njombe

  1. Temporary data clerk at COCODA

    Community Concern of Orphans and Development Association (COCODA) is a non-governmental organization established in 2000. COCODA’s establishment as its name suggests, resulted from intensifying concern among community members in Njombe over the surging number of orphans, mainly consequently to...
  2. Njombe: Lori na Coaster vyagongana

    Ajali mbaya imetokea jioni ya leo 24.04.2022 majira ya saa 11.30+ ikihusisha coaster na lori la makaa ya mawe, watu kadhaa wanatajwa kupoteza maisha, taarifa zaidi zitatolewa na mamlaka husika. ==== Zaidi ya Watu watatu wanahofiwa kufariki baada ya gari aina ya coster iliyobeba vijana wa kwaya...
  3. T

    Nahitaji msaada kwa yeyote anayetoka mkoa wa njombe na iringa

    Natarajia mko wazima wakuu. Naomba musaada, kama kuna mtu ambae ametoka mkoa wa njombe na iringa tafadhali niadikia,niko na mambo muhimu sana nataka kujua toka njombe na iringa. Natangulia shukrani wakuu.
  4. Polisi Njombe: Ukimuita mwenzio Mchawi unakwenda jela miaka 7 bila dhamana

    Polisi mkoani Njombe imeonya wananchi kujihusisha na vitendo vya ushirikina na kubainisha kuwa yeyote atakayemuita jirani yake mchawi na kukamatwa kwa tuhuma hizo itapelekea kuhukumiwa kwenda jela miaka saba bila ya kuwa na dhamana. Hayo yamebainishwa na Sajenti Thobias Nyagawa wakati Polisi na...
  5. Njombe: Avunjwa mikono na miguu baada ya kukutwa na msichana

    Kijana anayefahamika kwa jina Benard Mkolwe mkazi wa kata ya Madilu, wilaya ya Ludewa mkoani Njombe, amepigwa na kuvunjwa mikono na miguu baada ya kukutwa na msichana Sara Mgohole anayedaiwa kukutana naye nyumbani kwao kwa lengo la tendo la ndoa ikiwa ni siku ya kwanza tangu waanze mahusiano...
  6. Mbio za Mwenge: Wakimbiza Mwenge watumie vigezo vya kitaalam kukagua miradi

    Katika miaka ya karibuni tumeshuhudia mambo ya ajabu katika ukimbizaji mwenge wa uhuru. Wakimbizaji mwenge siku hizi wamegeuka kuwa TASK FORCE ya ukaguzi wa miradi. Sina uhakika kama wakimbiza mwenge ni wahandisi au wataalam wa kukagua miradi na usimamizi wake. Kama picha hapo juu eti mkaguzi...
  7. Wiki ya ubunifu Tanzania-Kanda ya Njombe

    Habari wanajukwaa, Ikiwa ni mara ya kwanza kwa WUTz kufanyika Njombe, na nikiwa ni mmoja wa waratibu wa jukwaa hili la WUTz Kanda ya Njombe nimeona ni vyema nikilileta suala hili hapa JF. Kwanza ni kwasababu ninaamini kuna wadau wengi wenye uzoefu na fikra tunduizi za kutosha zinazoweza...
  8. Community gatherer for a multi-stakeholder climate action plan in Njombe - 1 position

    Project description The “Multi stakeholder climate action plan in Njombe” project is going to be implemented by SHIPO with the funding and support of GIZ and the German Ministry for the Environment, Nature Conservation and Nuclear safety, under the IKI Small grants program. The project will...
  9. Technology and business officer for a multi-stakeholder climate action plan in njombe - 1 position

    Project description The “Multi stakeholder climate action plan in Njombe” project is going to be implemented by SHIPO with the funding and support of GIZ and the German Ministry for the Environment, Nature Conservation and Nuclear safety, under the IKI Small grants program. The project will...
  10. Njombe: Ahukumiwa miaka 30 jela kwa kumbaka mara mbili Mwanafunzi

    Furaha Samweli Ligate (26) mkazi wa kijiji cha Unyangala wilaya ya Makete mkoani Njombe amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kumbaka mara mbili mtoto mwenye umri wa miaka 15 aliyekuwa amehitimu darasa la 7 mwaka 2021 akisubiri kujiunga na kidato cha kwanza mwaka huu wa 2022 Hukumu...
  11. Polisi wawaita kituoni wananchi walioibiwa masufuria ya 'ubwabwa'

    Wananchi mkoani Njombe wameshauriwa kufika na kutambua mali zilizokamatwa wakati wa doria kutokana na kuibwa nyakati za usiku yakiwemo magodoro, pikipiki, sufuria zinazotumiwa na mama lishe migahawani, mitungi ya gesi, jiko na vingine vingi. Mali hizo nyingi zimekuwa zikiibwa wakati wa usiku...
  12. Njombe: Akamatwa akituhumiwa kumuua Katibu wa Baraza la Walei Kanisa la Roman Katoliki

    Polisi Mkoani Njombe wamemkamata Daniel Mwilango kwa tuhuma za mauaji ya Nickson Myamba (48) aliyekuwa Katibu wa Baraza la Walei Kanisa la Roman Katoliki Kigango cha Parokia ya Makambako yaliyotokea February 08, 2022, Mwilango amekamatwa Wilayani Mvomero, Morogoro. RPC wa Njombe, Hamis Issa...
  13. Mauaji ya Kanisani, jina la Katekista latajwa, AKIMBIA, asakwa na Polisi

    Kufuatia mauaji ya Nickson Myamba ambaye alikuwa ni Katibu wa Baraza la Walei Kigango cha Makambako, Jimbo la Njombe, Februari 7, 2022 kisha kudaiwa mwili wake kutenganishwa kichwa na kiwiliwili, bado kuna hali ya sintofahamu kuhusu tukio hilo. Tayari Jeshi la Polisi la Njombe kupitia kwa RPC...
  14. Ndugai ashukiwa "kama Mwewe" na Mwenezi wa Njombe

    Kama huna bando ni hivi, Ndugai aliupata Uspika kwa fitna dhidi ya Mama Anne Makinda, Ndugai alitibiwa kwa mamilioni ya fedha ughaibuni na hajapona Bado, Ndugai ana tabia ya kuwachapa bakora wapinzani wake... Na Kali kuliko zote, Ndugai anawashikilia Wabunge 19 wasio na vyama kinyume na Katiba...
  15. Uchakavu wa noti uliokithiri katika mkoa wa Iringa na Njombe, je Benki kuu inaweza kuwa na mchango kulikabili hili?

    Awali ya yote nipende kumshukuru yeyote atakaye nusa au kuuweka machoni uzi huu. Nime kuwapo katika mikoa tajwa apo juu kwa vipindi tofauti tofauti. Katika vipindi hivyo vyote nimekuwa shuhuda wa tatizo hilo, noti zinazotumika katika mikoa tajwa zina hali mbaya. Kwa tizama yangu sabubu kuu ya...
  16. B

    CCM Njombe Wagomea uamuzi wenye mimba kurudi shule

    Nimeisikia
  17. Halmashauri kuu Ccm (w) Njombe haijaridhishwa na serikali kuruhusu wanafunzi waliopata mimba kurudi shule. Yaomba uamuzi ubatilishwe.

    Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi(CCM) Wilaya ya Njombe, haijaridhishwa na uamuzi wa serikali kuwarejesha shule za kawaida baada ya wanafunzi (wazazi) waliopata ujauzito na kujifungua. Imetoa mapendekezo kwa halmashauri kuu ya CCM mkoa kuiomba serikali kubatilisha uamuzi huo...
  18. X

    Nafasi za kazi za Udereva Halmashauri ya Mji wa Njombe

    Driver jobs Njombe District Council, nafasi za kazi njombe district, ajira ya udereva halmashauri ya njombe tanzania, driver jobs tanzania today, driver jobs in tanzania, embassy driver jobs in Tanzania, driver jobs Tanzania 2021, driving job in halmashauri ya njombe, driver job in tanzania...
  19. Nipeni ufafanuzi juu ya majina ya ukoo yanayoanza na "Mwa" kutumika Mbeya, Njombe na Iringa

    Hapo zamani kila mtu ambae jina lake lilianzia "Mwa" nilidhani ni mnyakyusa, ila baada ya muda nikajua kwamba watu wenye haya majina wamesambaa makabila mengi ya Mbeya, Iringa na Njombe Wanyakyusa wapo kina Mwakyusa, Wahehe wapo kina mwakatundu (mfano msanii mike tee) Wabena wapo kina...
  20. Mji wa Ifakara ni mzuri kuliko Njombe mjini

    Hivi inakuaje, Ifakara bado ni wilaya lakini Njombe ni mkoa? Maana Ifakara kuna maendeleo kuliko Njombe mjini.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…