi huo umetokana na kesi ya Afisa wa Polisi ambaye alifutwa kazi mwaka 1992, ambapo alipinga kustaafu kwake kwa kulazimishwa na kuachishwa kazi. Mahakama imeamua Inspekta Jenerali Usman Alkali Baba kuwa...
  6. Nigeria yazindua noti mpya kupunguza nguvu ya vikundi vya watekaji

    Rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari akiwa na Gavana wa Benki Kuu, Godwin Emefiele wamezindua noti hizo lengo likiwa ni kuzuia uingizaji wa bidhaa za magendo na kupunguza nguvu ya ufadhili katgika vikundi vya waasi vinavyotumika kuteka watu. Noti hizo mpya za Naira 200, 500 na 1,000 zinatarajiwa...
  7. Uchaguzi Nigeria: Naona safari hii wameamua kuongonzwa na vibabu vilivyokula chumvi nyingi

    Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Kwa wasiofahamu, ni kwamba Nigeria inakwenda kufanya uchaguzi wake mkuu wa uraisi miezi mitatu ijayo. Katika uchaguzi huo mkuu, mchuano mkali utakuwa kati ya vikongwe wawili wa nchi hiyo mh Bola...
  8. Nigeria: Wasichana waliotekwa miezi mitano iliyopita waachiwa huru baada ya familia kulipa pesa

    Wasichana hao katika Jimbo la Zamfara wamesema waliruhusiwa kuoga mara 5 tu ndani ya miezi mitano waliyokuwa mateka na tena hawakutakiwa kutumia sabuni. Watekaji walitishia kuwabadili wasichana hao kuwa sehemu ya kikosi chao kama hawatapata malipo. Mamlaka zimetangaza kuwa mateka hao...
  9. Nabii kutoka Nigeria ashinda mkanda baada ya kumpiga shetani

    Nabii Odumeje wa Nigeria akionyesha mkanda alioupata baada ya kushinda pambano la Kimataifa la Vita ya Kiroho. Nabii Odumeje anasema alienda kuzimu akiwa peke yake na akapigana na shetani wakiwa kwenye ulingo uliokuwa umefungwa pande zote. Hakika ukijidhania umemaliza kuyajua yote, wewe...
  10. Nigeria: Kocha wa timu ya taifa hajalipwa mshahara miezi 6

    Kocha huyo wa Super Eagles, Jose Peseiro aliyeajiriwa Mei 2022 anadai jumla ya Dola 420,000 (Tsh. Milioni 979 kwa kuwa kwa mwezi anatakiwa kulipwa Dola 70,000 (Tsh. Milioni 163). Chini ya Sheria za sasa za FIFA, Peseiro ambaye ni kocha wa zamani wa Saudi Arabia na Venezuela anaweza kusitisha...
  11. Meghan Markle asema ana asili ya Nigeria kwa 43%

    The Duchess of Sussex anasema majaribio ya ukoo wake yamebaini kuwa yeye ni "43% Mnigeria". Meghan alimwambia mtangazaji wa kipindi cha mazungumzo cha Nigeria na Marekani Ziwe Fumudoh kwamba "nasaba yangu ilifanyika miaka kadhaa iliyopita". Fumudoh alipouliza "wewe ni nini?", Meghan alijibu...
  12. Ilikuwa hivi hivi baada ya Yanga kutoka kwa Rivers United

    Kilichomkuta Simba, alipigiwa pasi 1000 na kupokea kichapo kutoka kwa Fiston Mayele. Leo watu wale wale wanajipa moyo kwamba Simba atamfunga Yanga? Nasemwa hivi Simba kwa sasa haiwezi na haitoweza kuifunga Yanga Simba kichapo kiko pale pale, pigeni propaganda ila ikifika Jumapili msianze...
  13. Nigeria: Jamaa wenye silaha za moto wavamia hospitali, wawateka madaktari, wagonjwa na ndugu wanaouguza wagonjwa

    Tukio hilo limefanywa na watu wenye silaha za moto ambapo hawajajulikana na inaelezwa pia wamewateka ndugu waliokuwa wakiuguza wagonjwa katika Jimbo la Niger. Hakuna tamko rasmi la idadi ya watu waliotekwa lakini taarifa za awali inadaiwa ni Watu 20 na watatu wengine wameuawa. --- Medics and...
  14. Nigeria: Zaidi ya watu 500 wafariki kutokana na mafuriko

    Mamlaka zimesema idadi hiyo imefikiwa kutokana na mafuriko makubwa kutokea kwa wiki kadhaa hivi karibuni, watu 1,500 wakijeruhiwa na wengine milioni 1.4 wakihama makazi yao. Tangu Julai 2022 taifa hilo limeandamwa na mafuriko sehemu mbalimbali ikiwemo Jiji la Abuja kutokana na mvua nyingi...
  15. Simba hii ni sawa na Nigeria ya Kombe la Dunia 1998. Inashinda ila siuoni ufundi kabisa

    Niseme tu labda siwafahamu De Agosto vizuri. Lakini mpira wa Jumapili wa Simba sikuelewa, butu butu nyingi. Ubora wa timu niliouona kwa Mgunda ni ifuatayo; Uchaguzi mzuri wa wachezaji. 1. Niliona mapungufu ya Quatara yakifanyiwa kazi. Na Kanute anakuwa mzuiaji wa chini kabisa. Anazuia mipira...
  16. Nigeria: Watu 76 wafa maji baada ya mashua kuzama

    Maafa hayo yametokea katika Jimbo la Anambra katika boti iliyokuwa imebeba watu 85 kutoka Onukwu kuelekea Nkwo Ogbakuba. Watu hao walikuwa wanahama kutokana na ongezeko la maji maeneo yao yanayotokana na mafuriko ambayo pia inadaiwa yamechangia watu wengine watatu hawajulikani walipo katika...
  17. Nigeria: Wabaini bomba lililotumika kuiba mafuta kwa miaka 9

    Maafisa wamegundua njia hiyo haramu iliyounganishwa kutoka baharini ikiwa na urefu wa kilometa 4 katika moja ya kituo ambacho kinasambaza mapipa 250,000 ya mafuta kwa siku. Mkuu wa Kampuni ya Mafuta ya Serikali NNPC LTD, Mele Kyari ametoa ripoti suala hilo kwa kamati ya Bunge ya Nigeria...
  18. Nigeria: Rais asema rushwa ya ngono vyuoni imekithiri

    Rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari anasema ni kwa sababu hiyo matukio hayo sasa yanachukuliwa kuwa sehemu ya ufisadi. Amesema anaelewa wanafunzi wanapitia changamoto nyingi vyuoni akitaja baadhi ni kutakiwa kutoa fedha na rushwa ya ngono licha ya kuwa hakutaja takwimu za matukio hayo. Ameweka...
  19. Nigeria: Tume ya Uchaguzi imetangaza majina 18 ya Wagombea wa Urais

    Tume Huru ya Kitaifa ya Uchaguzi (INEC) imebainisha kuwa Vyama Vya Siasa 18 vimesimamisha wagombea Urais na Wagombea Wenza akiwemo Atiku Abubakar wa Chama Cha Upinzani cha Peoples' Democratic Party (PDP) na Gavana wa zamani wa Lagos, Ahmed Bola Tinubu, wa Chama Tawala cha All Progressives...
  20. Nigeria: Viungo vya uzazi vya Punda wa kiume 7000 vyakamatwa Uwanja wa Ndege

    Mamlaka za Forodha Nigeria imekamata viungo vya uzazi vya Punda wa kiume 7,000 vilivyokuwa Uwanja wa Ndeger kwa ajili ya kusafirishwa kuelekea Hong Kong. Viungo hivyo vilikuwa katika magunia 16 na vilibainika baada ya kutoa harufu, na gharama yake imetajwa kuwa ni Dola 478,000 (Tsh. Bilioni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…