IPO risiti ya halmashauri inazagaa mitandaoni ikionyesha malipo faini ya 30,000 kwa kosa la kujifungulia nyumbani.
Naomba kufahamishwa, hii faini ni kwa mikoa yote nchini au ni Njombe pekee?
Je, kujifungua mwanamke lazima apatwe na uchungu hospitalini?
Je, akipatwa na uchungu akiwa nyumbani...