Zoezi la uhakiki wa taarifa bank ya NMB ni kero kwakweli, foleni ni ndefu kila branch, watendaji hawajipanga, inchukua hadi dk 20 kwa mtu mmoja kuhudumiwa na wahudumu kwa kila branch ni mmoja.
Mara waseme mtandao unasumbua kwahyo mshine inachelewa.
Nimezunguka NMB branch zote Dodoma, msururu...