nissan

  1. Nissan Dualis zitajiondoa zenyewe sokoni

    Ni kama mamlaka za ukaguzi na KUSIMAMIA UBORA wa vyombo vya moto vinavyoingizwa nchini zimeshindwa Kazi, ama kuna uzembe mahali ama rushwa. Kwa modeli za magari yanayoingia nchini kwasasa NISSAN DUALIS zinaongoza kwa kuwaka moto.. Hivi mamlaka halilioni hili tatizo? Ama kwa vile nyingi...
  2. Land Cruiser J300 ijipange, hii next gen Nissan Patrol ni habari nyingine!

    Naona Nissan wako serious, wanaleta generation nyingine ya Patrol ambayo tunaamini ndio itacompete na LC J300! Itakuja 2025, Nissan wameipa model code Y63 na ni generation ya 7 ya Patrol tokea waanze 1951. Inakuja na twin turbo V6 mambo ya V8 yashapitwa na wakati, na engine ndogo ya 3.5L sio...
  3. 2012 Nissan Xtrail Vs 2010 Subaru Forester

    Wakuu nimejipata nataka nichukue usafiri kati ya Nissan xtrail ya 2012 au 2010 Subaru Forester (isio na turbo). Msaada wa uimara, spea, mafuta, re-sale value
  4. Car4Sale Gari inauzwa Nissan Patrol

    Nissan patrol Engine D 45 Ac Available Fully working Halogen Lights Tsh 16,000,000 haina shida yyte Maongezi yapo🙏 0774446553 Location Arusha
  5. M

    Kwanini watanzania wanalichukia Nissan Serena?

    Habari zenu. Nataka kuulizq nimegundua kuwa watu wengine walifuata mkumbo wa kununua nissan Serena lakini siku za hivi karibuni zi.ekuwa hazinunuliwi na resale value yake imeshuka sana. Ndio imekuwa kawaida kusikia watu wakiuza Nissan Serena zao kwa bei chee mfano sh 5m nk. Zimeshuka thamani...
  6. X

    Ifikie wakati Nissan Dualis na moto wamalize tofauti zao

    Ukiwa na Dualis usihesabu una gari wewe jua una chanzo cha moto. Leo saa 9 usiku imewaka maeneo ya Kimara Kibo Visa vya Dualis kuwaka vimekuwa vingi sana ikichanganyikiwa inawaka popote
  7. R

    Spare za Nissan Serena

    Nitapata wapi spare used za Nissan Serena au written off gari aina hiyo ambayo mtu anauza spares
  8. Nissan Xtrail diesel, manual transmition

    Ndugu waheshimiwa habari za majukumu kama sio shughuli za kila siku, Kama title hapo juu nimevutiwa sana na specification za extrail manual, maana nataka ku shift kutoka auto nipate gari yenye pulling na economy engene. Najua kuna watao sema nissan sio gari mara ugonjwa wa moyo ila kiufupi...
  9. Nissan Juke 2nd Generation: Upgrade ya Kibabe

    Mwaka 2010, Nissan walitengeneza Nissan Juke 1st generation iliokuwa designed na Kenji Kawasaki na mwenzie, wakaja na hii design: Ni gari nzuri, nje na ndani, comfortability, efficiency na practicability. Sasa kuanzia 2019 kuna madesigner watatu wakaambiwa waunde 2nd generation ya hii Nissan...
  10. Car4Sale Nissan dualis inahitaji milioni 15 namba E

    Habari ndugu zangu, Nissan Dualis ipo sokoni inaenda kwa Tsh mil 15 Mwaka 2009 CC 1990 Km 90k Haina kipengele Location Dar es Salaam-Tabata Simu ziite ndugu zangu 0752463715 0776363230 Biashara maelewano.
  11. Car4Sale Nissan Patrol inauzwa Milioni 45 tu. Ipo Dar

    1. Hali ya Gari: Gari halina shida yoyote, ila halijatembea kwa muda. Ni Nissan Patrol 2. Gari lilipo: Gari lipo Goba Mkoani Dar es Salaam 3. Bei ya Gari: Ni Tsh milioni 45 5. Mawasiliano: Piga simu au tuma Meseji kwenda: 0713208669
  12. Nissan Y60

    Moja ya gari nayoiamini ktk utendaji wangu wa kila siku Nissan Y60
  13. Mafundi wazuri wa Nissan Duals

    Habari ndugu wana jamii forum, Nimejikongoja kidogo nimenunua Nissan Duals naombeni ushauri kuhusu mafundi wazuri maana hii gari naipenda sana japo watu wanadai ina changamoto nyingi ila kwa upande wangu naikubali sana hii gari
  14. Car4Sale Nissan Dualis for sale

    Maker: Nissan Model: Dualis Body Type: Station Wagon Color: Black Year of manufacture: 2007 Engine Capacity: 1990 Fuel Used: Petrol Imported from: Japan Asking price: 16m Previous Owners: 0 The price is Negotiable, Karibu tufanye biashara.
  15. 2021 Nissan Patrol 5.6 V8 LE Premium - Hospitali ya Wilaya inayotembea

    Wakuu hii kitu ya moto sana, gharama za kuinunua hii chuma ni sawa na hospitali ya Wilaya (pamoja na Assets zote) huko BUHIGWE. Hakika duniani wapo viumbe (akiwemo Mstaafu) wanafurahia maisha. NB: Tupeleke watoto CHIPUKIZI aisee. Haya mambo ya kukomaza Komwe ufaulu NECTA sijui SUA ndo uje...
  16. Nissan Dualis vs Nissan Qashqai

    Habarini wakuu. Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna hizi gari ambazo tunazi consider kama ni gari za aina moja, kwamba zinafanana kwa kila kitu. Naongelea Qashqai vs Dualis. Kuna tofauti yoyote kati ya hizi gari mbili? Kuna jamaa aliwahi kuniambia kwamba Nissan Qashqai...
  17. Nissan fuga inauzwa very cheap. Low mileage

    NISSAN FUGA 🚘 ✔️PRICE 7 MIL ✔️YEAR 2004 ✔️CC 2490 ✔️COLOUR PEARLY WHITE ✔️LOW MILAGE ✔️FULL AC ✔️FULL DOCUMENT ✔️GARI MKWAJU SANA HAINA TATIZO LOLOTE ✔️LOCATION DSM, BUNJU CALL +255 734 766 126
  18. Car4Sale Tunauza Magari aina mbalimbali

    Price/Bei 15.7mls Cont: Bmw 3 Series ECY Year 2008 Cc 1990 Low Km 99000 Full Options✅ Sports & New Tyres Clean Condition 0688591584 Navunja Na Gari yoyote°° Location Dar es salaam
  19. Ni upi ubora na changamoto za Nissan Teana?

    Kwa wazoefu wa hii gari naomba mitazamo yenu. Ina ubora gani na zipi ni changamoto zake. Gari ni ya mwaka 2003 lakini sijui ukubwa wa injini.
  20. Nissan Pathfinder ipoje? SPEA?

    Wakuu Naja Kwa UNYENYEKEVU mkubwa kutaka kujua undani wa Nissan pathfinder nimeiona kwenye mnada nataka niichukue vipi spea bongo?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…